Wednesday 30 April 2014

FAIDA ZA KIAFYA KWA KULA KAROTI

FAIDA ZA KIAFYA ZA KAROTI






Watu  wengi  huitumia  karoti  kama  kiungo  ama  kikolezeo  cha  mboga.
Mbali  na  kutumika  kama  kiungo  cha  kwenye  mboga, karoti  ina  faida  mbalimbali  kwa  afya  ya  mwanadamu.
Karoti  ina  uwezo  wa  kutibu  matatizo  yafuatayo   ya  kiafya :
i.             Inalainisha tumbo
ii.           Inapigana na upungufu wa damu
iii.         Inasaidia  kuzuia  Saratani
iv.         Inasaidia  kutibu   Baridi yabisi
v.           Inasaidia  Kusafisha damu
vi.         Inatibu  Vidonda vya tumbo
vii.       Inasaidia  Kutibu chunusi
viii.     Inasaidia  kutibu  Macho
ix.         Inasaidia  kutibu Koo   na Kibofu  cha  mkojo.
x.           Inasaidia  kulainisha  na  kunawirisha   ngozi  na  kuifanya  yenye  afya

MATAYARISHO
Chukua karoti kilo 1, ponda au twanga iwe laini, chemsha kwa dakika 15 ndani ya maji lita 1 na nusu au 2, chuja kunywa juisi yake kwa vidonda vya tumbo au saratani ya tumbo na matumbo au saratani ya kizazi, tumia nusu kikombe cha chai miezi 3 mpaka 6. Kwa ajili ya kurembesha uso nawia juisiyakekila siku asubuhi mfululizo kwa siku 5.

0 comments:

Post a Comment