Tuesday 15 May 2018

USHAURI WA MTU ALIYEFIKISHA MIAKA 50 ILI KUEPUKANA NA MARADHI YA KUSAHAU AKA ALZHEIMER'S


KWA VIJANA WA ZAMANI
Baada ya kufikisha umri wa miaka 50, mtu anaweza kupata aina nyingi za magonjwa. Lakini ugonjwa mmoja ambao nina wasiwasi nao zaidi ni Alzheimer's. Sio tu kuwa sitaweza kujihudumia, lakini unaweza kusababisha usumbufu mwingi kwa wanafamilia.
Siku moja, mwanangu alirudi nyumbani akaniambia kuwa daktari rafiki alikuwa amemfundisha zoezi linaloutumia ulimi. Zoezi la ulimi linafaa sana katika kupunguza na kutokewa na Alzheimer's na pia hufaa kupunguza kuboresha yafuatayo:
1. Uzito wa mwili
2. Shinikizo la damu
3. Kuganda kwa Damu katika Ubongo
4. Pumu
5. Kutoona mbali
6. Sikio linalovuma
7. Maambukizi ya Koo
8. Maambukizi ya bega / shingo
9. Kutopata usingizi
Hatua husika ni rahisi sana na nyepesi kujifunza. Kila asubuhi, unapoosha uso wako, mbele ya kioo, fanya zoezi kama ilivyoelezwa hapo chini:
*Utoe ulimi wako na kunyoosha - upeleke kulia kisha kushoto mara 10*
Tangu nilipoanza kuufanyia mazoezi ulimi wangu kila siku, kulikuwa na uboreshaji katika kumbukumbu yangu ya Ubongo.
Akili yangu ilitulia na safi na pia kulikuwa na maboresho mengine.
1. Kuona mbali kuliimarika
2. Kupotea kizunguzungu
3. Kuboreka afya
4. Usagaji bora wa chakula
5. Kupungua mafua ya mara kwa mara
Nina nguvu na najihisi mwepesi zaidi.
Zoezi la ulimi husaidia kudhibiti na kuuzuia ugonjwa wa Alzheimer's. Utafiti wa kiganga umegundua kuwa ulimi una uhusiano na ubongo MKUBWA. Wakati mwili wetu unapozeeka na kuwa dhaifu, dalili ya kwanza kuonekana ni kwamba ulimi wetu unakuwa mgumu na mara nyingi unatamani kujitafuna wenyewe.
Kuuzoeza ulimi wako mara kwa mara kutausaidia ubongo, kutasaidia kupunguza fikra zetu kushuka na hivyo kuwa na mwili wenye afya.
*"Madaktari wanahimiza kila mtu akipokea ujumbe huu aupeleke kwa watu wengine kumi, na kwa hakika angalau maisha ya mtu mmoja yataokolewa 

1 comments:

  1. Very significant Information for us, I have think the representation of this Information is actually superb one. This is my first visit to your site. STD Screening Malaysia

    ReplyDelete