Wednesday, 7 May 2014

DAWA YA MARADHI YA AMOEBA



WATU wengi

wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa Amoeba lakini hupuuzia pale dalili zinapoanza, ni ugonjwa mbaya ambao ukikaa sana

tumboni husababisha madhara makubwa , kama kuhara damu kupindukia, kutapika, kusikia kizunguzungu, kukosa hamu ya kula na kupata homa kali.

Ugonjwa huu mara nyingi husababishwa na maji na vyakula jamii ya mbogamboga kama hutakuwa umesafisha vizuri.

Dalili za ugonjwa

ni pamoja na tumbo kujaa na kukata kwa vipindi fulani, mtu akienda kujisaidia mara nyingi huishia kujikamua sana na akipata choo huwa hajisikii kumaliza.

Hizo ni baadhi ya dalili ila zipo nyingi lakini usitumie dawa mpaka utakapogundua kwa kupima kwani dawa nzuri inanywewa pale mtu anapogundua ana tatizo gani.
Tiba asilia ya Amoeba

Majani ya mpera


Tiba asilia inayotumika kumaliza kabisa tatizo hili ni pamoja na majani ya mpera, unayachukua na kuyakamua kwenye maji masafi ya kunywa ukiwa umeshayaosha vizuri kisha unakunywa nusu kikombe kwa siku mara tatu kwa siku tatu mfululizo.
Kitunguu swaumu

Chukua kitunguu swaumu punje tano menya kisha viweke ndani ya nusu lita ya maji safi na salama, changanya na maji ya limao moja chemsha mpaka maji yapungue, usisahau kuweka chumvi kidogo kwa ajili ya kupata ladha.

Ukishatengeneza kinywaji hicho unaweza kunywa kila siku glasi moja.
Ni tiba nzuri isiyo na madhara kwa mgonjwa.


Related Posts:

  • PUMPKIN SEED CURE MANY DISEASES MBEGU ZA MABOGA ZINATIBU MARADHI MENGI TU Pumpkin seeds contain anti-stress, reduce anxiety, antibacterial and even prevent cancer. Before processing pumpkins for meals, desserts or decorating, remember to retain its seeds. Do not throw away pumpkin se… Read More
  • MATIBABU YA CHUNUSI (TREATMENT OF ACNE) Lengo la tiba ya chunusi ni kupunguza uzalishaji wa mafuta ya sebum usoni pia kutibu vijidudu vya bakteria ambavyo hushambulia ngozi ya uso na kusababisha viupele vinavyowasha  na wakati mwingine kuleta maumivu usoni. … Read More
  • JUISI YA MATUNDA MCHANGANYIKO KAMA TIBA Katika ulimwengu wa vyakula, inafahamika na kuaminika kuwa chakula ni dawa. Chakula unachokula leo ndicho kinachoamua hali yako ya kiafya kesho. Unaweza kuishi bila kuugua kama ukila vyakula vyote muhimu vinavyohita… Read More
  • JUISI YA MAJANI YA PAPAI: KIBOKO YA DENGUE Ugonjwa wa Homa ya Dengue (dengi) umeibuka nchini katika siku za hivi karibuni na kuwa tishio. Ripoti za awali kuhusu Dengi kwa mwaka huu, ziliibuka kwa kishindo baada ya kuwakumba hadi wasanii maarufu. Ni ugonjwa am… Read More
  • KUTIBU MARADHI YA MASIKIO Sikio (Ear) limegawika katika sehemu tatu kuu. Sehemu ya nje ya sikio, sehemu ya kati ya sikio na sehemu ya ndani ya sikio.   Kuna aina mbili ya matatizo ya masikio nayo ni:   i.    &n… Read More

10 comments:

  1. POLE NA KAZI. SAMAHANI NAOMBA KUIFAHAMU DAWA YA ASILI NA YENYE UWEZO WA KUTIBU NA KUMALIZA UGONJWA WA "Urinary Track Infections" (U.T.I) Ahsante

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dawa ninayo Nitafute nipate kukutibia.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu

      Delete
    2. Call dawa ipo kwa namba 0754948109

      Delete
  2. Hayo majani ya mpera kwa tiba ya amiba unayasga kwenye Brenda kwanza ili kuyakamua maji au unayachemsha?

    ReplyDelete
  3. Kama utaweza kuyasaga kwenye mashine ya blenda hayo majani ya mpera utaweka glasi 1 ya maji utasaga pamoja na kuyachuja na kuyanywa pasipo na kuyachemsha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Je ayo majani ya mpera yawe kiasi gani. Na yale mateke au yaliyo komaa!

      Delete
    2. Je, amoeba inaweza sababisha maumivu ya kiuno kwa muda mrefu

      Delete
  4. Asante kiongozi,je kwa mtu ambae anashida ya homa ya ini anawezatumia hii dawa isilete madhara yaani hii ya kitunguu swaumu na limao katika kutibu amoeba?

    ReplyDelete
  5. Nikichemsha majani ya mpera je aiwezi saidia kutibu amoeba ?

    ReplyDelete
  6. Naomba kufahamu juu ya tiba ya amoeba kwa kutumia vitunguu saum kama ulivyoelekeza hapo juu.Swali langu kuwa,nshitsjika kutumia glass moja kwa muda wa siku ngp?Na swali la pili Imeelekezwa nusu lita msji ichangsnywe na punje tano za kitunguu,Ichemshwe hadi ipungue then ichanganywe na chumvi au asali kuleta Radha,swali lng hapo siitskuwa imebaki kama glass mbili tu ndio itakuwa dose kamili hiyo??

    ReplyDelete