Showing posts with label MATUMIZI YA MAJI YA UVUGUVUGU. Show all posts
Showing posts with label MATUMIZI YA MAJI YA UVUGUVUGU. Show all posts

Tuesday, 21 October 2014

JITIBU MAGONJWA MBALIMBALI KWA KUNYWA MAJI YA UVUGUVUGU-2



Maradhi ya muda mrefu na mfupi yanayosababisha vifo, yanaweza kupona kwa njia rahisi sana.  Njia hii si nyingine bali ni maji ya kunywa. imeelezwa na wataalamu kwamba mtu anaweza kujitibu maradhi ya muda mrefu na mfupi kama haya yafuatayo:-
Kuumwa kichwa (headache), shinikizo la damu (BP), upungufu wa damu (Anaemia), kupooza, unene (obesity), mapigo ya haraka ya moyo na kuzimia.
Kikohozi, kuumwa na koo (Bronchitis), pumu na kifua kikuu (TB), kiungulia, kuharisha, kufunga choo na kisukari (Diabetes).Mengine ni pamoja na matatizo yote ya macho. Matatizo ya kike kubadili siku zao, kansa ya kizazi, magonjwa ya pua, masikio na koo.
NAMNA YA KUTUMIA:
Amka asubuhi na mapema.  Kabla hujapiga mswaki na kunawa uso, kunywa maji kiasi cha bilauri nne (4). Kisha unaweza kunawa na kupiga mswaki. Baada ya hapo usinywe chai au kula chochote mpaka zipite dakika arobaini (40).  Baada ya kunywa chai kaa masaa mawili (2), kunywa maji bilauri nne (4),  kaa dakika arobaini (40) kabla ya kula chochote.  Baada ya kula kaa masaa mawili (2), kisha kunywa maji bilauri nne (4), kaa dakika arobaini (40) kabla ya kula chochote.  Epuka kula chakula muda mfupi kabla ya kulala.
Wagonjwa na watu dhaifu wanashauriwa kuanza kwa kunywa bilauri moja au mbili za maji na kuongeza kidogo kidogo mpaka kufikisha bilauri nne na kuendelea kunywa mara kwa mara.  Kusema ukweli watu wote walio wagonjwa na wenye afya wajaribu kutumia njia hii ya kujitibu watapona na wazima wa afya hawataugua tena.
Kwa uzoefu na uchunguzi imebainika kwamba magonjwa mbalimbali yafuatayo yalitibiwa katika muda kama ilivyo hapa chini.
- Shinikizo la damu (HEP)           Mwezi mmoja (1)
- Matatizo ya kujaa gesi            Siku kumi (10)
- Kisukari (Diabetes)                    Mwezi mmoja (1)
- Kufunga choo                          Siku kumi (10)
- Kansa                                        Miezi sita (6)
- Kifua kikuu                                Miezi mitatu (3)
Wale wenye matatizo ya kujaa gesi na ugonjwa wa mifupa/baridi yabisi (Rheumatism) wanashauriwa kutumia njia hii ya water therapy mara tatu kwa siku kwa muda wa siku kumi (10). Njia ya namna hii ya kujitibu ni rahisi na nyepesi sana kwa mtu na haihitaji kulipia gharama zozote.  Ni njia ya ajabu na asilia sana kwani inarudisha afya ya mtu bila kutumia hata dawa au fedha.  Mwanzoni mtu anaweza kujisikia kwenda haja ndogo mara kwa mara kwa muda wa siku kama tatu lakini baadaye itakuwa kama kawaida.

Thursday, 1 May 2014

JITIBU MAGONJWA MBALIMBALI KWA KUNYWA MAJI YA UVUGUVUGU







Glasi  ya  maji  ya  Uvuguvugu.



Ifuatayo  ni  orodha  ya  baadhi  ya  magonjwa  yanayo weza  kutibiwa  kwa  maji  ya  Uvuguvugu

- pumu= asthma


- shinikizo la damu= hbp


- migraine / kichwa= migraine/ headache


- ugonjwa wa sukari= diabetes


- upungufu wa damu= anemia


- maumivu nyuma= back pain


- mawe katika figo= urinary calculus


- maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection


- cholesterol= cholesterol


- baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis


- kiharusi =stroke


- udhaifu wa mwili =sexual and body weakness


- kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue


- tonsili =tonsillitis


- vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)


- mafua/homa =colds, flu & fever


- kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)


- kichome kwenye roho= heartburn



- kidonda tumboni =stomach ulcer


- kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation


- kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism


- kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)


- magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)


- kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)


- maradhi ya moyo =heart disease


- saratani= cancer


- usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period



MATUMIZI:

Kunywa    glasi  mbili  ya  maji  ya Uvugvugu  asubuhi  unapo amka kabla ya kwenda chooni kupiga mswaki na kabla  ya  kula  chochote  na unapo maliza kupiga mswaki kunywa tena 

Maji ya Uvuguvugu glasi 1 na kaa kwa muda wa saa 1 ndio waweza kula chakula cha asubuhi. Na wakati wa mchana kunywa tena glasi 2 kabla ya kula kitu kisha kaa baada ya saa 1 kupita waweza kula chakula cha mchana. Na wakati wa   usiku kabla ya kula chakula 

cha usiku kunywa tena Maji ya Uvuguvugu glasi 2 kaa baada ya saa 1 kupita waweza  kula. kabla  ya  kulala kunywa glasi 1 ya Maji ya Uvugvugu kisha waweza kulala. Fanya  hivyo kila siku  katika maisha yako maradhi yote yatakuondokea kabisa utapona.