Thursday 24 July 2014

MARADHI YA MOYO KUPANUKA




1.MOYO KUPANUKA
Huu ni ukinzani wa moyo jinsi unavyo toa na kuingiza damu katika mishipa ya moyo na kuelekea sehemu zingine kwenye mwili. 
Mara nyingi moyo ukipanuka hupelekea baadhi ya sehemu kwenye misuri ya moyo kutokufikiwa na damu, hivyo kusababisha tundu kwenye moyo au kidonda cha moyo na baadaye stroko.

SABABU ZA MOYO KUPANUKA
Vifuatazo ni visababishi vya moyo kupanuka;-
1. mafuta katika damu
2. cholesterol/ lehemu
3. sumu mwilini
4. ukosefu wa protini
5. msongo wa mawazo
6. magonjwa ya muda mrefu
7. shinikizo la juu la damu

DALILI ZA MOYO KUPANUKA
Ili utambue moyo buliokwisha panuka ni muhimu kuzijua dalili zifuatazo;-
• mapigo ya moyo kwenda kasi mara kadhaa
• moyo kulipuka mara kwa mara
• kuhisi hali ya mwili kunyong’onyea/ kupoteza nguvu
• miguu kuwa baridi au kufa ganzi
• wakati mwingine vidole kufa ganzi na kukakamaa
• maumivu kwenye moyo (heart pain)
• vichomi na kifua kubana
• maumivu kwenye chemba ya moyo

MADHARA YA MOYO KUPANUKA
Yafuatayo ni madhara ya moyo uliopanuka;.-
• kuvimba miguu
• miguu kufa ganzi
• kupalalaizi/stroko
• kidonda kwenye moyo
• usipotibu na kuchukua tahadhari mapema husababisha vifo

JINSI YA KUEPUKA TATIZO HILI
1. Kuepuka ulaji wa nyama, mayai, maziwa ambavyo huongeza mafuta kwa wingi.
2. usile vyakula vya kusindikwa vina chemicals na lehemu nyingi
3. epuka mafuta ya korie, ok na yote yatokanayo na wanyama
4. tumia mafuta ya mimea kama alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila kwa kiasi kidogo
5. punguza msongo wa mawazo, fanya mazoezi kwa muda wa dakika 30 kwa siku asubuhi na jioni
6. kula mboga za majani kwa wingi(not dead food)
7. usitumie sukari, na chumvi isitumike kwa wingi

TIBA YA TATIZO HILI
Tiba ya ugojwa huu wa moyo inawezekana kwa mgonjwa atakaeweza kufuata masharti ya afya bora ambayo daktari atakuwa amemuelekeza. Mgonjwa anashauriwa kuachana na vyakula vyote visababishavyo tatizi hili, na badala yake kutumia vyakula vya asili kwa kiwango kikubwa (i.e natural food)
Pamoja na haya yote mgonjwa anatakiwa atumie dawa ziitwazo GARRIC POWDER NO. ONE kwa muda wa siku nne, JSP ONE kwa muda wa siku saba, au JSP TWO kwa muda wa siku kumi na nne, kasha kumalizia na CARROM kwa muda wa siku saba.
Hivyo dozi hii ikiwa imekamilika kwa muda wa siku 21 au 28 mgonjwa anaweza kupona kabisa, kikubwa ni kwamba kuzingatia ushauri wa daktari na taratibu za afya.

0 comments:

Post a Comment