NAANDIKA mada hii baada ya kuona na kusikia kesi nyingi juu ya watu kuishi maisha yaliyojaa hofu ya kudhurika kwa visasi na vijicho vya wabaya wao.
Hakuna ubishi katika mtazamo wa dunia kwamba kuna maisha chanya na hasi, ambayo yanamzunguka mwanadamu katika safari yake ya kuishi. Lakini ugumu anaoupata mwanadamu na pengine ndiyo ambao nataka kuuzungumzia leo ni jinsi gani anaweza kuishi ndani ya mambo mema na mabaya.
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu, nimeona nijikite zaidi katika kutoa mbinu tatu anazoweza kuzitumia mtu ili kujikinga na nguvu za giza au kumshinda mtu anayetaka kumwangamiza. Labda nitaje dhana tu ambazo zinawaogopesha wengi katika maisha yao.
Kimsingi jamii inaogopa sana kurogwa, kuuawa kwa nguvu asili au kutendewa aina yoyote ya ukatili na watu wanaojiita wachawi na washirikina. Kuna kesi nyingi sana kwenye ndoa kuhusiana na kutaka kuangamizana kwa uchawi na kutoana roho kwa silaha. Hali hii iko karibu kila mahali anapoishi mwanadamu.
Katika maeneo ya kazi watu wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa hofu ya kutendewa mabaya na wabaya wao, lakini wapo ambao wamekufa kwa kufanyiwa hivyo na maadui zao. Inawezekana hata wewe unayesoma mada hii umeshasikia au kukumbwa na kadhia ya adui yako mchawi.
Kimsingi hii ni changamoto isiyoepukika katika maisha ya mwanadamu yeyote. Huwezi kuamua kuishi na watu wema tu na ukawakwepa wenye roho mbaya na chuki zisizokuwa na sababu. Wale unaokula nao ndiyo wabaya wako, methali ya Kiswahili inasema.
Unachotakiwa kufanya ni kujua tu nini cha kufanya ili umshinde adui yako na wewe uendelee kuishi katika ndoa, kazi, biashara na masomo yako kwa amani na usalama. Kwa maana hiyo nakushauri ufuate kanuni hizi tatu za kisaikolojia ambazo naamini zitakuwezesha kwa asilimia kubwa kumshinda adui yako aliyepanga kukudhuru kwa uchawi au kwa njia nyinginezo.

1. UPENDO
Mpendwa msomaji wangu, watu wengi wamejikuta wakiwapa nafasi adui zao kuwaaangamiza kwa sababu hawajui nguvu ya upendo. Mara nyingi upendo hutafsiriwa kama haki. Nina maana kwamba kila apendaye anatenda haki ambayo ina nguvu ya kumkinga na mabaya yote kutoka kwa hao aliowapenda.
Zingatia jambo moja muhimu kuwa hatua ya kwanza ya mtu kudhurika inaanzia kwenye hofu ambayo hukuzwa na mawazo yake mweyewe. Ni mawazo yanayompa mhusika shaka juu ya matendo yake binafsi ayafanyayo mbele ya wenzake. Atendaye wema anajiamini zaidi moyoni kuliko atendaye mabaya. Huu ni ukweli.
Siku zote mtu mwenye upendo hawezi kuhofu kutendewa mabaya na watu aliowatendea wema na kuwapenda. Kuwa na mawazo hayo pekee huweka kinga thabiti ya mwili kukabili nguvu asili mbaya zinazoelekezwa kwake, kwa vile moyo na fikra huwa hazihukumu kwa matendo na hivyo kuondoa hofu ya kulipwa mabaya.

kama ungependa kuokoa uhusiano/ndoa yako basi nitakupendekeza kwa Dk Dawn. alinisaidia kurejesha nyumba yangu baada ya miezi 11 ya utengano mkali kati yangu na mume wangu. Nilielekezwa kwake na dada yangu mkubwa wakati ndoa imeisha, akarudisha amani na furaha katika ndoa yangu, pia amesaidia marafiki zangu wengine na wanaishi kwa furaha kwa msaada wa Dk Dawn,
ReplyDeleteWasiliana naye ikiwa unahitaji usaidizi wa kurejesha uhusiano/ndoa yako/ ikiwa unataka kupata mimba au kuponya aina yoyote ya ugonjwa:
Dk Dawn hatawahi kukukatisha tamaa:
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159