Wednesday 21 May 2014

NATURAL THERAPY FOR OPENING THE VEINOF HEART TIBA MBADALA YA KUFUNGUWA MISHIPA YA MOYO


Say no to Angioplasty

Natural therapy for opening the veins of Heart.



Lemon Juice 1 Cup

Ginger Juice 1 Cup

Garlic Juice 1 Cup

Apple Vinegar 1 Cup


Mix all above and Boil on Low Heat, Approximately half hour, When it becomes 3 Cups, Take off stove and let cool.


After cooling, mix 3 Cups of natural honey and keep it in bottle.


Every morning before breakfast use one Table spoon Regulary.


Your blockage of Vein’s will open.


No need of any ANGIOPLASTY or BYPASS.


Please pass on this to your real well wishers…

kwa wasiojuwa Kimombo kiingereza soma hapa chini

Jiusi ya limau kikombe 1


tangawizi Juisi kiKombe 1


vitunguu Saumu Juice ki Kombe 1


Siki ya Apple (tufaha) ki Kombe 1




Changanya yote hapo juu na Chemsha kwenye joto la chini, Takriban nusu saa, angalia mpaka ibaki vikombe 3, toa jikoni na ipoe iwe baridi.




Baada ya baridi, hiyo Dawa changanya na vikombe 3 ya Asali ya Asili na kuitunza katika chupa.




Kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa uwe unakunywa hiyo dawa kwa kutumia kijiko kikubwa cha kulia wali kimoja




Dawa hii kazi yake itafunguwa mishipa yako ya moyo utapona kabisa.


Hakuna haja ya kutumia Dawa ingine tena.

0 comments:

Post a Comment