wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa Amoeba lakini hupuuzia pale dalili zinapoanza, ni ugonjwa mbaya ambao ukikaa sana tumboni husababisha madhara makubwa , kama kuhara damu kupindukia, kutapika, kusikia kizunguzungu, kukosa hamu ya kula na kupata homa kali. Ugonjwa huu mara nyingi husababishwa na maji na vyakula jamii ya mbogamboga kama hutakuwa umesafisha vizuri.
Dalili za ugonjwa
ni pamoja na tumbo kujaa na kukata kwa vipindi fulani, mtu akienda kujisaidia mara nyingi huishia kujikamua sana na akipata choo huwa hajisikii kumaliza.
Hizo ni baadhi ya dalili ila zipo nyingi lakini usitumie dawa mpaka utakapogundua kwa kupima kwani dawa nzuri inanywewa pale mtu anapogundua ana tatizo gani.Tiba asilia ya Amoeba
Majani ya mpera
Tiba asilia inayotumika kumaliza kabisa tatizo hili ni pamoja na majani ya mpera, unayachukua na kuyakamua kwenye maji masafi ya kunywa ukiwa umeshayaosha vizuri kisha unakunywa nusu kikombe kwa siku mara tatu kwa siku tatu mfululizo.Kitunguu swaumu
Chukua kitunguu swaumu punje tano menya kisha viweke ndani ya nusu lita ya maji safi na salama, changanya na maji ya limao moja chemsha mpaka maji yapungue, usisahau kuweka chumvi kidogo kwa ajili ya kupata ladha.
Ukishatengeneza kinywaji hicho unaweza kunywa kila siku glasi moja. Ni tiba nzuri isiyo na madhara kwa mgonjwa.
FAIDA YA MATUMIZI YA KULA UYOGA KITIBA ( MUSHROOM)
1. Uyoga ni chanzo kikubwa na kizuri cha vitamin C, D na Potassium.2. Uyoga unaondoa hatari ya kuwa na kansa kwa kupambana na kuviondoa vianzilishi vya kansa za aina zote.3. Uyoga ni tiba ya kisukari kwa waliothariwa taya…Read More
UYOGA: KINGA BORA DHIDI YA SARATANI
VIRUTUBISHO maalum vinavyopatikana kwenye uyoga, vimevuta hisia za watafiti kwa zaidi ya miaka 20 sasa ili kupata uhakika kwamba mboga hii ina uwezo mkubwa wa kutoa kinga kwa mwili wa mwanadamu dhidi ya ugonjwa wa sa…Read More
MAAJABU YA MATUNDA NI TIBA ILIYODHARAULIWA
Karoti
ina protini kidogo na haina mafuta kama tulivyoona kwa tunda la
avocado. Pia ina asili ya wanga, na ni chanzo kizuri cha vitamini B, C
na E. Aidha ina madini mengi ikiwemo madini ya chuma. Kuna kitu…Read More
Dawa ninayo Nitafute nipate kukutibia.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
Kama utaweza kuyasaga kwenye mashine ya blenda hayo majani ya mpera utaweka glasi 1 ya maji utasaga pamoja na kuyachuja na kuyanywa pasipo na kuyachemsha.
Asante kiongozi,je kwa mtu ambae anashida ya homa ya ini anawezatumia hii dawa isilete madhara yaani hii ya kitunguu swaumu na limao katika kutibu amoeba?
Naomba kufahamu juu ya tiba ya amoeba kwa kutumia vitunguu saum kama ulivyoelekeza hapo juu.Swali langu kuwa,nshitsjika kutumia glass moja kwa muda wa siku ngp?Na swali la pili Imeelekezwa nusu lita msji ichangsnywe na punje tano za kitunguu,Ichemshwe hadi ipungue then ichanganywe na chumvi au asali kuleta Radha,swali lng hapo siitskuwa imebaki kama glass mbili tu ndio itakuwa dose kamili hiyo??
POLE NA KAZI. SAMAHANI NAOMBA KUIFAHAMU DAWA YA ASILI NA YENYE UWEZO WA KUTIBU NA KUMALIZA UGONJWA WA "Urinary Track Infections" (U.T.I) Ahsante
ReplyDeleteDawa ninayo Nitafute nipate kukutibia.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
DeleteCall dawa ipo kwa namba 0754948109
DeleteHayo majani ya mpera kwa tiba ya amiba unayasga kwenye Brenda kwanza ili kuyakamua maji au unayachemsha?
ReplyDeleteKama utaweza kuyasaga kwenye mashine ya blenda hayo majani ya mpera utaweka glasi 1 ya maji utasaga pamoja na kuyachuja na kuyanywa pasipo na kuyachemsha.
ReplyDeleteJe ayo majani ya mpera yawe kiasi gani. Na yale mateke au yaliyo komaa!
DeleteJe, amoeba inaweza sababisha maumivu ya kiuno kwa muda mrefu
DeleteAsante kiongozi,je kwa mtu ambae anashida ya homa ya ini anawezatumia hii dawa isilete madhara yaani hii ya kitunguu swaumu na limao katika kutibu amoeba?
ReplyDeleteNikichemsha majani ya mpera je aiwezi saidia kutibu amoeba ?
ReplyDeleteNaomba kufahamu juu ya tiba ya amoeba kwa kutumia vitunguu saum kama ulivyoelekeza hapo juu.Swali langu kuwa,nshitsjika kutumia glass moja kwa muda wa siku ngp?Na swali la pili Imeelekezwa nusu lita msji ichangsnywe na punje tano za kitunguu,Ichemshwe hadi ipungue then ichanganywe na chumvi au asali kuleta Radha,swali lng hapo siitskuwa imebaki kama glass mbili tu ndio itakuwa dose kamili hiyo??
ReplyDelete