1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C
2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara
3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu sana kwa watu wanaonuka midomo
4. Hukuongezea uchangamfu na kufanya siku yako ianze vizuri sana
5. Husaidia majeraha kupona kwa haraka kutokana na kuwa na ascorbic acid ya kutosha. Pia huimarisha mifupa
6. Husaidia mmeng’enyo wa chakula utakachokula asubuhi au mchana kwa kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza kuzuia umeng’enyaji wa chakula.
7. Huimarisha Ngozi yako, kuondoa makunyanzi na kukupa muonekano mzuri.
8. Husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uzito kwani maji moto ya limao huyeyusha mafuta ya kutosha.
9. Huyapa macho yako afya nzuri na kuimarisha kuona.
10. Huondoa hali ya kuhitaji kahawa kila asubuhi ambayo si nzuri kiafya.
Asante kwa somo malimao kiasi gani niweke kwenye glass moja?
ReplyDeletethanks
ReplyDeletethanks
ReplyDeleteKwanza napenda kusema nashukuru kwa somo hili Na ubarikiwe pia. Lakini napenda kujua kiwango cha utumiajhivyo limao Na kiasi cha maji
ReplyDeleteKila simu nakunywa maji ya moja glass moja na kipande cha limao kimesaidia sana unene ulikuwa unakuja kwa speed na mke wangu pia naye amerudia hali take ya kawaida nashukuru limao nashukuru ndimu.
ReplyDeleteMimi nakunywa kila usiku na imenisaidia kupunguza mwili
ReplyDeleteNi kweli kabisa limau ni tiba nzuri na haraka ya mafua na kikohozi. Shukran dkt.
ReplyDelete