Saturday, 3 May 2014

ZIJUE NJIA SAHIHI ZA UOSHAJI MIKONO WA YAKO.




Uoshaji wa mikono ni njia rahisi sana na inaweza kuwa ni njia moja wapo ya kuzuia kuenea kwa magonjwa ya aina 

mbalimbali mengi na kuumwa pia katika maeneo mbalimbali 

tunayoishi.


Kuanzia nyumbani na maeneo ya kazi kama maeneo ya 

hospitali na kazi zingine.


Uoshaji wa mikono unaweza kuzuia vijidudu kusambaa 

kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hata 

kuenea kwa jamii nzima.


Napenda tujifunze zaidi ni lini na jinsi gani ya kunawa 

mikono?

Ni wakati gani unatakiwa kunawa mikono?


Wakati unaotakiwa kunawa mikono
Kabla,


Wakati na baada  ya kuandaa chakula


Kabla ya kula chakula,


Kabla na Baada ya kumhudumia mtu


ambaye ni mgonjwa,


Kabla na baada ya kujitibu au kutibu jeraha la kidonda


Baada ya kutoka chooni,


Kabla ya kumbadilishia nepi ( pampas) au wakati wa 

kumsafisha mtoto atokapo chooni.


Baada ya kupangusa pua na

kupenga kamasi, kukohoa, or kupiga chafya.


Baada ya kuwashika wanyama,

chakula cha wanyama au mabaki yatokanayo na wanyama 

kama kinyesi chake.



Baada ya kushika taka.







Ni jinsi gani sahihi ya kuosha mikono?


1. Lowesha mikono kwa maji


Safi yatiririkayo ( ya baridi au moto)


Na utumie sabuni.




2.pakaza/sugua mikono yako kwa pamoja


Kufanya povu na Changanya kwa pamoja;



fanya kwa umakini kuhakikisha unasugua


vidole mbele na nyuma katikati ya vidole,


pia chini ya kucha.

  

 

3. endelea  kusugua mikono angalau kwa sekunde 20.



 




4. suuza mikono yako vizuri kwa maji yanayotiririka.






5. Ikaushe kwa kutumia taulo safi au kwa kutumia 

kikaushio maalum ( air dry)
 



  




Uoshaji wa mikono kwa kutumia


sabuni na maji ni njia nzuri ya kupunguza


idadi ya vimelea vya magonjwa.



Kama maji na sabuni havipatikani

 
 eneo ulilopo, tumia , use an
 

(alcohol-based hand
 
sanitizer) yenye kiwango cha 60% alcohol.

Kemikali hii inaweza kupunguza kwa haraka idadi ya
 
 ya vimelea na vijidudu mikononi.



Lakini kemikali hii haiwezi kuondoa aina zote za vimelea au 

vijidudu vipatikanavyo katika mikono.


Hand sanitizers hii ya mikono haiwezi kuwa na ufanisi wa 


kutosha kipindi ambapo


Kuna uchafu Unaoonekana.

 
Jinsi gani unaweza kutumia Sanitizer

 
kusafishia mikono!!

1.           Pakaa kiwango kidogo kwenye kiganja cha mkono 

mmoja( soma maelekezo vizuri kwenye karatasi ya 

chupa 
ni kiwango ngani kinafaa kutokana na aina ya sanitizer)
 
2. Sugua mikono yako kwa pamoja
 

Rub your hands together.
 
3.         Sugua kwa pamoja na hicho kiwango cha sanitizer 

kwenye uso wa mikono yako na vidole mpaka mikono yako 

uone imekauka ikauke.

0 comments:

Post a Comment