Saturday 17 May 2014

TIBA YA UGONJWA WA KUSAHAU



Dawa ya ugonjwa wa kusahau:
Sababu za tatizo la sahau mara nyingi hasababishwa na sababu zifuatazo:


sumu katika mwili
madawa
ulevi
ajali na hata urithi.


kwahiyo utabibu wako yategemea zaidi na sababu ya hilo tatizo lako.

kwanza jiangalie katika maisha yako hujawahi kupata ajali ambayo imepelekea ubongo kupata

mshtuko,utumizi wako wa madawa ukoje,jee ndani ya familia yako ni asilimia ngapi ya watu

wenye tatizo hilo,aina gani ya vyakula ambavyo unakula na wakati mwengine tatizo hili

husababishwa na sindikizo kubwa la mawazo ambalo huathiri ubogo


Fig tunda la Tini

Pendelea Kula tini (fig) mbili
 au tatu kabla ya Chakula (cha mchana na cha usiku).

Tini inayo calcium kwa wingi, pia inayo iron, copper, Zinc, Vit. C Vit. A (Lakini Vit A inapotea 30 percent kwa tini iliyo kauka.) Tini pia inayo Vit B (complex) na vit D. 

Tini ni dawa nzuri sana kwa Wagonjwa wa kusahau.

Dawa nzuri nyingine ya wagonywa wa kusahau ni kulala masaa 8 kila siku (Usingizi wa usiku si kama usingizi wa mchana), usizidishe kulala zaidi ya masaa 8, kuzidisha pia ni mbaya kwa afya.
Dawa zingine hizi hapa Utwange Dawa moja inayoitwa Halilinji Utwange upate unga wake uchanganye na Asali Safi mbichi ya nyuki 

kijiko kimoja kikubwa uwe unakunywa kila siku katika maisha yako. Au ıpate Mafuta ya siku nyingi ya

Zaituni ujipake nyuma ya kichwa upande wa kichogoni uwe unajipaka kila siku inasaidia sana hayo mafuta ya Zaituni ya siku nyingi

Na ingine awe unakula Sana Figili na Samli Safi ya Ng'ombe.

itakusaidia kuondosha ugonjwa wa sahau. Au ule Zabibu kavu kwa wingi kila siku hiyo pia itakusaidia kuondosha huo ugonjwa wa Sahau

0 comments:

Post a Comment