Karoti ina protini kidogo na haina mafuta kama tulivyoona kwa tunda la avocado. Pia ina asili ya wanga, na ni chanzo kizuri cha vitamini B, C na E. Aidha ina madini mengi ikiwemo madini ya chuma. Kuna kitu kinaitwa beta-carotene ambayo imo ndani ya
karoti na hii ikiingia mwilini
inabadilishwa na kuwa vitamini A. Vile vile karoti ina kirutubisho
kinachoitwa fiber ambacho ni muhimu kwa kukinga kuta za utumbo.
Karoti
inasaidia kukinga na kuponya magonjwa kama macho hasa kutoona gizani
au
kwenye mwanga hafifu, ngozi, kupunguza tindikali inayodhuru tumboni
na kukinga magonjwa yenye asili ya kansa.Karoti inaweza kuliwa kwa namna
mbalimbali kama
vile, ikiwa mbichi kwa kutafuna, inaweza kupikwa na
kuchanganywa na mbogamboga zingine, inaweza kusagwa na kupata juisi
ambayo pia inaweza kuchanganywa na juisi
zingine, aidha kukatwakatwa na
kuchanganywa kwenye saladi ya matunda na mbogamboga. Machicha ya karoti
iliyosagwa yanaweza kutumika kama dawa kukinga ama kuponya maradhi ya
nje ya mwili.
JUISI YA KAROTI
MAEMBE NI MUHIMU KATIKA KUTENGENEZA SELI ZA DAMU NA KUZILINDA NA BAKTERIA
PARACHICHI
LINASAIDIA NGOZI KUWA NA KINGA YA MAGONJWA SHAMBULIZI KUPITIA NGOZI
KAMA MBA NA INASAIDIA NYELE KUWA IMARA NA KUREKEBISHA
MAFUTA(CHOLESTEROL)
KOKOMANGA NI TUNDA LENYE UWEZO MKUBWA KUPAMBANA NA KANSA ZA AINA ZOTE MWILINI.
NYANYA NI KINGA NZURI YA INI LISIARIBIA AU KUSHAMBULIWA NA BAKTERIA
NDIZI MBIVU NDIO TUNDA PEKEE DUNIANI LENYE UWEZO WA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA UKIMWI
ZABIBU LINAUWEZO MKUBWA KATIKA KUONGEZA DAMU MWILINI NA KUONGEZA NGUVU WAKATI WA UZEE SIKU ZAKO MAISHA DUNIANI ZIKAONGEZEKA.
ONYO
- EPUKA KUNYA JUISI ZA VIWANDANI HAZITENGENEZWI NA MATUNDA HALISI BALI NI KEMIKALI KALI KWA AJILI LA LADHA NA HARUFU YA TUNDA ZINAMADHARA KATIKA MWILI WA BINADAMU KAMA KANSA, INI KUHARIBIKA, DAMU KUWA NA SUMU, ZINAPUNGUZA UMRI WA KUISHI, TAKE CARE JIPENDE KWA KULA NA KUNYA KILICHO BORA.
0 comments:
Post a Comment