Sunday, 15 May 2016

FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI.


FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI.....
Zifuatazo ni faida za kiafya za kitunguu maji.
1. Juisi ya Kitunguu Huua vijidudu vya kifua kikuu.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zimethibitisha kuwa juisi ya kitunguu ina uwezo wa kuua vijidudu vinavyo sababisha maradhi ya kifua-kikuu (Huua baada tu ya mgonjwa kunusa moshi wake)
2. Kitunguu maji huongeza hamu ya kula.
Kitunguu maji kikifanyiwa kuwa achari, ukali wake hupungua huongeza mno hamu ya kula.
3. Huupa mwili nishati na nguvu
Kitunguu maji kikiliwa kikiwa kimechomwa, huongeza nguvu na nishati mwilini na huimarisha misuli ya mwili.
4. Huufanya uso kunawiri
Kitunguu maji kikichomwa na kasha kuliwa huufanya uso kuwa mweupe, mn’gavu na wenye kunawiri.
5. Kitunguu maji huongeza hamu ya kula
6. Kitunguu husaidia kulainisha tumbo
7. Kitunguu husaidia kutibu tatizo la kukosa haja kubwa
8. Kitunguu maji kikipikwa na kuliwa pamoja na samli , husaidia kuongeza nguvu za kiume pamoja na kuboresha nguvu za kiume.
9. Kitunguu kikitengenezwa supu pamoja na nyama, huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
10. Kitunguu maji husaidia kutibu homa ya manjano.
11. Kitunguu maji husaidia kuvunja vijiwe tumboni
12. Kitunguu maji hutumika kutibu tatizo la kukosa hedhi kwa wanawake
13. Kitunguu maji kina utajiri wa Vitamini C ambayo husaidia kuzuia kukua kwa bacteria kwenye jeraha na kuongeza nishati kwenye mbegu za kiume.
14. Kitunguu maji kina madini ya salfa,chuma na vitamin ambayo husaidia kutia nguvu kwenye mishipa
15. Kitunguu maji husaidia kuwatibu wagonjwa wa kisukari.
16. Kitunguu maji husaidia kutibu maradhi ya moyo pamoja na kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu mwilini.
17. Kitunguu maji kimethibitika kuwa vijiuasumu vyenye nguvu zaidi kuliko penesilini (penicillin) kwa hivyo hupoza kifua kikuu, kaswende (syphillis) na kisonono (gonorrhea), pamoja na kuua vijidudu vingi vya hatari.
18. Hutibu tatizo la Pumu:
Kitunguu maji kikitumika pamoja na asali, husaidia kutibu tatizo la pumu.
19. Husaidia kutibu tatizo la Uvimbe wa pafu (Pneumonia )
18. Kituu maji husaidia kutibu tatizo la Saratani za aina mbalimbali.(Cancer):
20. Kitunguu maji husaidia kutibu vidonda ndugu.
21. Kitunguu maji husaidia kutibu tatizo la mvilio wa damu
22. Kitunguu maji husaidia kutibu majipu
23. Husaidia kutibu tatizo la Chunusi
24. Husaidia kuondoa tatizo la Ukurutu (Eczema) kwenye ngozi.
25. Husaidia kutibu Saratani ya ngozi.
26. Husaidia kutibu matatizo ya figo.
27. Husaidia kutibu tatizo la Kikohozi kwa wakubwa na wadogo
28. Husaidia kutibu maradhi ya macho na Kikohozi
29. Husaidia kupunguza uzito wa mwili

Related Posts:

  • FAIDA 10 ZA KUTUMIA MAFUTA YA NAZI 1. Mafuta ya nazi kwa afya ya Moyo: Mafuta ya nazi yana asidi mhimu sana kwa afya ya moyo iitwayo ‘lauric acid’ ambayo ina uwezo mkubwa kuuweka moyo wako katika hali ya afya na furaha kwa kuidhibiti kolesteroli/lehemu mb… Read More
  • UWEZO WA AJABU WA JUISI YA KITUNGUU-2 leo tunaendelea kufafanua faida zake hasa kwa nywele za binadamu. Jambo muhimu la kuzingatia wakati wa usiku ni muda wa kumaliza kula na kunywa juisi hiyo. Hakikisha unakunywa juisi yako angalau masaa mawili baada ya kul… Read More
  • 101 OLIVE OIL BENEFITS Legend has it that the olive tree was a gift from the goddess Athena to humanity. Homer referred to olive oil as liquid gold, and Thomas Jefferson proclaimed it the richest gift of heaven. For centuries, a gi… Read More
  • CHOROKO HUIMARISHA AFYA YAKO Je wewe ni miongoni mwa wapenzi wa choroko? Kama unatumia utakuwa miongoni mwa wanaofaidika na virutubisho muhimu kwa afya mwilini. Wataalamu waliofanya uchunguzi kuhusu choroko ambayo ni jamii ya kunde, wanasema utam… Read More
  • FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KUTUMIA LIMAU KWA CHAKULA NA MATIBABU Faida za limau au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani ya mwili, baridi yabisi, ku… Read More

0 comments:

Post a Comment