Thursday 15 May 2014

TIBA YA MARADHI YA HOMA YA DENGUE (DENGUE FEVER)







TIBA YA DENGUE

Homa ya dengue iko Malaysia, Thailand, Phillipines kwa miaka mingi. Imethibitishwa kwamba wao

wanatibu na kuzuia kwa kutumia Papai ambapo wanatafuna na mbegu zake au majani yake.


Chukua majani ya papai matano yakoshe yawe masafi kisha twanga, au ponda, na endapo una blenda itumie ili uweze kupata

rojo la kijani. Kisha kamua na weka Asali ya nyuki vijiko 3. Tumia vijiko 3 vya chakula kwa siku.


Kwa utumiaji huu utajiwekea kinga na hautaugua homa hii. Share habari hii ili wengine wapate

kuelewa.


Pia unaweza kuangalia kwenye internet google kwa kuandika Dengue fever malysia.  
https://www.youtube.com/watch?v=3nVQL9t7kns&feature=youtube_gdata_player

0 comments:

Post a Comment