Xylitol Sugar |
Sukari
ina tajwa kuwa
na madhara makubwa
kwa afya ya
mwanadamu. Watalaamu wa
masuala ya afya
wamekuwa wakiwasisitizia watu
kupunguza ama kuachana
kabisa na matumizi
ya sukari vinginevyo
wawe tayari kwa
madhara mbalimbali yatokanayo
na matumizi ya sukari kama
vile kupatwa na
ugonjwa wa kisukari nakadhalika.
Hata
hivyo, kuacha kabisa
kutumia sukari, ni jambo
linalo onekana ku wawia vigumu watu
wengi sana, kwa upande
wa watoto wadogo
ndio kabisa, hutakiwi hata
kufikiria kuwazuia waache
kutumia sukari kabisa.
Stevia Sugar |
Asali
inatajwa kuwa mbadala
wa sukari, lakini watu wengi wanalalamika
kuwa chai ikiungwa kwa
asali haiwi na ladha
nzuri na mara
nyingi humfanya mtu
ajisikie kichefu chefu.
Hata
hivyo wanasayansi wamegundua
mimea, inayotengeneza sukari
yenye ladha nzuri
kuliko hata sukari
ya viwandani.
Mimea
hiyo ni Stevia
na Xyltol. Mimea
hii bali ya
kutengeneza sukari asilia
yenye ladha sawa
sawa na sukari
ya viwandani, lakini ina
faida kubwa sana
kwa afya ya
mwanadamu kama vile ; Kupunguza shinikizo kubwa
la damu ,kupunguza sukari mwilini, Kutengeneza virutubisho
vyenye nguvu ya kupambana na bacteria
wa
mdomoni,kutengeneza madini ya
calcium, kupambana na maambukizi
ya kwenye sikio
nakadhalika.
0 comments:
Post a Comment