Thursday 26 June 2014

VYAKULA VITOKANAVYO NA ASILI YA MAFUTA






VYAKULA VYA ASILI YA MAFUTA:

Vyakula hivi hupatikana katika makundi mawili yaani vile vitokanavyo na wanyama (mafuta ya wanyama shahamu) na vyakula vitokanavyo na wanyama ni kama vile maziwa, siagi, samli na mayai, mafuta yatokanayo na mimea ni kama vile katika karanga, mbata, korosho, ufuta, michikichi ni bora zaidi kuliko yote yatokanayo na mimea.

MATUMIZI:
1) Kusaidia katika kusaga chakula kwa kukifanya nyongo itoke katika kibofu cha nyongo na maji kongosho yatoke katika kongosho
2) Kuhifadhi vile viungo vya mwili viwezavyo kushikwa upesi na hitilafu.
3) Kuwezesha mwili kuwa na utendaji wa joto.

UPUNGUFU WAKE;
1) Mwili kukosa nguvu ya kujilinda na vijidudu vya magonjwa.
2) Ukosefu wa vitamin A ya kutosha.
3) Kushindwa kusaga vyema chakula kilichopo mwilini.

0 comments:

Post a Comment