Sunday 20 April 2014

HOMA YA MATUMBO (TYPHOID)


Ni ugonjwa unaoenezwa na bacteria jamii ya salmonella. Huenezwa kupitia maji yasiyo salama,chakula na kupitia mtu mwenye vjidudu hivyo bila dalili.


DALILI: 

  • Awali ni kama za malaria. 
  • Kujisikia joto linalopanda hadi kufikia 103-105F (39-40C), 
  • Maumivu ya kichwa,misuri, na kukosa hamu ya kula. 
  • Baada ya juma kama mbili hivi kuharisha kwaweza kuanza. 
  • Kama matibabu hayatatolewa mgonjwa atazidi kuathilika hatimaye kifo.

TIBA ZAKE

Chagua Dawa mojawapo kwako wewe itakuwa ni Rahisi kuitumia na kuipata.
Miche ifuatayo itumike kumpa enema mgonjwa au kumpampu kwa njia ya bomba la sindano. Wakia mbili au cc 50-60 za dawa majani ya Red respbarry, magome ya White ork, au Magome ya mninga au Wild alum mizizi.
 

Songwa, ni mmea wa mashambani sio mti: Chuma majani 10 au kijiko kimoja cha chai kama imesagwa kuwa unga, koroga katika glasi moja ya maji moto. Ikiwa ni majani pika maji yachemke, kisha epua, ndipo uyatie hayo majani katika hayo maji mara moja, yakipoa kunywa.
Dozi hiyo ni kwa siku 10 hadi 14. 


DOZI
Wazima kikombe 1 cha chai kutwa mara tatu kwa siku 7—14 kutegemea na ugonjwa. 
Vijana zaidi ya miaka 12 nusu kikombe cha chai kutwa mara tatu. 
Miaka 6-12 robo kikombe kutwa mara tatu Miaka 2-5Kijiko kikubwa mara tatu kutwa.
 

MSONGWA
Mti mkubwa wenye kutoa matunda yenye uchachu. Chemusha magome yake au yasage uwe unga.
 

DOZI
Gome la ukubwa kiganja lichemshwe katika maji bilauri 6 kwa dakika 10, kisha kunywa vipimo kama namba mbili hapo juu.
 
ALOE VERA

Tumia dozi hiyo mara mbili. chemsha uwe unakunywa kutwa mara 2.
 

TANGAWIZI NA JIRA
Saga viwe unga, tumia kijiko kimoja katika glasi moja la maji x2 kutwa. Pia tatizo la kuhara damu na la Amoeba tumia hiyo hiyo.
 
SOGOYA

Nao ni mmea wa mashambani sio mti: Chuma majani 10 au kijiko kimoja cha chai kama imesagwa kuwa unga, koroga katika glasi moja ya maji moto. Ikiwa ni majani pika maji yachemke, kisha epua, ndipo uyatie hayo majani katika hayo maji mara moja, yakipoa kunywa. 

DOZI
Hiyo ni kwa siku 10 hadi 14.

2 comments: