Showing posts with label TIBA. Show all posts
Showing posts with label TIBA. Show all posts

Monday, 28 September 2020

PUMU YA NGOZI(ECZEMA) KWA WATOTO UKAVU WA NGOZI,KUWASHWA NGOZI







Eczema (atopic dermatitis) ni ugonjwa wa ngozi ,unaofanya ngozi kuwasha sana kuwa kavu na kupata vijipele vidogo vidogo vyenye rangi nyekundu,huu ugonjwa ushambulia watoto na wakubwa sehemu za viungo vya mwili (joints) mkononi

Shingoni na miguuni na inaweza tokezea sehemu ya usoni ,juu ya jicho ,makwapani,mgongoni ,tumboni ,mbele ya kichwa (forehead),mapajani,mdomoni na mashavuni. Watoto walio chini ya miaka 5 huwa adhiri kwa asilimia 15% unaweza chukua mda kupona kulingana na ngozi na kiasi cha mtoto alivyoadhirika.

Chanzo cha ugonjwa wa eczema

Eczema inasababishwa na mwili kushindwa kutengeneza au kuzalisha ceramider ,ceramider ni fatty cell inayotumika kwenye uzalishwaji wa ngozi,ceramider inaposhindwa kuzalishwa ngozi ya mtoto inapoteza kiwango cha maji na kuifanya kuwa kavu na ndipo inapo msababishia kuanza kujikuna ,ngozi kuwa kavu na kubadilika rangi kuwa nyekundu.

Eczema ni ugonjwa wa kuridhi -toka kwa mama / baba aliekuwa na ugonjwa ni rahisi mtoto akaridhi.

Mzingo(Allergy au asthma)na pumu huleta eczema

Mtoto anaweza pata allergy ya vyakula tofauti kama maziwa,mayai,ngano,soya samaki,nyaman.k na baadae kumpelekea kupata eczema.

Nini kinachochea kutokupona eczema haraka kwa mtoto

Mtoto mwenye tatizo la eczema anatakiwa aepushwe

Ngozi kuwa kavu (dry skin)-epuka ngozi ya mtoto kuwa kavu itasababisha kuwa na low humidity na kujikuna sana .

Joto kali-joto linapokuwa kali inamsababisha mtoto kujikuna zaidi ,usimveshe mtoto nguo nyingi kipindi cha joto itamfanya ajikune sana .

Food allergy-kuna baadhi ya vyakula vyenye kuleta allergy inatakiwa asipewe kama maziwa,mtindi,mayai,cheese ,nuts(karanga,korosho nk)mikate,pweza,kamba

Acid fruits-matunda ya acid asitumie ndimu ,machungwa,nyanya,strawbell

Acha kutumia vitu vya harufu kali kama sabuni ,perfumes ,majani,na mafuta kwenye mwili wake na nguo zake

Kuogeshwa kwa mda mrefu-epuka kumwogesha kwa mda mrefu au kukaa ndani ya maji isizidi dakika 10 maji yana sababisha ngozi kuwa kavu zaidi,atumie maji vugu vugu wakati wa kumwogesha tumia sabuni ya (sensitive skin) isiyo na harufu na usitumie shampoo

Nguo za kumbana-usimveshe nguo za kumbana au zenye material ya synthetic fabric, wool, ,mveshe nguo za kupwaya ziwe material ya cotton inamfanya ajisikie vizuri bila miwasho.

Nguo mpya-nguo mpya inamfanya ajikune zaidi ,kabla ujamvesha fua kwanza.

Sabuni ya kufulia nguo -nayo inaweza msabishia kuwashwa zaidi ,fatilia kila ufuapo kama ukimvesha izo nguo na kuwashwa sana ujue iyo sabuni haimfai

Kucha kuwa ndefu-zitamkwarua na kujikuna sana kuharibu ngozi zaidi ,hakikisha kucha zake ni fupi kila mara.

Kutompa daily products zozote zitokanaza na ng’ombe au kuku (maziwa,mtindi,mayai,cheesen.k)

Vizuri umpeleke hospital Kupima allergy ili ujue , kama anayo ni rahisi kumwachisha kumpa vyakula vinavyompa allergy mapema kabla hajawa eczema.

Tiba

Eczema kutibika kwa haraka ni ngumu ,kuna dawa za kupaka na ikapunguza muwasho, fatilia masharti hayo nilioandika hapo juu na kula matunda na mboga mboga kwa wingi

Yanayoweza tibu au punguza eczema kwa kiasi kama parachichi ,ndizi mbivu, papai,apple,juice ya carrots ,tango,aloe vera,spinanch ,viazi vitamu,viazi ulaya,smoothie ya tango,parsley.Broccoli na tangawizi unaweza saga pamoja na kumpa mtoto ila kwa wale walio juu ya miezi 6 na kuendelea.

Samaki wa maji baridi kama salmon wanafaa zaidi wana omega 3 ya kutosha.Mwepushe mtoto kula fast food zinachochea ugonjwa kuongezeka

Tiba ya kutibu haya Maradhi ipo kwamtu mwenye kutaka unaweza kunitafuta kwa wakati wako.

Ukiwa na Shida yoyote ile

Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukinihitaji matibabu yangu

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu What's App +447459370172


 

Friday, 25 January 2019

DAWA YA KUTIBU MARADHI YA HOMA YA MATUMBO AKA TYPHOID FEVER


DAWA YA KUTIBU MARADHI YA HOMA YA MATUMBO AKA TYPHOID FEVER
TYPHOID FEVERHoma ya matumboHoma ya matumbo husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhoid. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mu aliyambukizwa. Bakteria hawa hutoboa na kunyonya chakula kwenye matumbo ya binadamu.
Dalili ya Maradhi:Homa kaliKutoka kwa majasho mengiKuharisha (bila ya kutoa damu)Mara nyingine, vitone vyekundu huonekana kwenye mwili.Kwa kawaida, homa ya matumbo isipotibiwa hugawanyika katika hatua nne, kila hatua ikichukua takriban wiki moja.
Katika wiki ya kwanza:Joto la mwili huongezekaKichwa huumaKukohoaDamu kutoka kwa pua, ingawa tukio hili huwa ni nadra kutokea.Maumivu ya tumbo pia huweza kutokea
Katika wiki ya pili:Homa huongezekaMgonjwa huanza kupagawa, kama mwenda wazimuVitone vyekundu huanza kutokea kwenye kifuaMgonjwa huharisha, takriban mara sita au nane kwa siku.Kutapika kwa mgonjwaIni la mgonjwa huvimbaHoma ya mgonjwa huongezeka katika wakati wa alasiri kwenye wiki ya kwanza na ya pili.
Wiki ya tatu:Matumbo hutoa damu.Matumbo hutobokaWiki ya Matibabu[hariri | hariri chanzo]tatu ikimalizika, homa huanza`kutilia. Hii huendelea hadi wiki ya nne.
Matibabu kwa dawa za kizunguMara nyingi, homa ya matumbo haiuwi binadamu. Dawa kama ampicillin, chloramphenicol, trimethoprim-sulfamethoxazole, Amoxicillin and ciprofloxacin hutumika kutibu wagonjwa katika nchi zilizoendelea.
DAWA YA KUTIBU HOMA YA MATUMBO DAWA YA TIBA ASILIA
FANYA HIVI: Chukuwa Glasi 4 za Maji tia ndani ya jagi la maji changanya na nusu kijiko kidogo cha chumvi ya unga. Kisha tia ndani yake vijiko 6 vidogo vya sukari, kisha koroga vizuri hayo maji.
Matumizi yake: kunywa asubuhi kabla ya kula kitu glasi 1 mchana glasi 1 Jioni Glasi 1na usiku glasi 1 kila siku dawa ikiisha tengeneza dawa ingine utumie hiyo dawa kwa siku 30 utaweza kupona.
Hatua za kuzuia kupata homa hii
Usafi wa mazingara na wa kibinafsi ni hatua bora ya kujikina kutokamana na ugonjwa huu.Homa ya matumbo haiathiri wanyama kwa hivyo maambukizi ni kutoka kwa binadamu mmoja hadi mwingine.Homa hii hueza kuenea kwenye mazingara ambayo kinyesi cha binadamu hutangamana na vyakula vyao. Upishi wa makini na uoshaji mikono ni kingo bora zaidi kwa kuzuia maradhi haya kuenea.
Chanjo ni za aina mbili: moja inayotiwa kwa njia ya mdomo iitwayo Ty21a (au Vivotif Berna) na nyingine ya sindano kwa majina Typhim Vi iliyotengenezwa na Sanofi Pasteur au Typherix iliyotengenezwa na GlaxoSmithKline.
Ukitumia Dawa hujapona unaweza kunitafuta nikupe Dawa ya kuweza kukutibu ukapona kwa haraka zaidi.

Friday, 18 August 2017

MCHANGANYIKO WA KITUNGUU SAUMU NA MAZIWA HALISI YA NG'OMBE NI TIBA YA MARADHI MENGI

MCHANGANYIKO WA KITUNGUU SAUMU NA MAZIWA HALISI YA NG'OMBE NI TIBA YA MARADHI YA 
PUMU,MARADHI YA HOMA YA MAPAFU,MARADHI YA KIFUA KIKUU,MARADHI YA MISHIPA YA MOYO,MARADHI YA KIFUA,UKOSEFU WA KUPATA USINGIZI NA MARADHI YA BARIDI YABISI.....
UTENGENEZAJI WA DAWA:
Utengenezaji Wake hiyo Dawa:
Chukuwa Maziwa nusu lita
Vitunguu Saumu punje 10
Vijiko 3 vya Sukari.
Maji glasi moja yenye Ml 250.
weka Maji na maziwa na kisha weka Vitunguu Saumu baada ya kuvimenya.Weka jikoni kwenye moto usiwe mkali sana huo moto iache ichemke kwa muda wa dakika 20. Kisha Tia hiyo Sukari Vijiko 3 vikubwa vya kulia wali. Kisha opowa dawa yako ipo teyari .
MATUMIZI YA DAWA: kunywa Glasi au kikombe 1 asubuhi kabla ya kula kitu na mchana kunywa tena na usiku fanya hivyo kila siku kwa muda wa siku 30 umepona insha-allah.

Thursday, 2 March 2017

TIBA YA MARADHI YA SARATANI YA DAMU (LEUKEMIA)


SARATANI YA DAMU (LEUKEMIA) Leukemia ni Saratani
inayoshambulia tishu za mwili zinazohusika na utengenezaji wa damu zikiwemo supu ya mifupa (bone marrow) na mfumo wa lymph
(lyphatic system). Kwa maneno rahisi, leukemia humaanisha saratani ya damu. Kuna aina mbalimbali za leukemia, nyingine zikiathiri watoto na nyingine zikiathiri zaidi watu wazima.
Kwa kawaida leukemia huanzia kwenye chembe nyeupe za damu yaani white blood cells, ambapo mwili huzalisha kiwango kikubwa cha seli zenye maumbo mabaya ambazo hazina uwezo wa kufanya kazi zake sawasawa. Kazi ya chembe nyeupe za damu ni kulinda mwili dhidi ya vimelea waletao maradhi mbalimbali.
Leukemia husababishwa na nini
Kama zilizo kwa aina nyingi za saratani, mpaka sasa chanzo halisi cha leukemia hakijulikani. Hata hivyo, wanasayansi wanadai kuwa leukemia hutokea kutokana na mkusanyiko wa vyanzo mbalimbali vikiwemo vinavyohusu sababu za kinasaba (genetic factors) na kimazingira.
Kwa ujumla, leukemia hutokea pindi chembe nyeupe za damu zinapobadilika muundo wake wa kinasaba yaani viasili vyake vya
DNA, ambavyo kwa kawaida hubeba maelekezo yanayoifanya seli yeyote ya kiumbe hai iweze kuishi, kutenda kazi zake, kujizaa na hata kufa, vinapobadilika maumbile na muundo wake kutokana na
sababu mbalimbali. Kitendo cha kubadilika kwa maumbile na muundo wa DNA hujulikana kama mutation. Ndiyo kusema basi, seli yeyote iliyopatwa na tatizo hili huwa na tabia ya kukua kwa haraka na kujizaa (kujigawa) kwa kasi zaidi kuliko kawaida, na pindi
inapofikia muda wake wa kufa seli hiyo hugoma kufa badala yake huendelea kujizaa zaidi hatimaye
kusambaa kwa wingi katika mfumo mzima wa damu, hali inayosababisha saratani ya damu.
Je, kuna vihatarishi vya leukemia
Ndiyo vipo! Pamoja na kwamba chanzo halisi cha saratani ya damu hakijulikani, lakini kuna mambo ambayo humuongezea mtu hatari ya kupata ugonjwa wa saratani ya damu.
Mambo ambayo yanaweza kuongeza uwezekano wa kupata saratani ya damu ni pamoja na:
Historia ya matibabu ya saratani hapo kabla: Watu ambao wamekuwa kuwa na aina nyingine za saratani hapo awali, na wakati wa matibabu wakapewa tiba ya mionzi au madawa makali ya
saratani, wapo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya damu kwa sababu baadhi ya dawa hizi pamoja na mionzi huwa na tabia ya kuathiri pia seli nyeupe za damu pamoja na tishu zinazotengeneza seli hizo.
Kuwa na magonjwa mengine ya vinasaba: Ingawa haieleweki sawasawa uhusiano wake ulivyo, kuwa na baadhi ya magonjwa ya kinasaba kama vile ugonjwa wa Down syndrome, yasemekana huongeza uwezekano wa muathirika kuugua pia ugonjwa wa saratani ya damu.
Baadhi ya magonjwa mengine ya damu: Watu wenye magonjwa mengine ya damu kama vile ugonjwa wa damu unaoshambulia tishu za supu ya mifupa na kuzifanya zizalishe seli nyingi za damu bila uwiano unaotakiwa yaanimyelodysplastic syndromes, huongeza pia uwezekano wa mtu kuugua saratani ya damu.
Kupigwa na kiasi kikubwa cha mionzi: Watu ambao wamewahi kupigwa na kiasi kikubwa cha mionzi kama vile mlipuko wa mabomu au kulipuka kwa vinu na mitambo ya nuklea (nuclear reactors), wana hatari kubwa zaidi ya kupata saratani ya damu pamoja na saratani nyingine.
Kupigwa/kutumia baadhi ya kemikali: Watu waliowahi kukumbana na baadhi ya kemikali kama vile benzene au zile zinazotumika kwenye viwanda vya kuyeyusha vyuma au kutengeneza
magurudumu au mabomba ya plastic, nao pia wapo katika uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya damu.
Uvutaji sigara: Jambo hili pia huongeza uwezekano wa kupata aina mojawapo ya saratani ya damu.
Kuwa na historia ya ugonjwa huu katika familia: Watu ambao, baadhi ya ndugu zao wamewahi kuugua ugonjwa huu, nao pia wana uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya damu. Hata hivyo, hii haina maana kwamba leukemia inaambukizwa isipokuwa kuna uhusiano wa kifamilia tu katika kusababisha ugonjwa huu.
Jambo moja la kufahamu ni kuwa, wapo watu wengi ambao wamewahi kukumbana na vihatarishi nilivyovieleza hapo juu bila kupata leukemia, kadhalika wapo waliopata leukemia bila kukumbana na kihatarishi hata kimoja kati ya hivi.
MATIBABU YA SARATANI YA DAMU
Matibabu hutolewa kulingana na hatua ya ugonjwa ilipofikia.
Kwanza safisha damu yako
Zipo dawa nyingi za asili ambazo hutibu kansa , dozi ni kulingana na aina ya kansa na stage ilipofikia
Mfano Majani ya mstafeli yana uwezo wa kuziua seli za kansa aina yeyote mara 10,000 ya mionzi.
Chukua majani ya mstafeli yaasafishe vizuri kisha yaponde kwa Blenda Tia ndani yake glasi 2 za maji kutengeza juisi yake
Mgonjwa anywe nusu kikombe kutwa mara tatu siku 90

Monday, 16 February 2015

DAWA YA KUTIBU UGONJWA WA TETEKUWANGA (CHICKEN POX)




Tetekuwanga ni ugonjwa unasababishwa na virusi viitwavyo Varicel Zoster. Ugonjwa huu una ambukizwa kwa haraka sana. Vipele hufanana na malengelenge; na vinawasha sana. Ugonjwa huu ni wa hatari zaidi kwa watoto wachanga,watu wazima na wale ambao kinga ya mwili imeshuka.



Dalili
Vipele vya ugonjwa huu huanzia kwenye kiwiliwili na usoni kisha kuenea mwili mzima. Vipele vinafanana na lengelenge, vinawasha kisha huacha kovu. Makovu ya ugonjwa huu si ya kudumu kwani baada ya muda hufifia.
Dalili nyingine ambazo hujitokeza siku moja au mbili kabla ya vipele ni
-homa kali
-uchovu
-kukosa hamu ya kula
-maumivu ya kichwa


Maambukizi
Ugonjwa huu husambaa kwa njia ya hewa pale mgonjwa anapopiga chafya au kupenga. Pia huweza kusambaa endapo endapo utakugasana na majimaji yenye virusi toka kwa mgonjwa. Mgonjwa huanza kuambukiza kabla vipele havijatoka na huendelea kuambukiza mpaka makovu yanapotoka.
Ukiugua ugonjwa huu mara moja unaweza kupata kinga ya kudumu. Mtu aliyewahi kuugua tetekuwanga anaweza kuugua mkanda wa jeshi.


Kinga.
Unaweza kujikinga na ugonjwa huu iwapo utapata chanjo. Katika nchi zilizoendelea chanjo za ugonjwa huu hutolewa kwa watoto wote.


Matibabu
Kwa kawaida ugonjwa huu hauitaji dawa lakini kama dawa ikianzishwa ndani ya masaa 24 huleta manufaa na hupunguza dalili za ugonjwa kwa kiasi kikubwa. Matibabu makubwa hulenga kudhibiti dalili kam homa, mwili kuwasha na upungufu wa maji mwilini.


Hata hivyo watu wenye upungufu wa kinga, wanaotumia dawa za kushusha kinga, saratani ya ngozi, wajawazito wanahitaji uangalizi maalumu.

TETEKUWANGA:
Ugonjwa wa tetekuwanga husababishwa na vijidudu vidogo sana aina ya vijasumu. huanza wiki 2 hadi 3 baada ya mtoto kukaa na mtoto mwingine ambaye tayari anao ugonjwa huu.
Kwanza kabisa, madoadoa au vipele vidogo sana vyekundu na ambavyo huwasha, huanza kutokea.
Hivi, hubadilika na kuwa malengelenge na mwishowe, kufanya ganga vyote kwa wakati mmoja.
Kawaida huanza kwenye mwili na baadaye hutokea kwenye uso, mikono na miguu.
Kunaweza kukawa na vipele, malengelenge, na ganga vyote kwa wakati mmoja. Kwa kawaida homa ni kidogo tu.

Tiba:

Ugonjwa hupona baada ya wiki moja. Ukoge kila siku kwa sabuni na maji ya uvuguvugu ili kupunguza kuwasha. Tumia nguo baridi zilizoloweshwa kwenye maji yaliyotokana na shayiri iliyochemshwa na kukamuliwa.
Kata kucha za mikono ziwe fupi kabisa. Kama ganga zinapata ugonjwa, paka gentia violet (g.v) au mafuta ya kuua vijidudu.

Utatuzi wa kiasili wa tetekuwanga ni pamoja na maji ya pea, magadi ya kuoka , mafuta ya vitamini E , asali, chai mitishamba au karoti na korianda. Inaaminika kwamba muwasho wa ngozi unaweza kupunguzwa kwa 

kiwango fulani kwa maji ambayo yametumika kupikia mbaazi mabichi. Losheni inayotengenezwa kwa magadi ya kuoka na maji yanaweza kuwekwa kwenye ngozi za wagonjwa kwa sponji ili kupunguza mwasho. Pia, kupaka 

mafuta ya vitamini E au asali kwa ngozi hudhaniwa kuwa na athari ya uponyaji kwa alama ambazo zinaweza kubakia baada ya maambukizi kutibiwa. Baadhi ya watu wanadai kuwa athari za kutuliza kwa kadri za chai ya 

kijani zina ufanisi wa kupunguza dalili.

Monday, 19 January 2015

UGONJWA WA MAFINDOFINDO (TONSILS)



Tonsil husababishwa na sababu nyingi tu . Pia husababishwa na upungufu wa white blood Cells katika mwili ambazo cells hizi ndio hupigana na vidudu vyote venye kuleta maradhi ndani ya mwili sasa vinaposhindwa kufanya kazi lymph zinavimba na husababisha Tonsils.


Kila mtu na ukuwaji wake wa mwili, wapo ambao wanapata tonsils kwa kunywa maji ya baridi ambayo maji ya baridi huwa ni moja katika chanzo cha kupata tonsils, mavumbi huchangia vile vile pilipili na vitu vikali kama vile embe mbichi limau pia huwa ni sababu kuu ya kupata tonsil.



Wakati unapokuwa na tonsils muhimu zaidi kuacha maji ya baridi na vitu vyote vikali, zaidi utumie maji ya moto 



Dawa za tonsils ni : kama ni mtumiaji wa dawa za chemicals basi epincilin inasaidia sana kuondosha tonsils.

Dawa nyengine ambayo mimi binafsi naipendelea hii zaidi kwani inafanya kazi mara moja : Kamua ndimu moja katika glass yako kisha tia maji ya Uvuguvugu (warm water) na baadae tia vijiko vinne vidogo vya asali na kijiko robo cha chumvi kuroga uzuri na unywe pole pole



Au Dawa hii Jaribu pia Dawa ya TONSILS ni kusukutuwa maji yaliokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala Tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto.



Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia.



Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako.



Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya kazi na mdomo uko wazi basi pia unaweza kuumwa na Tonsils.



Vile vile kutoka nje kwenye joto kisha ukaingia pahala baridi huwa inasababisha Tonsils na maradhi mengine kama flu na kuumwa na kichwa..n.k 





Monday, 5 January 2015

TIBA MBADALA YA MARADHI YA KWIKWI HICCUPS TREATMENT



MARADHI YA KWIKWI (Hiccups)
Kwikwi hutokana na kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu.
Hii husababisha milango ya sauti katika koo (vocal cords or voice making cords) kufunga ghafla na kutoa sauti inayosikika wakati wa kwikwi.
Kwikwi sio ugonjwa; kwikwi ya muda mfupi ni kero ndogo tu ambayo inapita, lakini kwikwi isiyokatika inaweza kuwa dalili ya tatizo lingine ambalo huenda likahitaji uchunguzi wa kitaalamu.
Sababu zinazopelekea kupata kwikwi;
• Kula haraka haraka au kula sana (kuvimbiwa)
• Kula vyakula vyenye viungo sana (very spicy foods)
• Kunywa vinywaji vyenye gesi(carbonated beverages) au vya baridi sana
• Ulevi au kunywa pombe nyingi kwa mpigo
• Upungufu wa maji na madini mwilini (dehydration)
• Tumbo kujaa gesi, asidi (hyperacidity) au vidonda vya tumbo
Sababu hizi mara nyingi husababisha kwikwi ya muda mfupi ambayo huisha bila kuhitaji matibabu wala uchunguzi wa kitaalamu.
Sababu nyingine (Rare but serious) ni pamoja na;
• Upungufu au kuvurigikwa kwa kiasi cha madini mwilini(electrolyte imbalances)
• Kukusanyika kwa sumu mwilini kama vile sumu ya figo (Uremia)
• Magonjwa ya mapafu kama vile vichomi(pneumonia), pumu(asthma), TB au maji kukusanyika nje ya mapafu(pleural effusion),
• Saratani au uvimbe kwenye mapafu, ubongo, uti wa mgongo au tumboni.
• Magonjwa ya moyo (heart attack, arrhythmias, infections to the heart)
• Kidole tumbo(Apendix illness) na magonjwa ya kufanania nayo
• Magonjwa ya Ini, kongosho au mfuko wa nyongo
• Madawa au kunywa sumu aina fulani
• Kuumia katika eneo la misuli ya upumuaji (diaphragm injuries).
Kwikwi itokanayo na matatizo haya huwa ya muda mrefu au inayojirudia rudia sana, na huisha tu kama tatizo lililosababisha likigundulika na kutibiwa. Ukiona dalili ya kwikwi isiyoisha tafadhali muone daktari.
Sababu ya kisaikologia (psychological reason)– Hii huwapata watu wachache. Watu hawa hujidhania kuwa wana kwikwi isiyokatika, hivyo huendelea kutoa sauti kama mtu mwenye kwikwi. Kwikwi ya aina hii haina mfumo maalum, na haitokani na kusinyaa kwa misuli ya upumuaji; kwa mtu mwenye tatizo hili ni muhimu kutafuta tatizo alilo nalo kisaikologia na kulitatua.
Namna ya Kuzuia Kwikwi
• Kula taratibu – haraka haraka hujaza gesi tumboni na kusababisha kuvimbiwa
• Kula kiasi kidogo kwa wakati – Inashauriwa kuongeza idadi ya milo kwa siku badala ya kiasi; milo mitano midogo midogo badala ya mitatu mikubwa kwa siku.
• Punguza au ondoa kabisa vyakula vyenye viungo vingi/vikali.
• Kunywa maji – Unywaji mzuri wa maji huzuia na kutibu kwikwi, pia hulinda mwili na maradhi kama vile upungufu wa maji na madini(dehydration) na figo kutofanya kazi vizuri.
• Fanya mazoezi - huboresha ufanyaji kazi wa mapafu na misuli ya upumuaji, pia husaidia kuongeza kinga mwilini na kuimarisha ufahamu (mind state)
Kuzuia kwikwi ni muhimu tu kwa wale wanaopata mara kwa mara.
Matibabu ya kienyeji: (Usifanye kwa mtoto)
• Kumshitua mhusika, au kumzubaisha ili kuondoa mawazo yake kwenye kwikwi
1• Kunywa glasi ya maji iliyojaa bila kukata pumzi
2• Kubana pumzi na kuhesabu mpaka kumi
3• Kuweka sukari chini ya ulimi
4• Kulala. Usingizi ni dawa moja nzuri sana ya kwikwi
5• Kwa mtoto anayenyonya waweza kumnyonyesha, au kumuweka begani acheue.
6.KWIKWI-twanga hiliki changanya na maziwa kisha kunywa glasi moja.
7.
Matibabu ya kitaalam 
Muone daktari kwa matibabu kama
• Kwikwi haikatiki kwa muda mrefu (siku au zaidi),
• Kwikwi inakusababisha kuchoka sana,
• Kama mapigo ya moyo yanabadilika,
• Kama unashindwa kulala kutokana na kwikwi
• Kama inasababisha msongo mawazo kutokana na kujirudia mara kwa mara.
Kabla ya kuanzisha dawa ni muhimu kufanya vipimo ili kuhakikisha magonjwa yanayoweza kusababisha kwikwi yanapatiwa matibabu kama yapo.
Kama chanzo cha kwikwi kimefahamika katika uchunguzi, tibu chanzo na kwikwi itaisha.

Saturday, 6 December 2014

JITIBU TATIZO LA VIPELE KWENYE USO (CHUNUSI) KWA NJIA ZA ASILI




Komamanga: Maganda Ya Mkomamanga yaliyosagwa, yakichanganywa na habbat sodah ya unga, hutengeneza dawa nzuri ya asili ya kuondoa tatizo la vipele vya usoni ( chunusi )









Kuna idadi kubwa ya watu wanao kabiliwa na tatizo la vipele vya usoni


( Chunusi ). Kuwa na chunusi ni jambo lenye karaha sana, kwani linakufanya upoteze mvuto wako wa asili na hivyo kukukosesha raha. 

Zipo njia mbalimbali za asili zinazo weza kutumika kutibu tatizo la chunusi na vipele vya usoni. 

Ifuatayo ni miongoni mwa njia bora kabisa na ya uhakika itakayo kusaidia kuondokana na tatizo la Chunusi au vipele kwenye uso.


Habbat Soda : Hii ni Habbat Sodah Ya Mbegumbegu. Habbat Sodah iliyosagwa ndio inayo hitajika katika kutengeneza dawa ya asili ya kuondoa tatizo la vipele vya usoni ama chunusi.




MAHITAJI :
i. Habbat Sawdah ya Unga iliyo sagwa.
ii.Nusu kikombe ya maganda ya komamanga yaliyo sagwa.
iii.Nusu kikombe ya siki ya tofaha(apple )

MATAYARISHO NA MATUMIZI

Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½ (nusu) 
kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha siki ambayo inatokana na juisi ya tofaha (apple). 

Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila siku usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.




Friday, 10 October 2014

JE UNAYO MAWE KWENYE FIGO? SOMA HAPA WHAT ARE KIDNEY STONE?



What Are Kidney Stones?

As the kidneys filter waste from the blood, they create urine. Sometimes, salts and other minerals in urine stick together to form small kidney stones. These range from the size of a sugar crystal to a ping pong ball, but they are rarely noticed unless they cause a blockage. They may cause intense pain if they break loose and push into the ureters, the narrow ducts leading to the bladder.


Kidney Stone Symptoms

When kidney stones move through the urinary tract, they may cause:

  • Severe pain in the back, belly, or groin
  • Frequent or painful urination
  • Blood in the urine
  • Nausea and vomiting

Small stones may pass without causing symptoms.



Kidney Stone or Something Else?

If you have sudden, severe pain in the back or belly, it's best to seek medical care right away. Abdominal pain is associated with many other conditions, including emergencies like appendicitis and ectopic pregnancy. Painful urination is a common symptom of a urinary tract infection or an STD.


UGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa, hasa wenye umri mkubwa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa wa tatizo hili umeongezeka, kwani hata vijana wanapatwa na tatizo hili ambalo kitalaamu linajulikana kama ‘Gallstones’.

Mawe ya kwenye figo siyo mawe halisi, bali huwa ni vitu vinavyojitengeneza kwenye figo taratibu na baada ya muda mrefu hugeuka umbo na kuwa mfano wa vijiwe vidogo na wakati mwingine huwa vikubwa mfano wa dole gumba. Hutokana na ulaji wa vyakula usio sahihi.

Tiba ya tatizo la mawe kwenye figo, mara nyingi huwa ni upasuaji wa kuvitoa na hugharimu fedha nyingi na pia husababisha maumivu wakati wa kufanya oparesheni hiyo. Lakini kwa kutumia tiba mbadala ya vyakula, unaweza kuondoa mawe hayo bila kufanya oparesheni.

Maelezo haya huwezi kuambiwa na daktari hospitali hata siku moja lakini kwa kusoma makala kama haya utajifunza njia nyingine ya kuutibu mwili wako kwa njia ya vyakula. Kama mawe yaliingia tumboni kwa njia ya vyakula, bila shaka yanaweza kutoka pia kwa vyakula.

JINSI YA KUONDOA MAWE KWENYE FIGO
Kuna tiba mbadala za aina nyingi, lakini katika makala yangu ya leo nitawajulisha njia mbili unazoweza kuchagua moja wapo. Moja ni kufanya kwa muda wa siku sita mfululizo na nyingine ni ya kufanya kwa siku moja tu, chaguo ni lako.

NJIA YA SIKU SITA
Katika siku tano za kwanza, kunywa juisi halisi ya Tufaha(pure apple juice) glasi kubwa nne kila siku kwa siku tano mfululizo. Au kula tufaha nzuri tano badala ya juisi. Ili kuwa na uhakika na juisi halisi, ni vyema ukanunua tufaha za kijani (green apple) na ukatengeneza juisi mwenywe. Juisi hii au matufaha hayo yatafanya kazi ya kulainisha kwanza mawe tumboni.

Siku ya sita, anza siku yako kwa kula mlo wako wa kawaida hadi saa nane mchana, kuanzia saa nane utatakiwa ufunge usile kitu chochote mpaka asubuhi siku inayofuata ndiyo ule chakula chako.

Ifikapo saa 12 jioni, kunywa kikombe au glasi moja kubwa ya maji uliyochanganya na kijiko kimoja kidogo cha ‘Magnesium Sulphate’ . Weka maji kwenye glasi au kikombe, chukua ‘Magnesium Sulphate’, chota kijiko kimoja kidogo, tia kwenye maji hayo na changanya, kisha unywe mara moja. ‘Magnesium’ husaidia kufungua njia.

Ifikapo saa mbili usiku, rudia kunywa mchanganyiko huo wa maji na ‘Magnesium’. Baadaye saa 4 usiku, changanya nusu kikombe cha juisi halisi ya limau (fresh lemon juice) na nusu kikombe cha mafuta halisi ya mzaituni (pure olive Oil). Hiki ndiyo kitakuwa kinywaji chako cha mwisho kwa usiku huo, kisha nenda kalale.

Vinywaji hivyo vitasaidia mawe kutoka kwa njia ya haja kubwa bila shida. Usiku huo huo, unaweza kusikia haja ya kwenda chooni, au vinginevyo utasikia asubuhi.

NJIA YA SIKU MOJA
Ukisha kula chakula chako cha usiku, usile kitu kingine tena hadi kesho yake asubuhi ambapo utakunywa glasi kubwa tatu za juisi ya tufaha za kijani. Usile kitu kingine hadi mchana unywe tena juisi ya tufaha 3. Usile kitu kingine tena hadi usiku wakati wa chakula cha usiku, unywe tena juisi ya tufaha kubwa 3 za kijani kama mlo wako wa usiku.

Iwapo utashindwa kutengeneza juisi mwenywe, basi bora ule tufaha zenyewe kiasi kilichotajwa. Katikati ya mlo na mlo, utaruhusiwa kunywa maji ya kawaida tu na siyo kitu kingine. Hii ina maana utafunga siku moja kwa kula tufaha na maji tu.

Muda mfupi kabla ya kwenda kitandani, tengeneza juisi halisi ya malimau matatu, changanya na nusu kikombe cha mafuta ya mzaituni (Pure olive oil) kunywa kisha panda kitandani, kinywaji kinaweza kisiwe na ladha nzuri, lakini usijali, ndiyo dawa.

Ukiwa kitandani, lalia ubavu wako wa kulia na ukunje magoti kadiri uwezavyo na ulale hivyo kwa muda utakaoweza au hadi hapo utakapopitiwa na usingizi. Ulalaji wa aina hii huwezesha utokaji wa mawe kwenye figo na kwenda tumboni kwa ajili ya kutoka kwa njia ya haja kubwa.

Ukijisikia haja ya kwenda chooni, fanya hivyo haraka, vinginevyo utalala hadi asubuhi ndiyo utakwenda chooni. Ili kuona kama vimawe vimetoka, weka utaratibu wa kukagua haja yako na utaona vitu rangi ya kijivu au kijani vinavyong’aa na hapo utakuwa umefanikiwa.


Monday, 29 September 2014

MARADHI YA KIPANDAUSO (MIGRAINE) CHANZO DALILI TIBA NA JINSI YA KUJIKINGA





Kuumwa na kichwa kumegawanyika sehemu kuu nyingi sana japo kuwa 1% yake ni ashirio la matatizo ya kiafya ambayo yame-advance. Kama vile concussion of brain,meningitis,encephaliti, na stroke. Kuumwa na kichwa pia inawezatokana na matatizo ya taya, meno au hata kula vitu vya baridi zaidi. Vyakula vyenye nitrite au monosodium glutamate.

Sehemu ambazo huuma ni kama ifuatavyo:

- Mfumo wa fahamu ambao upo kwenye fuvu la kichwa.
- Baadhi ya neva za fahamu zilizoko usoni

Misuli ya kichwani
Mishipa inayopatikana kwenye fuvu la kichwana chini ya ubongo kuna mifumo ya fahamu yenye hisia. Kumbuka fuvu na tishu za ubongo kwa zenyewe haziumi kwani hazina mifumo ya fahamu ambayo inahisia.
Mambo haya 12 nayo yanahusika sana.

1:Nervous tension headaches;
Ni maumivu ya kichwa endelevu upande mmoja au pande zote za misuli ya shingo na upande wa juu wa mgongo,kuumwa na kichwa pamoja na kusinzia. Tumia vitamin b2 na c , ounguza au acha matumizi ya sukari,kahawa,chakula chenye kukusababishia mzio,misongo ya mawazo na ufanye mazoezi yakutosha.

2: Cluster headaches;
Kichwa kuuma haswa upande mmoja wa kichwa kwa maumivu makali, machozi humtoka mtu na makamasi kwa mbali. Kitu cha kwanza ni kutumia chakula chenye protein ya kutosha, epukana na chakula chenye mzio kwako.

3: Hangover headaches;
Hii ni hali ya kichwa kuuma kwa sababu ya matumizi makubwa ya vinywaji vikali haswa pombe. Weka barafu chini ya kichwa yaani maeneo ya kichogoni au shingoni,kunywa maji mengi na juice ya matunda freshi na uache pombe.

4: Exertion headaches;
Hutokea pale ambapo mwili utatumika sana na haswa kwenye ngono. Weka barafu linalouma, kula mlo kamili na usifanye mazoezi.

5: Caffein headaches;
Hali hii hutokea pale ambapo umeacha matumizi makubwa sana ya kahawa kwa ghafla. Kunywa kiasi kidogo cha kahawa kuondoa maumivu na upunguze matumizi kidogokodogo mpaka utakapo acha kabisa.

6: Sinus headaches;
Maumivu haya huanzia upande wa kulia na kushoto wa pua na kupanda mpaka kichwani. Kula vitamini C kwa wingi na umuone mtaalamu wa afya maana saa zingine hii utkana na maambukizi.

7: Bilious headaches;
Kichwa na macho huuma haswa kipanda uso na husababishwa na kula sana, kula vibaya, kutofanya mazoezi na kukosa choo. Fanya mazoezi na kunywa maji yakutosha na kasha fanya enema.

8: Hunger headaches;
Maumivu ya kichwa ambaya husababishwa na kutokula kwa muda. Kula chochote ilimradi kiwe ni protein au carbohydrates .

9: Eyes ram headaches
Haya ni maumivu yanayotokea kwenye macho na wengi hudhani labda wameangalia vibaya japo saa zingine inaweza kuwa sababu. lakini chanzo chake haswa ni ubongo kufanya kazi kupita kiasi. Badili mtindo wa maisha na kama ni mtumiaji wa miwani ni vyema ukamuana mtaalamu aangalie kama lensi zimepotea nuru au la.

10: Menstrual headaches;
Hali hii hutokea kwa kina mama kipindi cha yai kupevuka. Hutokana na mabadiliko ya hormone, muone mtaalamu wa afya.

11: Arthritis headaches;
Haya ni maumivu ya kichwa yanayosikika mpaka shingoni na saa zingine mpaka mgongoni ambayo husababisha maumivu haswa unapozidisha mwendo au shughuli. Kitu kikubwa ni kutibu ugonjwa unaosababisha hali hiyo.

12: Hypertension headaches;
Ni maumivu ya kichwa chote, mwendo mkubwa pia huongeza maumivu. Hali hii husababishwa na shinikizo la damu. Tibu au pambana kushusha shinikizo la damu na halii itaisha bila shaka.

Kabla ya kukupa dawa na ushauri wangu nina maswali nikuulize unijibu.

Je unapata Usingizi wa kutosha? Unalala usiku masaa mangapi? Je, unakunywa maji ya kutosha? Una miaka mingapi? Unapata haja kubwa ya kutosha? Nenda pia kapime macho yako na ukapime tena kwenye mishipa yako ya fahamu huenda una matatizo. Na kitu kingine unakuwa upo juani uwe unavaa kichwani kofia.



TIBA MBADALA YA KIPANDA USO:



Grape Juice Juisi ya Zabibu Dawa ya Ugonjwa wa Kipanda uso Migraine Kunywa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 au siku 7utapona.