"Apple" kwa kiswahili nafikiri
linaitwa
tunda damu,
Tunda hili liko la aina tofauti yako ya kijani yako mekundu na haya mekundu ndio
yaliyo mazuri zaidi na pia yanasemakana matunda mazuri zaidi ni yale ya Europe
au yale ya Kashmir.
Tunda origin yake ni sehemu za Mashariki mwa Europe
na pia Magharibi mwa Asia, na tunda hili linajulikana kwa miaka ya zamani mno
katika miji ya Old China, Babulon na Egypt. Tunda hili limetajwa hata katika
Quraan na Kitabu cha Nabii Issa A.s
Minerals na viwango vilivyomo
katika tunda hilo: Moisture 84.6% -
Calcium 10mg Protein 0.2% -
Phosphorous 14mg Fat 0.5% - Iron
1mg Minerals 0/3% - Vitamins A 40
IU Fibre 1.0% - kiwango kidogo cha
Vitamin E,H na B complex Carbohydrates 13.4%
Tunda hili hutimiwa na lina
faida kubwa katika mwili wa mwanaadamu. Lina dawa ya maradhi
tofauti:
Anaemia: Apple lina wingi wa iron, arsenic na
phosphorus,
kwa mtu mwenywe ugonjwa huu inafaa kufanya juice ya apple iwe fresh. Ni vizuri
kunywa juice hiyo glass moja kabla kula chakula (nusu saa kabla) na pia kabla ya
kwenda kulala usiku.
Kuharisha na kutapika: Mwenye kutokezewa na ugonjwa
huu ni vizuri sana kutumia tunda hili (iwe bivu). Kila siku ale 2 pia kama
yatapikwa au kuchomwa ni mazuri zaidi kwani hulainisha
cellulose.
Dysentery: Kwa watoto aghlabu maradhi haya huwakumba watoto,
ni vizuri mtoto akitokezewa na ugonjwa huu kumpa kila wakati kipande cha apple
kwani huzuia hali ya ugonjwa huo.
Matatizo ya tumbo: Kuna matatizo tofauti ya
tumbo, kwahivo tunda hili limekusanya matatizo yote ya tumbo na kuondoa matatizo
hayo. Changanya apple, asali kidogo na ufura kidogo na kula kabla chakula hii
husaidia kuondoa matatizo ya tumbo kama vile usagaji mdogo wa chakula na
mengine.
Kuumwa na kichwa: Tunda hili lina faida katika
maradhi yote ya kichwa. Apple lilowiva limenye maganda yake, halafu ule kwa
kutia chumvi kidogo kila siku asubugi kabla ya kula kitu chochote, na uendelee
kufanya hivi kwa muda wa wiki 2.
Matatizo ya moyo:Apple ya wingi wa potassium na
phosphorus
lakini sodium inapatikana kidogo sana.Kwa wakai wa zamani watu
walikuwa wakila matunda haya na asali, kwa ajili ya maradhi ya moyo na research
imefanyika imeonekana kwa wale watu wanotumia vyakula venye potassium kwa wingi
huepukana na maradhi ya moyo. Kwahili ni uzuri kula tunda hili pamoja na
asali.
High Blood Pressure:Apple linasaidia katika kuongeza
kutoa (secreation) mkojo ambayo hii inasaidia kurudisha
blood
pressure
katika hali ya kawaida, pia inasaidia kupungua kwa sodium chloride katika
figo.
Kifua kikavu na kidney stones: 250 grams apple ule kwa muda
wa week nzima.
Meno:Matunda haya yanasaidia sana meno katika
kuyasafisha na kuyaepusha na vijidudu na kuoza, kila baada chakula kula apple
moja.
FAIDA YA TUNDA LA APPLE (TUFAHA) KIAFYA
"Apple" kwa kiswahili nafikiri
linaitwa
tunda damu,
Tunda hili liko la aina tofauti yako ya kijani yako mekundu na haya mekundu ndio
yaliyo mazuri zaidi na pia yanasemakana matunda mazuri zaidi ni yale ya Euro…Read More
NANASI KINGA DHIDI YA MAGONJWA YA UVIMBE
Mwili unapokosa kinga imara, huwa katika hatari ya kushambuliwa na kila aina ya magonjwa. Katika orodha hiyo ya magonjwa, yamo pia yale ya kutokwa na uvimbe yakiwemo majipu. Kitaalamu magonjwa haya yanajulikana kama ‘Infl…Read More
FAIDA YA MBEGU ZA TIKITIMAJI
Faida ya kutafuna mbegu za tikiti maji
TIKITI MAJI ni moja ya matunda yanayolimwa sana
katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania tofauti na miaka iliyopita.
Hii inaashiria kwamba tunda la tikiti maji l…Read More
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA NYANYA....
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA NYANYA....
Hili ni tunda mashuhuri na lenye virutubisho ambalo kwa kawaida hutumika kama mbogamboga. Kwa wastani, watu hula takribani kilo 8 za nyanya kwa mwaka.
Nyanya zina aina mbalimbali z…Read More
0 comments:
Post a Comment