FAIDA INGINE YA MATUMIZI YA ASALI KWA WENYE VIDONDA VYA TUMBO
Tumia Asali ya nyuki,Mdalasini na Maji ya Uvuguvugu kila siku Asubuhi kabla ya
kula kitu na jioni kwa muda wa mwezi mmoja vidonda vya Tumbo vitakuwa
vimekwisha kabisa kupona jaribuni kisha muje munipe Feedback.
Namna ya kutengeneza Dawa fanya hivi:
chukuwa kijiko kikubwa kimoja cha Asali changanya na kijiko kimoja cha unga wa
Mdalasini uweke katika Glasi 1 ya Maji ya Uvuguvugu kisha unywe Asubuhi
kabla ya kula au kunywa kitu chochote kile na ukae kwa muda wa saa moja
kupiata ndio waweza kula. Na wakati wa usiku fanya hivyo hivyo kunywa tena
mchanganyiko huo wa Asali na Unga wa Mdalasini dumisha hivyo kwa muda wa
mwezi mmoja kisha nenda kapime utakuta huna tena Vidonda vya tumbo mwilini mwako Tumieni hiyo Dawa itawasaidieni.
0 comments:
Post a Comment