Saturday, 24 May 2014

FAIDA ZA KIMATIBABU KWA KUTUMIA MANJANO (TUMERIC) (CURCUMA)


MANJANO :
WENGI WETU TUNAIJUWA MANJANO NYUMBANI KWETU NA TUNAITUMIA KWA MATUMIZI YA KAWAIDA KAMA VILE , KUBADILI RANGI YA VYAKULA KAMA MCHUZI

WALI, SAMAKI , NYAMA, HATA KUBADILI RANGI ZA NGUO KAMA T-SHIRT NA MENGINEYO,

ILA NITAJARIBU JAPO KIDOGO KUTOWA KWA MUKHTASARI FAIDA ZAIDI MBALI NA HIZOO'

1=MANJANO MBICHI NA UKIISAGA KISHA UKIICHANGANYA NA ASALI MBICHI UKINYWA NI DAWA NZURI YA KUSAFISHA DAMU MWILINI,

2=MANJANO MBICHI NA ASALI UKINYWA NI DAWA KUMBWA NA SHINIKIZO LA DAMU LIWE LA CHINI AMA LA JUU( HIGH & LOW BLOOD PREASURE,)

3=MANJANO MBICHI NA ASALI NI DAWA YA KUONDOA MAFUTA HELEMU (CORESTROL) NDANI YA MIRIJA YA MISHIPA YA DAMU, 
4=MANJANO MBICHI NA ASALI UKINYWA , HUSAIDIA 
KUZUIYA KUPATA UGONJWA WA KIARUSI , AMA KUPOOZA (STROKE), 
5=MANJANO MBICHI, UNGA WA HABBATT SODA NA ASALI MBICHI NI DAWA KURAHISHISHA MFUMO WA MMENG'ENYO ( DIGETION FOOD)KWA WALE WENYE MATATIZO HAYOO, 
6=MANJANO MBICHI NA MAFUTA YA HABBATT SODA HUSAIDIA KUONDOA MATATIZO YA VIDONDA VYA TUMBOO ( ALSAA),

7=MANJANO MBICHI NA YAI LA KUKU WA KIENYEJI , UKIPAKAA KWENYE NGOZI YAKO HUILINDA NGOZI YAKO KUIWEKA LAINII, PAMOJA NA KUILINDA NA KUCHAA KUWA KIBUDA, KUSINYAA, KUWA KAVU SANAKUUNGUWA NA JUA ( SUN BURN), 
8=MANJANO YA YAI LA KUKU WA KIENYEJI, UNAPAKAA USONI NI DAWA YA CHUNUSI( PENPULS), 

9=WATU WA VIJIJINI MBALI NA HOSPITALI, KAMA UMEJIKATA NA KISU , PANGA, JEMBE, UKITIA MANJANO YA UNGA ,TUMERIC POWDER, KWENYE JERAHA HUSIKA UNAZUIYA DAMU KUTOKA ( BLOOD CLOT) KAMA HUDUMA YA KWANZAA,  
10= MANJANO NA HABBATT SODA UKITUMIA KIKOMBE CHA KAWAHA NUSU , HUKUWEZESHA MFUMO WAKO WA FAHAMU KUWA BORA ZAIDI ,
HIZO NDIO BAADHI YA FAIDA KIDOGO TUU ZA MANJANO
 
11= Ukijikata Kwa Kisu au Jiwe au Jiti Chukuwa Manjano Kavu Saga Kwenye Jiwe Pamoja Na Chumvi Pakaa Itasimama Kutoka Damu Na Usiitowe mpaka kidonda kipone.

12= Dawa Ya kutibu Kuwashwa Na Roho Kwa ajili Ya Fluu Chukuwa Manjano Mbichi Saga Changanya Na Asali Kiasi Cha Kikombe Cha Kahawa Na Kula Kijiko Cha Chai Kimoja Kabla Ya Kulala Na Unapoamka Asubuhi Na Ishallah Utapona.

13=.kukohowa Na Kubanwa Kifuwa Chukuwa Maziwa Fresh Glasi Moja Chemsha Halafu Tia Ndani Ya Glasi Vunja Yai La Kuku wa kienyeji Koroga Na Maziwa Halafu Uongeza Kijiko Cha Manjano ya unga koroga na badae kunywa kila siku glasi moja Asubuhi Ishallah Utapona


14= Mwenye Uvimbe katika mwili Saga Manjano Mbichi Na Chumvi Pakaa Kwenje Uvimbe Ishallah Utapona.

0 comments:

Post a Comment