Nanasi |
NANASI ni tunda
lenye ladha nzuri. Mbali
na kutumika kama
tunda ama juisi
yake kutumika kama
kinywaji, tunda la nanasi
lina faida mbalimbali
kwa afya ya
mwanadamu.
Baadhi ya faida
hizo ni pamoja
na :
i.
UTAJIRI WA
VITAMINI NA MADINI :
Nanasi ina vitamini
A,B na C na pia ina madini ya chuma, calcium, copper na phosphorous ambayo yote
ni muhimu sana
katika afya ya
mwanadamu.
ii.
Tunda hili husaidia kutengeneza damu
iii.
Nanasi husaidia
kuimarisha mifupa , meno, neva na misuli (muscles).
iv.
Tunda
la nanasi hutibu matatizo ya tumbo.
v.
Hutibu matatizo
ya Bandama
vi.
Hutibu matatizo
ya Ini
vii.
Husaidia kusafisha
Utumbo mwembamba
viii.
Husaidia kutibu Homa
ix.
Husaidia kutibu Vidonda mdomoni
x.
Husaidia kutibu
Magonjwa ya koo
xi.
Husaidia kutibu
tatizo la Kupoteza kumbukumbu
xii.
Husaidia kutibu
maradhi ya akili Kukosa mori (low spirit)
xiii.
Husaidia kutibu
Kikohozi
xiv.
Husaidia kutibu
tatizo la Kutetemeka
xv.
Husaidia kutibu
tatizo la Woga ( Anxiety )
xvi.
Husaidia kutibu matatizo ya wanawake (upungufu wa hormones au
makosa fulani katika sehemu za siri )
xvii. Huondoa shida ya kufunga choo
xviii.
Hutibu tatizo
la baridi yabisi
xix.
Husaidia katika
kutibu tatizo la
Upungufu wa damu
xx.
Pia
tunda hili huwasaidia
akina mama wanaonyonyesha (wenye maziwa machache)
0 comments:
Post a Comment