Sickle cell ni hali inayowakuta watu wenye upungufu wa chembechembe nyekundu kwenye damu mwilini kitibabu inamaanisha kuwa miili yao huwa haibebi hewa ya kutosha ya oksijeni. Hali hii ikitokea huwafanya watu hao wawe wagonjwa.
Dalili
Kuna aina tatu za upungufu wa damu mwilini, kitaalam huitwa Sickle cell na kila mtu anapaswa kujua hilo.
Watu wengi wanapoelezwa na wataalam kuwa wana ugonjwa wa Sickle cell huwa hawajali kutaka kujua ni aina gani ya ugonjwa huo ambao wamegunduliwa nao.

Ni vema wasomaji wa safu hii wakajua kuwa ugonjwa huu upo wa aina tatu na wanapopimwa daktari awabainishie kuwa ama wana ule uitwao kitaalam Sickle Cell Anemia (ss), au unaojulikana kama Sickle Beta plus ama Sickle Hemoglobin c(sc) na magonjwa yote hayo hugundulika kwa vipimo.
VIPIMO
Ili mtu ajue kama ana ugonjwa huo au la, atalazimika kwenda hospitali na kupimwa na wataalam ambao watatumia kipimo kiitwacho Hemoglobin Eloctrophonesis. Mtu yeyote akipimwa kwa kutumia kipimo hiki atajua aina ya Hemoglobin aliyonayo. Kwa baadhi ya watu wana ugonjwa, lakini hawajitokezi, kitaalam huitwa Sickle Cell Trait.

Hawa ni wale watu ambao wamerithi (Heritage) damu ambayo Hemoglobin zote A na S huzalishwa katika chembechembe nyekundu za damu (Red cell) lakini zile aina ya A huwa nyingi ukilinganisha na zile za S.
Jambo la kuzingatia hapa ni kwamba wale wote wenye Sickle Cell Trait huwa wana afya nzuri kama watu wasio na tatizo lolote la kiafya.
Jambo la kuzingatia hapa ni kwamba wale wote wenye Sickle Cell Trait huwa wana afya nzuri kama watu wasio na tatizo lolote la kiafya.
SICKLE CELL HUAMBUKIZA?
Kuna baadhi ya watu hupenda kuuliza kama mtu kuwa na ukosefu wa damu mara kwa mara kunasababishwa na maambukizi, ukweli ni kwamba ugonjwa huu hauambukizi bali ni urithi na kurithi.
Kuna baadhi ya watu hupenda kuuliza kama mtu kuwa na ukosefu wa damu mara kwa mara kunasababishwa na maambukizi, ukweli ni kwamba ugonjwa huu hauambukizi bali ni urithi na kurithi.
Mtu anarithi ugonjwa huu kutoka kwa wazazi wake kama ambavyo baadhi ya watoto wanavyorithi aina ya damu, rangi ya ngozi au nywele n.k ama kurithi Hemoglobin kutoka kwa mama au baba yake mzazi.
MATATIZO KWA MGONJWA WA SICKLE CELL
Mtu anapokuwa na ugonjwa wa Sickle cell damu yake hupungua sana na kushindwa kusafiri katika mirija midogo midogo ya damu mwilini mwake.
Mtu anapokuwa na ugonjwa wa Sickle cell damu yake hupungua sana na kushindwa kusafiri katika mirija midogo midogo ya damu mwilini mwake.
DALILI ZA UGONJWA
Mtu mwenye Sickle cell anaweza kusikia kupooza mwili, miguu na tumboni na anaweza kuambukizwa kirahisi magonjwa.
Mgonjwa anaweza pia kupata vidonda vidogo vidogo kwenye miguu ambavyo hataweza kujua vimetokana na nini.
Mgonjwa anaweza pia kupata vidonda vidogo vidogo kwenye miguu ambavyo hataweza kujua vimetokana na nini.
Mgonjwa
mwenye maradhi haya kama ugonjwa utatokea, mapafu yake yatashindwa
kufanya kazi ipasavyo hivyo kusikia maumivu makali kifuani ambayo
kitaalam huitwa Acute chest syndrome.
Tatizo lingine ambalo mgonjwa atapata ni figo zake kushindwa kufanya
kazi kutokana na kuathirika ama maji kupungua mwilini, hivyo mgonjwa
kupata tatizo la kutopata mkojo sawasawa.
Mgonjwa pia atakuwa na tatizo la hatari la damu yake kushindwa kwenda kwenye ini, tendo ambalo kitaalam huitwa Sequestration.
Wanaume ambao ugonjwa huu umewaathiri watakuwa wakisikia maumivu kila
mara watakapokuwa wanasimamisha uume kitendo hicho kitaalam huitwa
Priapism.
Wagonjwa wengi wenye Sickle cell macho yao huathirika na
kuwa na kiwango kidogo cha chembechembe za damu (Red Blood Cell)
mwilini.
Mtu ambaye amekuwa na ukosefu wa chembechembe nyekundu za damu huwa ni rahisi kwake
kukumbwa na ugonjwa wa Anemia.
Ugonjwa huu ikiwa utampata mtoto mchanga basi ukuaji wake utakuwa wa taratibu sana ukilinganisha na watoto wengine ambao hawana maradhi haya.
Ugonjwa huu ikiwa utampata mtoto mchanga basi ukuaji wake utakuwa wa taratibu sana ukilinganisha na watoto wengine ambao hawana maradhi haya.
Matibabu, ushauri
Ukiona dalili kama hizi tulizozitaja zinakutokea mara kwa mara, muone daktari mara moja naye atakupima damu yako kubainisha iwapo una huo ugonjwa au la.
Ukiona dalili kama hizi tulizozitaja zinakutokea mara kwa mara, muone daktari mara moja naye atakupima damu yako kubainisha iwapo una huo ugonjwa au la.
Daktari wako akigundua kuwa unao atakupatia dawa pia atakupa ushauri
wa vyakula ambavo utakuwa ukitumia hasa mboga za majani kwa wingi,
samaki, dagaa, maziwa na matunda ambayo yatakusaidia ili tatizo hilo
lisikudhuru kwa kiasi kikubwa.
Wapo watu wanaishi muda mrefu kwa kufuata masharti na wakaishi bila
kusumbuliwa na tatizo hili la kupungukiwa na damu mara kwa mara baada ya
kufuata masharti.
0 comments:
Post a Comment