wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa Amoeba lakini hupuuzia pale dalili zinapoanza, ni ugonjwa mbaya ambao ukikaa sana tumboni husababisha madhara makubwa , kama kuhara damu kupindukia, kutapika, kusikia kizunguzungu, kukosa hamu ya kula na kupata homa kali. Ugonjwa huu mara nyingi husababishwa na maji na vyakula jamii ya mbogamboga kama hutakuwa umesafisha vizuri.
Dalili za ugonjwa
ni pamoja na tumbo kujaa na kukata kwa vipindi fulani, mtu akienda kujisaidia mara nyingi huishia kujikamua sana na akipata choo huwa hajisikii kumaliza.
Hizo ni baadhi ya dalili ila zipo nyingi lakini usitumie dawa mpaka utakapogundua kwa kupima kwani dawa nzuri inanywewa pale mtu anapogundua ana tatizo gani.Tiba asilia ya Amoeba
Majani ya mpera
Tiba asilia inayotumika kumaliza kabisa tatizo hili ni pamoja na majani ya mpera, unayachukua na kuyakamua kwenye maji masafi ya kunywa ukiwa umeshayaosha vizuri kisha unakunywa nusu kikombe kwa siku mara tatu kwa siku tatu mfululizo.Kitunguu swaumu
Chukua kitunguu swaumu punje tano menya kisha viweke ndani ya nusu lita ya maji safi na salama, changanya na maji ya limao moja chemsha mpaka maji yapungue, usisahau kuweka chumvi kidogo kwa ajili ya kupata ladha.
Ukishatengeneza kinywaji hicho unaweza kunywa kila siku glasi moja. Ni tiba nzuri isiyo na madhara kwa mgonjwa.
UGONJWA WA MAFINDOFINDO (TONSILS)
Tonsil husababishwa na sababu nyingi tu . Pia husababishwa na upungufu wa white blood Cells katika mwili ambazo cells hizi ndio hupigana na vidudu vyote venye kuleta maradhi ndani ya mwili sasa vinaposhindwa kufanya kaz…Read More
DAWA YA KUTIBU UGONJWA WA TETEKUWANGA (CHICKEN POX)
Tetekuwanga ni ugonjwa unasababishwa na virusi viitwavyo Varicel Zoster. Ugonjwa huu una ambukizwa kwa haraka sana. Vipele hufanana na malengelenge; na vinawasha sana. Ugonjwa huu ni wa hatari zaidi kwa watoto wachang…Read More
MAPAPAI NI DAWA YA KANSA,SHINIKIZO LA DAMU NA MAGONYWA YA MOYO
MAPAPAI NI DAWA YA KANSA,SHINIKIZO LA DAMU NA MAGONYWA YA MOYO
Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kwa kula papai au kunywa juisi yake
Papai lina fibrin ambayo hupunguza kuganda kwa damu
Fibrin inaweza kuzu…Read More
Dawa ninayo Nitafute nipate kukutibia.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
Kama utaweza kuyasaga kwenye mashine ya blenda hayo majani ya mpera utaweka glasi 1 ya maji utasaga pamoja na kuyachuja na kuyanywa pasipo na kuyachemsha.
Asante kiongozi,je kwa mtu ambae anashida ya homa ya ini anawezatumia hii dawa isilete madhara yaani hii ya kitunguu swaumu na limao katika kutibu amoeba?
Naomba kufahamu juu ya tiba ya amoeba kwa kutumia vitunguu saum kama ulivyoelekeza hapo juu.Swali langu kuwa,nshitsjika kutumia glass moja kwa muda wa siku ngp?Na swali la pili Imeelekezwa nusu lita msji ichangsnywe na punje tano za kitunguu,Ichemshwe hadi ipungue then ichanganywe na chumvi au asali kuleta Radha,swali lng hapo siitskuwa imebaki kama glass mbili tu ndio itakuwa dose kamili hiyo??
POLE NA KAZI. SAMAHANI NAOMBA KUIFAHAMU DAWA YA ASILI NA YENYE UWEZO WA KUTIBU NA KUMALIZA UGONJWA WA "Urinary Track Infections" (U.T.I) Ahsante
ReplyDeleteDawa ninayo Nitafute nipate kukutibia.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
DeleteCall dawa ipo kwa namba 0754948109
DeleteHayo majani ya mpera kwa tiba ya amiba unayasga kwenye Brenda kwanza ili kuyakamua maji au unayachemsha?
ReplyDeleteKama utaweza kuyasaga kwenye mashine ya blenda hayo majani ya mpera utaweka glasi 1 ya maji utasaga pamoja na kuyachuja na kuyanywa pasipo na kuyachemsha.
ReplyDeleteJe ayo majani ya mpera yawe kiasi gani. Na yale mateke au yaliyo komaa!
DeleteJe, amoeba inaweza sababisha maumivu ya kiuno kwa muda mrefu
DeleteAsante kiongozi,je kwa mtu ambae anashida ya homa ya ini anawezatumia hii dawa isilete madhara yaani hii ya kitunguu swaumu na limao katika kutibu amoeba?
ReplyDeleteNikichemsha majani ya mpera je aiwezi saidia kutibu amoeba ?
ReplyDeleteNaomba kufahamu juu ya tiba ya amoeba kwa kutumia vitunguu saum kama ulivyoelekeza hapo juu.Swali langu kuwa,nshitsjika kutumia glass moja kwa muda wa siku ngp?Na swali la pili Imeelekezwa nusu lita msji ichangsnywe na punje tano za kitunguu,Ichemshwe hadi ipungue then ichanganywe na chumvi au asali kuleta Radha,swali lng hapo siitskuwa imebaki kama glass mbili tu ndio itakuwa dose kamili hiyo??
ReplyDelete