Saturday 14 June 2014

MAPAPAI NI DAWA YA KANSA,SHINIKIZO LA DAMU NA MAGONYWA YA MOYO



MAPAPAI NI DAWA YA KANSA,SHINIKIZO LA DAMU NA MAGONYWA YA MOYO
Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kwa kula papai au kunywa juisi yake
Papai lina fibrin ambayo hupunguza kuganda kwa damu
Fibrin inaweza kuzuia kiharusi
Lycopene iliyomo katika papai inaweza kupunguza hatari ya kansa ya kibofu
Mbegu za papai hutibu homa ya matumbo (typhoid)
Juisi ya papai huondoa sumu mwilini
Juisi ya papai hutibu vyema shinikizo la damu
Juisi ya papai husaidia kuzuia magonjwa ya moyo
Juisi ya papai ina folate, vitamini C na E ambavyo huzuia saratani ya utumbo.
Juisi ya papai hujenga kinga ya mwili.

0 comments:

Post a Comment