Showing posts with label MATATIZO YA MIGUU. Show all posts
Showing posts with label MATATIZO YA MIGUU. Show all posts

Wednesday, 18 December 2024

MARADHI YA MIGUU KUWAKA MOTO CHANZO CHAKE NA MATIBABU YAKE (NEUROPATHY)


 

Nini maana ya miguu kuwaka moto?​
Miguu kuwaka moto ni tatizo kubwa sana kwa sasa. Maumivu haya yanaweza kuwa ya mda mfupi au yakakaa mda mrefu bila kuisha. Miguu yako itahisi hali ya kuungua na kufa ganzi. Maumivu huwa makali sana hasa nyakati za usiku.
Matibabu ya changamoto ya miguu kuwaka moto yanategemea na chazo cha tatizo lako. Endelea kusoma zaidi makala hii ili ujue chanzo cha tatizo lako na tiba sahihi inayokufaa.
Sababu 10 zinazokufanya upate tatizo la miguu kuwaka moto​

1.Miguu kuwaka moto kwasababu ya kisukari-Diabetic Neuropathy​
Kisukari kinapokusumbua kwa mda mrefu kinapelekea mishipa midogo ya fahamu kuathirika. Mishipa inapoathirika inakwamisha pia usafirishaji wa taarifa ndani ya mwili.
Taarifa zisiposafirishwa vyema inapelekea changamoto kwenye kuhisi matukio ya ndani na nje ya mwili. Pia kisukari kinaharibu mishipa ya damu ambayo inabeba hewa safi ya oksijeni ndani ya mwili.
Mishipa ya fahamu inaweza kuathiriwa maeneo mbalimbali ya mwili. Na athari hii inaongeza endapo una
  • uzito mkubwa na kitambi
  • presha ya kupanda imeongezeka
  • unavuta sigara
  • kunywa pombe
Aina za ganzi ya kisukari​
Athari za mishipa ya fahamu kitaalamu tunaita neuropathy, lakini kuna aina za neuropathy. Aina kubwa ambayo inawatokea zaidi wagonjwa kisukari ni peripherial neuropathy.
Peripherial maana yake ni maeneo ya pembezoni, hivo ni athari ya mishipa ya fahamu iliyo kwenye viungo vya pembezoni mwa mwili. kama vidole vya miguuni na mikononi.
Dalili zingine za hii peripherial neuropathy ni pamoja na
  • kuhisi mguu na mikono kufa gani
  • kuhisi kama umevaa kitu cha kubana mfano wa sox
  • maumivu makali ya haraka na kupotea
  • kutokwa jasho jingi kupita kiasi na
  • miguu na mikono kukosa nguvu
Ni muhimu sana kumwona daktari endapo umegundua una dalili za ganzi ya kisukari. Kwenye kutibu tatizo lako utatakiwa kurekebisha kwanza kisukari ili mishipa isiendelee kuathirika zaidi.
2.Matumizi ya pombe​
Watu wanaokunywa sana pombe wapo kwenye hatari ya kuathirika mishipa ya fahamu, na hii kitaalamu inaitwa alcoholic neuropathy. Aina hii ya ganzi inaweza kusababisha maumivu kwenye unyayo na miguu kukosa nguvu.
Tiba kwa ganzi ya aina hii kuacha kwanza pombe na kubadili lishe yako kwa kula mlo kamili. Endapo utaacha pombe itapunguza athari zaidi na pia kuondoa zile dalili mbaya.
3.Upungufu wa lishe.​
Upungufu wa Vitamin B kwenye lishe yako kunaweza kupelekea upate tatizo la miguu kuwaka moto.
Kupungukiwa damu pia inatokana na upungufu wa vitamin B.
Dalili zingine za kwamba una upungufu wa damu na kupelekea ganzi ni pamoja na kukosa nguvu, uchovu, kushindwa kupumua vizuri na kizunguzungu
4.tatizo kwenye tezi ya shingo-thyroid​
Kuna changamoto mbili za tezi ya shingoni. Ni aidha tezi inafanya kazi chini ya kiwango- hypothyrpoidsm au inafanya kazi kupita kiasi-hypethyrodism. Tezi inapofanya kazi chini ya kiwango, yaweza kupelekea mishipa ya fahamu kuathirika na hivi kukufanya miguu yako iwake moto.
5.Magonjwa ya kuambukiza​
Mishipa ya fahamu inaweza kuathiriwa kutokana na magonjwa mbalimbali ya kuambukiwa, na hivo kukufanya upate ganzi kwenye miguu. Magonjwa haya ni pampja na
  • ukimwi
  • kaswende
  • mkanda wa jeshi
Kama unahisi una magonjwa haya ya kuambukiza, ongea na daktari ili aweze kukupima.
6.Fungus ya Miguu-athletes foot​
Hii ni aina ya fungus ya miguu inayoambukizwa kwa kasi sana, na inaathiri unyayo, mikono na kucha pia. Ugonjwa huu pia huitwa tinea pedis.
Dalili kubwa ya fungus kwenye miguu mi kuwasha kwenye unyayo na dali zingine ni pamoja na
  • malengelenge kwenye unyayo
  • ngozi kunyonyoka katikati ya vidole na kwenye unyayo
  • ngozi kuwa kavu pembeni ya mguu na kwenye unyayo
  • kucha kugeuka rangi kuwa yeusi na nene sana kuliko mwanzo
7.Magonjwa ya figo​
Kazi ya figo ni kuchuja mkojo na kutoa taka kupitia njia ya mkjo na jasho. Kama figo hazifanyi kazi vizuri, inapelekea sumu kujikusanya kwenye mfumo wako. Sumu zinapojikusanya zaweza kupelekea ganzi kwenye na miguu kuwaka moto.
Karibu asilimia kumi ya watu wenye magonjwa ya figo wanapata hili tatizo la kuvimba miguu kunakoambatana na kuwaka moto.
Wagonjwa wa figo waliopo kwenye huduma ya kusafisha damu yani dialysis, wanapta hii changamoto ya miguu kuwaka moto. Hii ni kwasababu wanakuwa na upungufu mkubwa wa virutubishi mwilini. Tiba ya kusafisha damu-dialysis inaondoa vitami B1 kwenye damu.
Kufeli kwa figo oia kunasababisha dalili hizi
  • kuvimba miguu
  • muwasho
  • kichwa kuuma
  • maumivu
  • joint kuwa ngumu na kujaa maji
  • kuhisi ganzi na viungo kukosa nguvu
8.Peripherial artery disease​
Artery ni mishipa inayosafirisha damu yenye hewa safi ya oksijeni mwilini. Kwahivo kama damu isipofika eneo fulani la mwili, inapelekea ganzi na hali ganzi na kuwaka moto maeneo ya miguu na vidole vya mikono.
9.Matibabu ya Chemotherapy​
Tiba hii inahusisha matumizi ya dawa zenye nguvu sana ili kuharbu seli za saratani. Chemotherapy ina madhara kiasi kwenye mwili, ikiwamo kuleta matokeo mabaya kama
  • ganzi na kuchoma kwenye miguu na mikono
  • uchovu mwingi na kukosa hamu ya kula
  • misuli kulegea na
  • maumivu
10.Kukaa kwenye mazingira yenye sumu​
Unapofanya kazi maeneo yenye kemikali nyingi, mfano viwandani au kwenye mionzi yaweza kukupelekea uathirike mishipa ya faham na hivo kupelekea miguu kuwaka moto. Pia dawa baadhi mfano za ukimwi na kifafa zaweza kupelekea athari kwenye mishipaya fahamu.
Tiba ya nyumbani itakayokupa nafuu kwa miguu kuwaka moto​
  1. Chovya miguu yako kwenye maji baridi au kwenye barafu kwa dakika chache kisha utoe
  2. Chovya miguu yako kwenye maji yenye chunvi au apple cider vinegar. Kama una kisukari muulize kwanza daktari wako kama njia hii ni sahihi
  3. Tumia chai ya manjano. Manjano ya kiambata cha curcumin ambacho kinapunguza maumivu kwenye neva
  4. Fanya masaji kwenye mguu ili kurahishisha usafirishaji wa damu.

Saturday, 30 June 2018

MARADHI YA MIGUU KUWAKA MOTO (PERIPHERAL NEUROPATHY)



Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili 

yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na 

hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).

5.Shinikizo la damu,

Nina kuuliza Swali je una uzito wa mwili kilo ngapi? Una miaka mingapi? umeowa au umeolewa? 

Unao ugonjwa wa kisukari? unao ugonjwa wa Maradhi ya Presha? Kapime huenda una Ukosefu wa Kupungua kwa virutubisho Mwilini? Ukipata majibu wasiliana na mimi kwa Private messege

Wednesday, 28 October 2015

NATURAL HOME REMEDIES FOR ATHLETE'S FOOT




Athlete's Foot:

• Athlete's foot is a condition caused by a group of fungi 

called dermatophytes


Symptoms to look for:

• Itching between the toes

• Scaly, reddish and rough skin

• Moist, white lesions leading to pain and discomfort

• Pungent smell

• Infection may spread to nails making them thick and 

yellow in colour


Causes:

• Wearing closed footwear for long periods of time leads 

to collection of sweat

• The moist conditions facilitate fungal growth


Natural home remedy using baking soda:

1. Take 2 tbsp of baking soda 

2. Add some water to make a paste

3. Apply the paste on the infected area

4. Once dry, wash it off

5. Dry your feet thoroughly with a towel


Natural home remedy using corn starch:

1. Take some corn starch 

2. Apply on the affected area with cotton

3. Wash after 15 minutes

Natural home remedy using garlic:

1. Crush 5-7 garlic cloves to make a paste

2. Massage on the infected area

3. Leave it for 10 minutes

4. Wash with normal water


Natural home remedy using vinegar:

1. Vinegar is acidic and kills fungus

2. Take 1 part vinegar and 4 parts water

3. Mix in a tub

4. Soak your feet in it for 20-30 min 

5. Do this twice everyday

Tips:

• Dry your feet after bathing 


• Clean your shoes regularly

• Wear open-toed

Friday, 30 January 2015

HOME REMEDIES FOR NUMBNESS IN HANDS AND FEET

Numbness in the hands and feet means there is a lack of touch sensation. Other symptoms can include tingling or burning sensations, sharp pain or weakness of the affected area.
It is a very common problem. There are many causes, including constant pressure on the hands and feet, exposure to cold objects, temporary nerve compression, a nerve injury, excessive drinking, smoking, fatigue, lack of activity and nutritional deficiency of vitamin B12 or magnesium.
At times, numbness in body parts like hands and feet can be due to medical conditions, such as carpal tunnel syndrome, diabetes, migraines, multiple sclerosis, and an underactive thyroid.

Usually, numbness that lasts only a few minutes is not a matter of concern, but consult your doctor if you experience it frequently and for long periods. It can be a symptom of an underlying health issue that requires appropriate treatment.
Suffering from numbness in your hands and feet can be quite discomforting. Fortunately, you can treat the problem easily with simple home remedies.

Here are the top 10 home remedies for numbness in the hands and feet.

1. Warm Compress

The first thing you need to do is apply a warm compress on the affected area. It will help increase blood supply to the numb area. Moreover, it will relax the muscles and nerves in the area.
  1. Dip a washcloth in warm water.
  2. Wring out the excess, then place it on the affected area for 5 to 7 minutes.
  3. Repeat several times until the numbness is gone.
You can also enjoy a warm shower or use a heating pad to alleviate discomfort.

2. Massage

Massaging your hands and feet when numbness occurs is another easy way to deal with this problem. It increases blood circulation, which in turn lessens numbness. Moreover, it helps stimulate the nerves and muscles, thereby improving their overall functioning.
  1. Put some warm olive, coconut or mustard oil on your palm.
  2. Apply it on the numb area.
  3. Massage in circular motions with firm fingers for at least 5 minutes.
  4. Repeat as needed.

3. Exercise

Exercise can improve blood circulation and oxygen to all parts of the body, thus preventing numbness and tingling sensations anywhere in the body, including your hands and feet. Moreover, regular exercise improves mobility and prevents many health problems.
  • Do simple foot and hand exercises for 15 minutes daily in the morning. Also, during intervals at work, exercise your arms, wrists, hands and legs by doing curls and stretches.
  • Cardiovascular workouts and aerobic exercises for 30 minutes, 5 days a week also will help a lot.
  • Enjoy walking, bicycling, jogging or swimming on a regular basis to improve blood circulation.
Make sure to stretch well before workouts, and wear appropriate exercise shoes and gear.
Note: Avoid high-impact exercises if they cause numbness in your feet and toes.

4. Turmeric

Turmeric contains a compound known as curcumin, which helps improve blood flow throughout your body. In addition, its anti-inflammatory property helps reduce pain and discomfort in the affected area.
  • Add 1 teaspoon of turmeric powder to a cup of milk. Heat it over a low flame. Add a little honey and drink it once daily to improve circulation.
  • You can also massage the affected area with a paste prepared with turmeric power and water for a few minutes.
  • If you have poor circulation, you can take turmeric supplements daily. Consult your doctor before taking any supplement.

5. Epsom Salt

One of the most common home remedies to reduce numbness is to soak your feet in a tub of warm water with Epsom salt. The magnesium sulfate crystals can help raise magnesium levels in the body and improve blood circulation. Adequate circulation can help reduce numbness and prevent it from recurring.
  1. Mix ½ cup of Epsom salt in a small tub filled with warm water.
  2. Soak your feet in this solution for 10 minutes.
  3. Repeat this remedy a few times a week.
Note: Those who have diabetes, high blood pressure or kidney problems must avoid this remedy.

6. Cinnamon

Cinnamon contains numerous chemicals and nutrients, including manganese and potassium along with many important B vitamins. Its nutritional properties help improve blood flow to your arms and legs, and thus help treat numbness in hands and feet. Experts recommend taking 2 to 4 grams of cinnamon powder daily for good blood circulation.
  • Mix 1 teaspoon of cinnamon powder in a glass of warm water. Drink it once daily.
  • Another option is to mix together 1 teaspoon each of cinnamon powder and honey and have it daily in the morning for a few weeks.

7. Ginkgo Biloba

ginkgo biloba
Ginkgo biloba, a popular herb used in Ayurveda, can improve blood circulation all over the body. Thus, this herb can help reduce as well as prevent the problem of numbness.
It is available in the market in supplement forms. The general dosage is 40 milligrams, 3 times a day. However, consult your doctor before taking ginkgo biloba as it may interfere with certain medications.

8. Elevate the Affected Part

To reduce numbness in hands and feet due to poor circulation, elevation will also help. Elevate the affected area for several minutes to improve blood circulation. Once the flow of blood to the affected area gets back to normal, numbness will vanish.
You can place your hands and legs on a few pillows to keep them elevated.

9. Eat More Vitamin B Foods

healthy diet
To prevent numbness and tingling sensations in your hands and feet, it is essential to eat foods high in B vitamins, especially B6 and B12. These vitamins are essential for healthy nerve functioning and their deficiency can cause numbness in certain body parts like hands, arms, fingers and legs.
  • Include foods high in vitamin B6 and B12 in your diet. Some good choices are fortified cereals, eggs, avocados, bananas, meats, beans, fish, oatmeal, milk, cheese, yogurt, nuts, seeds and dried fruits.
  • You can even take a vitamin B-complex supplement twice daily. For the correct dosage and type of supplement, consult your doctor.

10. Increase Magnesium Intake

green leafy veg

A low magnesium level in the body is one of the causes of numbness in hands and feet. Magnesium is an essential mineral for smooth functioning of the nervous system and better blood circulation in the body.
  • Eat magnesium-rich foods like dark green vegetables, nuts, seeds, oatmeal, peanut butter, cold-water fish, soybeans, avocados, bananas, dark chocolate and low-fat yogurt.
  • You can also take magnesium supplements, 350 mg daily. However, talk with your doctor to be sure you take the correct dosage.
Additional Tips
  • If the numbness in your feet is due to staying in one position for a long time, move around slowly to improve blood circulation.
  • Avoid remaining in the same position for long periods, especially when watching TV or working at the computer.
  • Avoid caffeine and alcoholic drinks as they can reduce blood circulation.
  • Eat more fresh fruits and green leafy vegetables, while avoiding processed and refined foods.
  • Drink an ample amount of water throughout the day to prevent dehydration, which can cause poor blood circulation.
  • Avoid cigarettes and other tobacco products that can overload the nervous system.
  • To prevent numbness in your feet, avoid wearing shoes that do not fit well. High heels or shoes that pinch the toes can cause numbness.
  • Lose weight to reduce numbness in your feet and toes.

Thursday, 11 December 2014

TATIZO LA MIFUPA AU KUUMWA MIGUU/MAGOTI: OSTEOPOROSIS



Tatizo hili hujulikana kwa jina la kitaalamu kama Osteoporosis. Ugonjwa huu unatokana na kupunguka kwa protini na madini kwenye mifupa (madini chokaa/calcium). Hali hii hupelekea mifupa kuwa milaini na myepesi ambapo inaweza kuvunjika kirahisi. Kipindi cha utoto hadi kufikia umri wa miaka 30, ni kipindi ambacho mifupa hujijenga zaidi. Baada ya hapo mifupa huwa ina kawaida ya kupoteza madini zaidi. 

Tatizo hili linatokea sana kwa watu wazima, hasa zaidi kwaa wanawake ambao wamefikia kipindi cha kukoma hedhi (menopause), kuanzia miaka 50. Ni kipindi ambacho wanawake hupungukiwa na homoni yenye kazi ya kuilinda na kuikinga mifupa. Tatizo hili huwapata wanawake zaidi kwa kuwa wana mifupa midogo na myembamba kuliko wanaume. Miaka mitano (5) hadi aba (7) tangu mwanamke kukoma hedhi hupungukiwa na madini chokaa kwa asilimia ishirini (20%), zaidi ya wanaume. Kuanzia miaka 65 hadi 70 wanawake na wanaume hupoteza madini chokaa kwaasilimia sambamba.

NINI CHA KUFANYA

1. Mazoezi hasa kipindi ambacho umriu mepiga hatua
2. Kwa wale wenye uzito uliozidi, jitahidini kufanya utaratibu wa kupunguza
3. Jitahidi kupata madini chokaa (calcium) kwa wingi (maziwa freshi, maziwa mgando, mboga za majani)
4. Jitahidi kupata Vitamini D (mayai, maziwa, samaki, mboga za majani, pata jua)

VIRUTUBISHI
Kwa ambao tatizo limekuwa kubwa, inawapasa kujitahidi kupata virutubishi ili kuirejeshea mifupa nguvu na uimara, pia kuondokana na maumivu.
Virutubishi vifuatavyo vimewasaidia wengi wenye tatizo hili.
1. Calcium
2. Chitosan
3. Lycopen



KUKOSEKANA KWA UTE KATIKATI YA VIUNGO (JOINTS) - CARTILAGE

Kajiraba fulani ambako hujulikana kwa jina la kitaalamu kama “Cartilage” (katileji) ambako hupatikana katikati ya mifupa. Kuna kitu fulani huwa kinapatikana katikati ya mifupa miwili ya goti la mnyama (ng’ombe, mbuzi) huwa wengi wanapenda kukila kwenye baada ya kuchemshwa au kupikwa. Kama unaijua hii, basi ndio katileji yenyewe.
Katileji inasaidia kuikinga mifupa isiumie.Vilevile inafanya kazi ya kusaidia kuubeba uzito wakati wa kutembea, kuinama, kunyoosha viungo au kukimbia.
Zaidi ya asilimia 85 (85%) ya katileji ni maji, na jinsi umri unavyosonga mbele, maji hayo huwa yana kawaida ya kupungua. Na asilimia 15 niprotini.
Tatizo hili lipo zaidi kwenye sehemu ya magoti. Endapo katileji inakuwa ina tatizo, husababisha maumivu makali hasa unapotaka kusimama au kutembea, vile vile kwenye mabega, au nyonga. Pia inaweza sababisha uvimbe (goti au nyonga au bega kuvimba).
Mtu ambaye katileji yake ina tatizo aidha imelika au kutokuwepo kabisa, anatakiwa kupatiwa vitu au virutubishi ambayo vitasaidia kuirekebisha katileji au kuijaza kwa upya.
Virutubishi vifuatavyo vimesaidia wengi wenye tatizo hili:
1. Shark Cartilage
2. Calcium
3. Chitosan

Monday, 14 July 2014

MIKONO NA MIGUU KUFA GANZI INASABABISHWA NA NINI? NUMBNESS IN HAND AND FEET




TATIZO LA MIKONO/MIGUU KUFA GANZI  

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili 

yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na 

hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).

5.Shinikizo la damu,

kUFA Ganzi katika mikono na miguu inaweza kuwa imesababishwa kutokana na sababu kadhaa na ni kuchukuliwa kama dalili muhimu za matatizo fulani, hasa ya neva matatizo. Soma juu ya kujua zaidi ...

Lazima mara nyingi niliona hisia katika mikono yangu na miguu kwamba ninahisi kama kuchomwa na sindano (Paresthesia). Hisia hii, inaojulikana kama ni ganzi, inaweza kuwa na uzoefu wakati shinikizo ni kutumiwa kwa mikono yako au miguu na wakati wa kubaki katika nafasi hiyo kwa muda mrefu. Ganzi na Kuwakwa kwamba huchukua kutoka 



sekunde chache kwa dakika chache anahesabiwa kuwa kawaida kabisa. Hata hivyo, kuganda kuwa ni uliokithiri na itaendelea kwa masaa kadhaa ni tatizo kubwa na haipaswi kupuuzwa. Aina hii ya kufa ganzi inaweza kuwa imesababishwa kutokana na sababu mbalimbali na utambuzi mwafaka ni muhimu kwa ajili ya matibabu yake sahihi. Hebu kuwa na kuangalia sababu inawezekana na matibabu ya ganzi na ganzi katika mikono na miguu.


Sababu

Mikono na miguu numb husababishwa kutokana na sababu mbalimbali kuanzia lishe kwa ugonjwa au mishipa ya Neva na machafuko ya mfumo. Hapa chini ni chache ya sababu yake ya kawaida.

Wasiwasi na Ugonjwa wa kichwa kipanda uso kuumwa na kichwa upande mmoja


Mbili ya sababu ya kawaida ya kufa ganzi katika miguu na mikono ni mashambulizi ya wasiwasi au au kipanda uso kuumwa na kichwa upande mmoja. Wasiwasi katika mtu

inaongoza kwa mabadiliko fulani ya kisaikolojia kama kiwango cha kuongezeka moyo na kinga ya kina kirefu, kuganda kama vile. Vile vile mwanzo wa kuumwa kichwa upande mmoja huwa umeandamana na kupoa na uziwi katika mikono, miguu, shingo na mdomo.

Upungufu wa Vitamin Mwilini.
Upungufu wa vitamini muhimu kama B5 vitamini, B6 na B12, vitamini A na vitamini D unaweza kusababisha kuganda pamoja na mikono na miguu baridi, uchovu, udhaifu wa misuli na kupoteza hisia. Kwa hiyo ni muhimu sana kwa kula vitamini kwaajili ya kutibu miguu kufa ganzi na kama vile ganzi mikononi.


Kisukari
Ganzi katika mikono na miguu ni dalili muhimu ya ugonjwa wa kisukari, hasa aina II kisukari. high damu sukari na glucose ngazi ya kisukari husababisha mfumo wa neva malfunction na hatimaye husababisha uharibifu wake.


Multiple Sclerosis
Ganzi katika mikono na miguu wakati umelala ni dalili muhimu ya multiple sclerosis, hasa wakati wa hatua yake ya awali. Sclerosis Multiple ni sifa kwa hasara taratibu za ala myelin ambayo ni kifuniko kulinda ya seli ujasiri. Hii inasababisha uharibifu wa neva, pia inajulikana kamaneurodegeneration na ni wajibu kwa ganzi.


Unazidi Ischemic Attack (tia)
muda mfupi ischemic mashambulizi, pia inajulikana kama kiharusi mini, ni ugonjwa unaosababishwa na kupoteza muda wa usambazaji wa damu kwa ubongo na hivyo kukatiza ubongo kazi. Ganzi juu ya upande wa mwili ambao unadumu kwa chini ya saa moja au mbili, ni dalili ya ugonjwa huu.


Raynaud Mwilini
Syndrome Raynaud ni machafuko ambayo spasms chombo damu ni uzoefu ama kutokana na joto chini sana au kutokana na outburst ghafla, na nguvu ya kihisia. spasms kuzuia au kukataza mtiririko wa damu kwa maeneo kama ya vidole na miguu ambayo inaongoza kwa ganzi katika vidole vya mikononi na miguuni.


Carpal Tunnel Mwilini
Carpal syndrome handaki unasababishwa na kuumia kwa neva kuzunguka mkono. Forearm na kufa ganzi kushoto mkono ni mbili ya ishara muhimu sana ya ugonjwa huu.


Angina
Angina ni disorder wanaotambuliwa na usambazaji kupunguzwa oksijeni kwa moyo kutokana na thickening ya mishipa. Upande wa kushoto ganzi akiongozana na kiasi fulani ya maumivu ni dalili muhimu ya ugonjwa huu.


Pembeni ateri Magonjwa
Pembeni ateri ugonjwa ni ugonjwa unaosababishwa kutokana na mkusanyiko wa plaque, ambayo ni dutu fatty, katika mishipa. Mkusanyiko Hii husababisha kupungua na ugumu wa mishipa ambayo inapinga mtiririko wa damu. Ganzi katika vidole, miguu na mikono pamoja na mikono na miguu baridi ni dalili muhimu ya ugonjwa huu.

Sababu nyingine

Kuna sababu nyingine ambayo inaweza kusababisha hisia ya Ganzi katika mikono na miguu. Baadhi ya hizi ni pamoja, wadudu na kuumwa wanyama, kama athari ya aina fulani ya dawa uharibifu, ujasiri kuletwa juu na pombe na tumbaku, na risasi, na zaidi.



Tiba
Kupata kuondoa ganzi katika mikono na miguu itahitaji matibabu ya hali au ugonjwa kutokana na ambayo ni kuwa unasababishwa. Hivyo kutegemea hali ambayo imesababisha kwa kufa ganzi, matibabu yanaweza kuagizwa na daktari. Mara sababu ni kushughulikiwa na, kufa ganzi na dalili nyingine kuandamana kuchukuliwa huduma ya pamoja.

Mtu anaweza daima kujaribu kukaza misuli nje kama vile massaging eneo hilo. Nyosha miguu na mikono vile kwamba misuli wanaruhusiwa kupumua. Hii kuboresha mzunguko wa damu. Vile vile, wakati moja huanza na uzoefu huu hisia numbing, mtu anaweza

kuanza massaging eneo, ama kwa mafuta au kwa kifupi kutumia shinikizo kwa vidole. Hii pia kusababisha ongezeko katika mtiririko wa damu na hivyo inaweza kujikwamua ganzi. Njia nyingine ambayo inaweza kutumika ni kutumia compress moto juu ya eneo hilo anahisi numb. Mazoezi na tiba ya massage pia inaweza kusaidia katika kuondoa ganzi.

Lakini, kama sisi zilizotajwa mwanzoni mwa makala, ikiwa ni mara kwa mara ganzi basi mahitaji ya kuwa checked na utambuzi sahihi kufanyika kupitia kwa mtaalamu. Ni lazima alibainisha kuwa katika hali fulani kama sclerosis nyingi (ambayo ni vigumu kutibu) baadhi ya kiasi cha kufa ganzi na kupoteza hisia ni uzoefu wakati wote na wanaweza kuwa treatable.

Sasa unajua sababu ya kufa ganzi katika mikono na miguu, kama uzoefu sawa sensations kwa zaidi ya siku moja au mbili, kuhakikisha kushauriana na daktari. Kupuuzia hii dalili itakuwa mbaya tu ugonjwa msingi na hivyo, ni muhimu kwamba kupata ni wametambuliwa na kutibiwa.