FAIDA ZA KIAFYA ZA MATANGO.
MATANGO yana
faida mbalimbali katika
afya ya mwili
wa mwanadamu.
Matango huweza
kutengenezwa kama juisi au kutafunwa bila kupikwa.
MATAYARISHO
Osha vizuri na kula
na maganda, ukiondoa maganda siyo mbaya sana pia.
FAIDA ZA
KIAFYA ZA MATANGO:
Faida za
kiafya za matango
ni pamoja na :
i.
Kutibu magonjwa ya
saratani
ii.
Kutibu Vidonda vya tumbo
iii.
Kutibu magonjwa ya ngozi
iv.
Kutibu majipu
v.
Matango hutumiwa kwa
urembo wa ngozi (Kutumia matango kwa
urembo wa ngozi, sugua uso kwa kipande cha tango au
osha uso kwa juisi yake)
vi.
Matango husaidia kuondoa uric-acid katika mwili
vii. Vilevile matango husaidia kusafisha na kutibu utumbo mwembamba
viii. Matango husaidia
kuzuia na kutibu magonjwa ya ini na figo
ix.
Juisi ya matango inasaidia
kuufanya mwili kuwa
katika afya nzuri.
x.
Watu wenye mikono yenye michubuko, watumie matango kwa kupaka
mikono na mwili wote . weka katika beseni , osha uso na mwili wote
NB: Vitamini na madini mengi, vinapatikana kwenye maganda. Hivyo unapotumia matango, unashauriwa kutotoa maganda ingawa mengine ni machungu kidogo
0 comments:
Post a Comment