Sunday, 29 June 2014

MARADHI YANAYOMSIBU BINAADAMU NA TIBA YAKE: MARADHI YA KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA (NAUSEA)




Maradhi ya KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA
Hali ya kujisikia kuwa unataka kutapika lakini hutapiki inaitwa kichefuchefu (Nausea). Hali hii ni kawaida sana hasa wakati unaposafiri kwa chombo kama meli au ndege, hali ya
ujauzito,kupata harufu mbaya, kuona au kuhisi kinyaa baada ya kuona kitu au chakula Fulani kibaya chenye ladha na harufu mbaya, wengine hupata kichefuchefu akimuona mtu mwengine akitapika. Hali ya kichefuchefu humsababishia mtu kuweza kutapika wakati mwingine.
TIBA: Chukua kijiko kimoja kidogo cha unga wa pilipili manga ukoroge ndani ya glasi moja ya maji halafu ukamulie ndani yake ndimu nusu. Kunywa glasi moja kutwa mara tatu.


Related Posts:

  • UNAYO MAWE KWENYE FIGO LAKO? SOMA HAPA What Are Kidney Stones?As the kidneys filter waste from the blood, they create urine. Sometimes, salts and other minerals in urine stick together to form small kidney stones. These range from the size of a sugar crystal to … Read More
  • JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA KWAPANI Hakikisha unaoga kila siku ili kupunguza idadi ya bakteria kwapani kwani husababisha kuweka harufu mbaya kwenye mwili hasa majira ya joto kwa kuwa mara nyingi joto ndilo husababisha jasho na harufu kwapani hivyo unah… Read More
  • FAIDA ZA KIMATIBABU KWA KUTUMIA MANJANO (TUMERIC) (CURCUMA) MANJANO :WENGI WETU TUNAIJUWA MANJANO NYUMBANI KWETU NA TUNAITUMIA KWA MATUMIZI YA KAWAIDA KAMA VILE , KUBADILI RANGI YA VYAKULA KAMA MCHUZIWALI, SAMAKI , NYAMA, HATA KUBADILI RANGI ZA NGUO KAMA T-SHIRT NA MENGINEYO… Read More
  • KUTIBU KUNUKA MDOMO MTU Mara nyingi mtu huwa hajijui kama anatoa harufu mbaya mdomoni mwake, hii ni kwasababu ya cells wa pua huwa tayari washajikubalisha na ile harufu ya mdomo na aghlabu humfanya mtu asijijue kuwa yeye anatoa harufu mbaya. K… Read More
  • UMUHIMU MKUBWA WA KOMAMANGA (POMEGRANATE) JUU YA MARADHI YA KANSA Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika tunda la komamanga kuna kemikali zinazozuia kansa ya matiti isitambae mwilini. Uchunguzi huo uliochapishwa katika jarada la Utafiti la kuzuia Kansa umeonyesha kwamba, kemikal… Read More

0 comments:

Post a Comment