Sunday 20 April 2014

TIBA YA KUTOKUPATA USINGIZI



  1. Miongoni mwa vinvyosababisha usingizi ni mafuta ya tango, hufaa sana kwa wale wenye usingizi mchache wajipake mafuta hayo.
  2. Vilevile mafuta ya busanji yanasaidia kuleta usingizi, pia ukitia kwenye nyayo zako za miguu maji ya Uvuguvugu utapata usingizi.
  3. Pia kunusa manemane na kunywa maji yaliorowekwa manemane.
  4. Kunusa zafarani na tufaha (apple) na pia maji ya zafarani ukayatia kichwani husaidia kuleta usingizi.
  5. Kunywa maziwa moto huleta usingizi
  6. Asali safi ya nyuki kunywa kabla kulala kwa saa huleta usingizi.

0 comments:

Post a Comment