Tuesday, 14 August 2018
JE WAJUWA FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KIUMBE MDUDU MENDE?
Mjue Mende
1.Ni mdudu anayeweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote. Wana uwezo wa kuishi katika mazingira magumu. Aina moja kwa jina Eublaberus posticus wanaweza kuishi mwaka mmoja kwa kunywa maji pekee.
2.Ni mdudu anayeweza kuishi wiki mbili bila ya kunywa maji.
3.Wakati moyo wa mwanadamu ni mmoja wenye chemba nne mende ana moyo mmoja wenye chemba kumi na tatu.
4.Baadhi ya mende wa kike hawaitaji wanaume kuweza kuzalisha mayai hupandana wao kwa wao na kutaga mayai katika kipindi chote cha maisha yao.
5.Mende ana uwezo wa kukaa kwa zaidi ya dakika 40 bila ya kupumua.
6.Mende ana uwezo wa kuishi zaidi ya wiki mbili akiwa amekatwa kichwa.
7.Ana uwezo wa zaidi ya mara 15 ya binadamu wa kuzuia miale mikali ya nuklia isimdhuru na kubaki hai.
8.Mende ni mdudu asiye na mapafu.
9.Ana uwezo wa kuruka maili 3 kwa saa.
10. Badala ya kuwachukia, wanasayansi huwafurahia sana na kuwatumia kwa manufaa ya binadamu. Mwaka 1999, mende walitumiwa na Prof Robert Full katika Chuo Kikuu cha California, Berkley, kumpa wazo la kuunda roboti ya miguu sita iliyosonga upesi na kwa urahisi.
11. Mende wanatumiwa pia katika matibabu. Wanasayansi kwa miaka mingi wamekuwa wakishangazwa na uwezo wa mende kukaa muda mrefu maeneo yenye sumu na uchafu bila kudhurika.
Wamegundua kwamba huwa wanatoa kemikali za kupigana na sumu. Leo katika hospitali Uchina, krimu inayotengenezwa kwa kutumia ungaunga wa mende waliosiagwa hutumiwa kutibu vidonda vya moto na pia humezwa kutibu vidonda vya tumbo.
Related Posts:
SIRI ZA KASI YA MBEGU ZA KIUME ZAGUNDULIWA! Wataalamu wanasema wamegundua kwamba mbegu za kiume huanza kwenda kwa kasi wakati zinapofika karibu na yai la mwanamke, suala ambalo huenda siku zijazo likasaidia katika kupatikana dawa ya kuzuia mimba ya wanaume. Vitundu … Read More
KUWA NA KIUNGULIA KILA MARA KUNAWEZA KUSABABISHA KUPATWA NA KANSA YA KOO KWA ASILIMIA 78% Kiungulia ni hali inayojitokeza kwa mtu kuhisi maumivu ya kuwaka moto yakianzia maeneo ya chini ya kifua yakipanda katikati ya kifua hadi kufikia katika usawa wa kooni. Hali hii ya kuhisi kuwaka moto kooni au kifuani hu… Read More
TAHADHARI : UGOMVI UNAVYOATHIRI AFYA YAKO YA MWILINI. Wanaume wasio na ajira wako katika hatrari ya kuathirika zaidi kutokana na ugomviUgomvi wa mara kwa mara baina ya wapenzi, marafiki ama hata jamii unaongeza hatari ya kufa kwa watu wenye umri wa makamo.Haya ni kwa mujibu w… Read More
UPARA SABABU YA MARADHI YA MOYO? Wanaume wanaoanza kuwa na upara huenda wakakabiliwa zaidi na tisho la maradhi ya moyo kuliko wenzao waliojaa nywele vichwani. Hii ni kwa mujibu wa watafiti nchini Japan. Utafiti huu uliowahusisha watu 37,000,… Read More
KULA BLUEBERRY KUNAONGEZA UWEZO WA UBONGO Utafiti mpya umegundua kuwa, kunywa vikombe viwili na nusu vya juisi ya blueberry kwa siku ( mie naziita kunazi za bluu) kunaongeza uwezo wa ubongo wa kufahamu, na kuondoa matatizo ya usahaulifu yanayotokana na utu … Read More
I am FRED and i want quickly recommend DR NCUBE for a Job well done by
ReplyDeletecuring me from the genital herpes disease that have be giving me sleepless night. if you want to contact him, Simply do that via email drncube03@gmail.com or
call/whatsapp +2348155227532
he also have #herbs for
#hiv/aids
#cancerdisease
#fibroid
#diabetes