Thursday 1 May 2014

ULAJI WA KOROSHO KWA WANAUME HUONGEZA SHAHAWA (SPERMS)

Kuna  idadi kubwa  ya  wanaume  wanao  kabiliwa  na  tatizo  la  kutoa   kiasi  kidogo  cha  sperms  wakati  wa  kufanya  tendo  la  ndoa, jambo  linalo  waweka  katika  uwezekano  mkubwa  wa  kuto  weza  kumpa  ujauzito  mwanamke. 

Unaweza  kuondoa  tatizo  hilo  kwa  kutumia   walau  gramu  75  za  korosho  zilizo  kaangwa. Fanya  hivyo  mara  moja  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  thelathini  na  tatizo  lako  litakwisha.  Utakuwa  na  uwezo  wa  kutoa  sperms  imara  na  zenye  nguvu. Ukiweza  kutumia  kiasi  kikubwa  zaidi  ya  Gramu 75   kwa  siku, itakuwa  ni  jambo  bora  zaidi  kwako.

0 comments:

Post a Comment