MPENDWA msomaji, leo nitaendelea kuelezea kuhusu magonjwa nyemelezi kwa wanawake tukimalizia na mkanda wa jeshi. Tuwe pamoja...
Mkanda wa jeshi mbali ya kuathiri sehemu za mishipa ya fahamu (neva), pia huweza kudhuru jicho na sikio.
Dalili zake ni maumivu makali mwilini homa, vipele, maumivu ya kichwa, uchovu na maumivu ya macho kutokana na mwanga (photophobia).

Ugonjwa wa Malengelenge:
Husababishwa na virusi siyo VVU bali hivi huitwa Herpes Simplex na vimegawanyika katika Herpes Simplex Virus-1 (HSV-1) na Herpes Simplex-2 (HSV-2).
Husababishwa na virusi siyo VVU bali hivi huitwa Herpes Simplex na vimegawanyika katika Herpes Simplex Virus-1 (HSV-1) na Herpes Simplex-2 (HSV-2).
Virusi vya HSV-1 vyaweza ambukizwa kupitia ngozi laini za mwili na kubusiana.Huweza kusababisha mwasho kwenye midomo, ulimi, fizi za meno au kingo ya juu ya kinywa. Kwa upande wa virusi vya HSV-2 hivi huweza kusababisha michubuko na maumivu kwenye uke na njia ya haja kubwa (lakini pia wanaume huweza kupata virusi hivi).
Katika kiwango cha juu cha ugonjwa viungo vingine vya mwili kama macho, njia ya chakula, mfumo wa fahamu na njia za mfumo wa hewa huathirika.
Dalili mbalimbali za ugonjwa huu ni malengelenge au blisters, mwasho na muunguzo.Kushindwa kumeza au kupata maumivu wakati wa kumeza chakula, tezi kuvimba na maumivu wakati wa haja kubwa au ndogo.
Dalili mbalimbali za ugonjwa huu ni malengelenge au blisters, mwasho na muunguzo.Kushindwa kumeza au kupata maumivu wakati wa kumeza chakula, tezi kuvimba na maumivu wakati wa haja kubwa au ndogo.
Maumivu ya Retina
Kwa lugha ya kitaalamu huitwa CMV Retinitis na husababishwa na kirusi kiitwacho Cytomegalovirus (CMV).
Kirusi hiki, mbali ya kuathiri jicho na haswa retina, pia huathiri viungo vingine.
Kwa lugha ya kitaalamu huitwa CMV Retinitis na husababishwa na kirusi kiitwacho Cytomegalovirus (CMV).
Kirusi hiki, mbali ya kuathiri jicho na haswa retina, pia huathiri viungo vingine.
MAGONJWA NYEMELEZI KWA WANAWAKE - 3
Mpenzi msomaji, leo naendelea na mada hii inayohusu magonjwa nyemelezi kwa wanawake.
Dalili zake ni pamoja na kutoona vizuri, macho kuuma, kutokwa na machozi kwa wingi mara kwa mara, kutopata matibabu mapema huweza kusababisha upofu. Pia Huweza kuathiri viungo vingine na kusababisha homa, nimonia, kichefuchefu, kuharisha na kupungua uzito.

Baada ya kuchambua baadhi ya magonjwa yatokanayo na virusi sasa tuangalie yale yatokanayo ya fangasi.Fangasi pia huweza kujitokeza iwapo kinga ya mwili itashuka kwa mfano mtu anaweza kupata Kandidiasisi. Kandidiasisi husababishwa na fangasi aitwaye Candida albicans ambaye huathiri kinywa, mfumo wa chakula,uke na mfumo wa hewa.
Kandidiasisi katika uke huweza tokea kwa mwanamke mwenye afya asiye na VVU. Dalili zake katika kinywa ni pamoja na kubadilika kwa ladha, maumivu kwenye ulimi,utando mweupe kwenye ulimi na kingo za juu za kinywa, kushindwa kumeza chakula, maumivu wakati wa kumeza chakula ikiwa fangasi imesambaa sana. Pia mwasho na maumivu ukeni pamoja na kutokwa na majimaji meupe ukeni.
Ugonjwa mwingine unaosababishwa na fangasi ni homa ya uti wa mgongo kitaalam unaitwa meningitis ambao husababishwa na fangasi aitwaye Cryptococcal neoformans.
Uti wa mgongo utokanao na aina hii ya fangasi huweza kusababisha kifo usipotibiwa. Aina hii ya fangasi ambayo huathiri zaidi ubongo na uti wa mgongo, hutokana na kuvuta hewa yenye vumbi litokanalo na ndege wenye vimelea vya ugonjwa.
Baadhi ya dalili zake ni homa, kutoona vizuri, macho kuuma kutokana na mwanga, kuchanganyikiwa akili, maumivu ya kichwa ka kukakamaa na kuuma kwa shingo.
Wapo pia fangasi wanaoitwa Histoplasmosisi. Aina hii hutokana na vimelea vya Histoplasma capsulatum.
Wapo pia fangasi wanaoitwa Histoplasmosisi. Aina hii hutokana na vimelea vya Histoplasma capsulatum.
0 comments:
Post a Comment