Sunday 31 August 2014

JINSI YA KUJITIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME-2-3





Wiki iliyopita tuliianza mada hii ya kujitibu nguvu za kiume ambapo tuliweza kufahamu mfumo wa uzazi wa mwanaume, tuendelee kujifunza somo hili.
Kuna viungo vya ndani, kiungo kkimoja inaitwa seminal vessel, seminal vessel ni kama tezi mbili ambazo kazi yake ni kuzalisha majimaji yanayokwenda kuungana na majimaji yanayozalishwa kwenye protest grand ambayo yanaitwa semen ambazo kazi yake ni kuzibeba mbegu za uzazi za mwanaume ambazo kitaalamu zinaitwa sperm.
Pia kuna kiungo kingine kinaitwa prostate grand, hii ni tezi ya prostate na watu wengine wanaiita tezi dume au tezi ya mwanaume. Tezi hii ipo karibu kabisa na kibofu cha mkojo, kwani nyuma ya tezi hii imeungana na kibofu cha mkojo, prostate grand kazi yake ni kuzalisha seminal fluid ambazo huungana na majimaji yanayozalishwa kwenye seminal vessel kwa ajili ya kutengeneza semen.
Kuna kiungo kingine kinaitwa capas grand hizi ni kama mbegu mbili ambazo hukaa pamoja, nazo huzalisha majimaji mengine ambayo huwa yanaingia kwenye njia ya mkojo (urethra) na kazi yake huwa ni kuandaa mfereji wa mkojo kupitisha mbegu za mwanaume.
Hii ni kwa sababu mwanaume akipata haja ndogo huwa kuna mabaki ya mkojo kwenye njia ya mkojo (urethra) ambayo yana asili ya asidi (acid) na ndiyo maana zikawepo hizi capas grand ambazo hutengeneza majimaji ambayo yanaenda kusafisha ile asidi kwenye njia ya mkojo yenye asili ya alkaline ili kuweka hali ya usafirishaji mzuri wa mbegu za mwanaume.
Pia kuna kiungo kingine kinaitwa ejaculatory duct, ejaculatory duct ni sehemu ya mwisho kabisa baada ya kuungana na vas deferens inayotokea kwenye korodani na kuungana na mrija unaotoka kwenye kibofu cha mkojo kwenda kwenye prostate grand.
Mwanzo kwenye prostate grand kuna kiungo kinaitwa ejaculatory duct ambapo huwa panatoa msisimko wa mtu kuweza kutoa mbegu wakati wa tendo la ndoa, hizi zimetengenezwa kwenye prostate grand, zilizotengenezwa kwenye seminal vessel, mbegu zinazotengenezwa kwenye korodani na kuhifadhiwa kwenye epididymis zikaletwa na vas deferens kwenda pale kwenye prostate grand na kutolewa nje.

JINSI YA KUJITIBU UPUNGUFU WA NGUVU 


ZA KIUME-3



Tumeangalia mfumo wa uzazi wa mwanaume kwa wakati uliopita lakini leo itapendeza zaidi kujua ni jinsi gani mwanaume anaweza kujitibu tatizo hilo hapohapo nyumbani.
Lakini kabla ya kujua jinsi ya kujitibu hapohapo nyumbani ni vizuri tukayatambua madhara ya upungufu wa nguvu za kiume.
MADHARA MAKUBWA NI YAPI?
Madhara makubwa ni kushindwa kushiriki vizuri tendo la ndoa
Kuwahi sana kufika kileleni
Kushindwa kuinuka kabisa
Kuinuka kwa muda mfupi sana
Kuinuka na kushiriki tendo lakini wakati wako kwenye tendo wanalegea na kushindwa kuendelea.
Kuathirika kisaikolojia
Ongezeko kubwa sana la usaliti ndani ya ndoa
Kushindwa kusababisha ujauzito (kwa sababu ya kushindwa kushiriki tendo vizuri).

VISABABISHI
Na ni vitu gani ambavyo husababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume, ni vizuri sana kuvijua ili uweze kuepukana navyo kwa haraka. Navyo ni;
Umri mkubwa kuanzia miaka 45 na kuendelea, uwezo hupungua taratibu.
Kujichua kwa muda mrefu
Kuugua kisukari (Diabetes)
Kuugua presha (High Blood Preasure)
Utumiaji ulevi. Wengi hudhani utumiaji wa vinywaji vikali sana ni dawa lakini hivyo vinywaji vinakufanya uwe tegemezi (addicted) na bila ya hivyo basi unakua huwezi tendo.
Uvutaji sigara kwani sigara ina sumu ambazo si rafiki kwa mfumo wa uzazi wa mwanaume.
Lishe  mbovu nayo huchangia sana tatizo hili.
VYAKULA RAFIKI
Kwa mwanaume vipo vyakula ambavyo ni rafiki sana kwa mfumo wake wa uzazi na vyakula hivyo au mimea hiyo ni kama;
Matumizi ya asali na tangawizi kwa wingi,
Matunda yenye njano nyingi, mfano, maembe
Matikiti maji na mbegu zake
Mbegu za maboga
 Matumizi ya samaki, mfano, pweza.
Kwa matibabu zaidi wasiliana nasi kwa hizo namba hapo juu ili kutatua tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kujenga familia zilizo bora kwa Watanzania.

5 comments:

  1. kwa wote wanahitaji namna ya kujikwamua kutoka katika kuangalia picha za ngono, masturbation na kurudisha uume na nguvu za kiume katika hali hakisi ya mwanzo kwa kutumia vyakula na ushauri, tuwasiliane kupitia ushaurinasaha18@gmail.com

    ReplyDelete
  2. kwa wote wanahitaji namna ya kujikwamua kutoka katika kuangalia picha za ngono, masturbation na kurudisha uume na nguvu za kiume katika hali hakisi ya mwanzo kwa kutumia vyakula na ushauri, tuwasiliane kupitia ushaurinasaha18@gmail.com

    ReplyDelete
  3. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili toka tanga anazo dawa za nguvu za kiume na pia anazo dawa za kurefusha uume na kunenwpesha uume na anatibu UTI PID ..UGUMBA.MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI..KUZIBUA MIRIJA YA UZAZI..FIGO..CHANGO LA UZAZI ..mtafute dr kupitia 0764839091

    ReplyDelete
  4. Kutana na dr mitishamba hashimu kalyundu anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume kukuza uume na kunenepesha uume. .matatizo ya hedhi. .uzazi. .nguvu zagiza uchaw..mpigie 0744903557 tanga

    ReplyDelete