Kiingulia ni acidity iliyozidi kufuatia kula kitu chenye acidity. Maharage yakilala yana ferment hivyo kutengeneza more acidity state hivyo ukiyala vimengenyo vya pelipeptaid, peptaid na pepton vyenye kazi ya kuyeyusha wanga vinatoa acid nyingi ukichanganya na ile ya maharage matokeo yake ni kiungulia.
Dawa ya kiungulia ni kunywa alcalinine yoyote au base ili kuineutralize ile acid na kutengeneza chumvi na maji hivyo kutokuwa na madhara tena.
Dawa ya kawaida sana ni vidonge vya magnesium tricilicate au actal. Majivu yakichanganyika na maji yanatengeneza alcaline solution ambayo pia inaneutralize ile acid. Tatizo la majivu hakuna kipimo sahihi ukizidisha, hata ile acid ya kawaida ya kusaga chakula inakuwa neutralized hivyo chakula kinashuka kilivyo.
Usipotafuta suluhisho la kudumu kuicontrol hiyo acid tumboni kwako, inaweza kumungunya mpaka ngozi laini ta tumboni hivyo kusababisha vidonda vya tumbo vinaitwa ulcers.
DAWA YA KUTIBU KIUNGULIA KWA TIBA MBADALA:
KIUNGULIA::
TIBA;:
Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback
0 comments:
Post a Comment