Monday 26 May 2014

KWANINI ASALI INAGANDA?



KWANINI ASALI INAGANDA?

Wadau ni muhjmu kutambua kua katika ASALI kuna sukari mbili kuu ambazo ji GLUCOSE na FRUCTOSE ambazo kwa ujumla zinafikisha zaidi ya asalimia 70 ya muundo wa asali na kilichobaki ni MAJI.

NINI KINASABABISHA ASALI I
GANDE?
Katika sukari hizo pindi GLUCOSE inapopoteza maji inapelekea sukari hiyo kutengeneza chembechembe ndogo mgando ambazo zitasababisha asali yote kuganda jinsi mda unavyokwenda.

UPOTEVU WA MAJI UNASABABISHWA NA NINI?

Maji huweza kupotea kutokana na aidha UWINGI WA GLUCOSE KATIKA ASALI HUSIKA, CHOMBO CHA KUHIFANDIA ASALI au HALI JOTO YA ILIPOHOFADHIWA ASALI.

JE UBORA UNAPUNGUA IKIGANDA?

Asali iliyoganda haipotezi ubora wake kwasababu kilichopotea ni maji tu lakini vimeng'enyo muhimu vinabaki kama kawaida.

Hivyo ni muhimu kujua kua asali iliyoganda sio lazma iwe fake ila cha muhimu ni jinsi ya kutambua asali halisi.

1 comments:

  1. Hello, everyone! I,m here to explore blogs and forum about wonderful and most safe cure for (Herpes Virus).I was positive to the deadly virus called herpes and i lost hope because i was out casted and rejected even by my closet friends.i searched on-line to know and enquirer about cure for Herpes and i read someone testimony on how he was cured from Herpes so i decided to contact the same herbalist because i know that nature has the power to heal everything.i contacted him to know how he can help me and he told me never to worry that he will heal me with the natural herbs from God!after 2 days of contacting him, he told me that the cure has been ready and he sent it to me via DHL and it got to me after 3 days!i used the med as he instructed me (MORNING and EVENING) and i was cured!its really like a dream but i am so happy!thats the reason i decided to also add more comment of Him so that more can be saved just like me!and if you need his help, you can email him on nativehealthclinic@gmail.com, or whatsapp +2348140073965 I,m neme amber and you can get in touch with me via nemeamber@gmail.com..Contact him for help at Herpes virus HIV/AIDS CANCER COPD BRAIN TUMOR All kind of virus and disease

    ReplyDelete