Ni kawaida kwa mwanaadamu aliye mzima kupenda kuwa na mtoto, na
kwa namna ya upekee katika kuumbwa kwa mwanaadamu, hakuna njia nyingine yoyote
ile ambako mtoto anaweza kupatikana bila ya maingiliano ya kimwili baina ya
watu wa jinsia mbili tofauti (ukiachilia mbali instances chache ambapo mambo ya
test tube na artificial insemination hutumika).
Kifupi ni kwamba, kama mwanamke atataka kubeba ujauzito ni
lazima akubali kuingiliwa, Vivyo hivyo
kama mwanaume anataka kumbebesha mwenza wake ujauzito ni lazima ahakikishe kuwa
amemwiligilia mke
Hata hivyo, licha ya ukweli wa kuwa ili ujauzito upatikane ni
lazima kuwe na kufanya mapenzi, kumekuwa na mkanganyiko sana juu ya tendo hili
la kufanya mapenzi pindi inapotokea mwanamke ameshashika ujauzito.
Je, ni
sahihi kufanya mapenzi wakati mwanamke wako ni mjamzito?
Je, ni hadi muda gani kabla ya kujifungua, ambapo mwanamke
mjamzito anaweza kuwa anaingiliwa kimwili na mwenza wake?
Kwa maswali haya na mengine kadhaa, hebu twende pamoja mdogo
mdogo kama ifuatavyo:-
1.
JE, NI SAHIHI KUFANYA
MAPENZI IKIWA MWANAMKE WAKO NI MJAMZITO?
Ndio, hakuna tatizo lolote kwa mwanamke kuendelea kufurahia
mapenzi na mumewe au mpenzi wake wakati anapokuwa mjamzito.
Wataalamu wanaeleza kuwa, ikiwa ujauzito ulioubeba haukupi shida
yoyote ile na unajisikia uko poa, basi hakuna hatari yoyote ile ikiwa utataka
kufanya.
Tatizo pekee ambalo huwa linawakumba wengi wa wanawake wakiwa
wajawazito ni kuwa, huwa wanapoteza hamu ya tendo lenyewe wanapokuwa katika
hali hii, au kushindwa kumudu kutokana na kujisikia uchovu muda mwingi.
Ingawa pia wapo wanawake ambao wakiwa katika hali hii ndio
kwanza, wanakuwa wanajisikia kukereketwa huko kwenye uchi kupita maelezo, na
wanatamani muda wote wafanye mapenzi.
Wapo baadhi ya wanawake ambao wanakuwa wako normal kimwili,
lakini kisaikolojia wanakuwa na ile hofu ya kuwa kufanya kunaweza kuwaharibia
mimba zao, fikra ambazo huwatoa kabisa katika mstari wa kufurahia tendo hili.
Kwa hiyo, ikiwa mwili wako uko poa, na madaktari wamekwambia
kiumbe kinakua bila shaka, na unaweza kwenda kazini, huna haja ya kujibania
utamu wa mumeo au kumbania mumeo.
(2). JE, KUFANYA WAKATI WA UJAUZITO KUNAWEZA KUSABABISHA
UJAUZITO KUHARIBIKA?
Hili pia ni miongoni mwa maswali na hali ambazo zimekuwa
zikiwachanganya watu wengi, waume kwa wanawake.
Ila ukweli ni kwamba, kufanya hakuhusiani na kuharibika kwa
mimba au kujifungua kabla ya wakati muafaka.
Kwa kawaida, kuharibika kwa mimba hutokana na sababu zingine
tofauti kabisa, ikiwa ni pamoja na kizazi cha mwanamke kuwa na matatizo hasa
katika kuhimili ukuaji wa kiumbe tumboni na sababu zingine za kimazingira.
Wala sio kwa sababu ya kitu ambacho unakifanya au hukifanyi.
(3). JE, KUFANYA WAKATI WA UJAUZITO KUNAHARIBU AU KUMDHURU
MTOTO?
Kiumbe kilicho tumboni wakati wa ujauzito huwa kinakingwa na ute
maalum unaojulikana kitaalamu kwa jina la "amniotic fluid" ndani ya
mji wa uzazi, pamoja na kuta za mji wenyewe wa uzazi.
Hakuna namna ambavyo muhogo unaweza kupita na kufika mahali
mtoto anapokuwa anakua huko ndani, au zile mbegu kuwa zitapita moja kwa moja na
kwenda kumdhuru mtoto.
Kumekuwa na ule msemo wa kuwa kufanya wakati wa ujauzito ni
kulea mimba, watu wakiamini kuwa mbegu huwa zinakwenda moja kwa moja kwenye
kiumbe.
Dhana hii ni potofu. Kama kilivyo chakula cha kawaida mtu
anapokula, ndivyo ambavyo mbegu nazo huwa hivyo.
Kila kitu kwanza lazima kiingie katika mfumo wa kawaida wa
usafirishaji wa virutubisho vilivyo sahihi kuelekea kwenye kiumbe husika.
Hii ikimaanisha kuwa mbegu nazo huingia katika mfumo huo huo,
huchujwa na kile kinachoonekana kuwa ni kirutubisho kitasafirishwa kwenda kulea
kiumbe, ilhali yale makapi lazima yatatoka.
Tofauti pekee hapa ni kuwa, "mbegu za kiume
zina protini nyingi", hii
ikimaanisha kuwa sehemu kubwa ya kile kinachomwagwa kwenye uke wa mjamzito,
kina nafasi ya kutumika kwa ajili ya kuongeza rutuba kwa kiumbe kinachokuaa
ndani ya tumbo.
Na nyingine zinaweza kutoka tu zenyewe bila matatizo yo yote.
(4). NI MIKAO IPI (STAILI) AMBAYO NI MIZURI ZAIDI KUITUMIA
KUFANYA WAKATI WA UJAUZITO?
Hakuna mkao maalum. Ujauzito sio ulemavu kwamba mnalazimika
kujipanga upya namna ya kuridhishana, wala sio ugonjwa pia.
Ikiwa mwanamke unajihisi uko fresh kuendelea kutumia staili ya
mwanzo ambayo mlikuwa mnaitumia na unafikishwa na mwenzio, huku huyo mwenzio
naye akiwa yuko ok kuitumia staili hiyo na anaimudu hata unapokuwa na tumbo
lako, hakuna shida
Jichumishe mboga, jifanye mbuzi ulogoma kwenda, jifanye namna
yoyote ile unayoona uko poa, na mambo yatakuwa vizuri.
(5). VIPI KUHUSU KITU ULE MTANDAO WETU NA ORAL SEX? (CHUMVI)
Oral sex ni salama kabisa wakati wa ujauzito. Hata hivyo, ni
muhimu kuepuka hewa kuingia ndani ya uke wako wakati ukiwa katika hali hii.
Wapo wale watu watundu ambao hugeuza uke kama pulizo na kujitia
umahiri wa kutaka kulijaza hewa wakati wa kupeana raha.
Katika mazingira ya kawaida, ikiwa mnafurahia hili, hakuna
tatizo, ila wakati wa ujauzito, hii ni hatari kwani inaweza kuleta madhara
katika mishipa fulani ndani ya uke, ambayo iko na uhusiano na mishipa ya
kuelekea kwenye mji wa uzazi.
Kuhusu ule mtandao wa
vijana (Tigo), ambao kwa kawaida hauruhusiwi kutumika, hakuna wakati
unaokuwa mbaya zaidi kuutumia kama wakati huu wa ujauzito.
Katika wakati huu, uke wa mwanamke mara nyingi unakuwa sensitive
zaidi ya wakati akiwa hana ujauzito, na kuendekeza kufanya Tigo, kunaongeza hatari
ya bakteria kuhamia kwenye uke na kusababisha magonjwa ambayo yatadhuru kiumbe
kilichobebwa ndani.
(6). KUNA UMUHIMU WA KUTUMIA KONDOMU?
Kama nilivyodokeza hapo awali, wakati wa ujauzito uchi wa
mwanamke unakuwa sensitive zaidi kwa magonjwa.
Unaweza tu kuguswa na mwenzako ambaye hakuwa amenawa mikono
uzuri na ikakusababishia tatizo fulani, hivyo basi, inashauriwa kutumia kondomu
ikiwa:
mwenza wako aliwahi au ana maradhi ya maambukizi
uko kwenye mahusiano na zaidi ya mtu mmoja
umeamua kungonoka na king'asti kipya wakati wa ujauzito
(7). JE, KUKOJOA AU KU-SQUIT MARA KWA MARA KUNAWEZA HARIBU
MIMBA?
Hapana. Licha ya ukweli kuwa wakati wa ujauzito uke huzalisha
kemikali ambazo ni mahususi kwa ajili ya kumkinga mjamzito na uvamizi wa
bakteria wowote wanaoweza kuwa tishio kwa ujauzito wake, na kwamba kemikali
hizi wakati mwingine huweza kuhitilafiana na lile bao analopiga mwanamke na
hivyo kumletea hali fulani ya kukwaza, kwa ujumla wake hakuna baya linaloweza
kusababishwa na kukojoa au kufika kileleni .
Na wala kufanyana hakuwezi kuathiri kwa namna yoyote ile muda
wako wa kujifungua (kuuchelewesha au kuuwahisha)
(8). JE, NI WAKATI GANI MWANAMKE MJAMZITO ANATAKIWA KUACHA
KUFANYA MAPENZI?
Ijapokuwa wapo wanawake wengi ambao wanaweza kabisa kuendelea
kufurahia kufanywa hadi siku wanakwenda kujifungua , kuna baadhi ya nyakati
mshauri wako wa afya anaweza kukushauri kuacha ngono kutokana na moja au yote
kati ya yafuatayo:
umekuwa na tatizo la kujifungua kabla ya muda muafaka kabla ya
ujauzito ulio nao
umetokewa na tatizo la kutokwa na damu kwenye uke
umekuwa ukitokwa na ute fulani ambao wataalamu wanauita kwa jina
la "amniotic fluid"
umekuwa na tatizo la kwenye mlango wa uzazi, ambalo kitaalamu
linajulikana kama cervical incompetence
kondo la nyuma limesambaa na kuziba kabisa mlango wa uzazi na
kuanza kujitokeza kwa nje (placenta previa)
(9). JE, KUNA TATIZO LOLOTE IKIWA HUHITAJI KUFANYA?
Hapana, na hii ni hali ya kawaida sana kwa baadhi ya wanawake
wanapokuwa wajawazito, ama kutokana na hofu inayokuwa vichwani mwao kuwa
atapata madhara kwa kufanya hivyo, au kutokana tu na aina ya homoni
zinazozalishwa mwilini wakati huo.
Kuna mengi mnaweza kufanya bila kuhusisha maingiliano ya kimwili
na ambayo yanaweza kumfanya mwanamke kuridhika anapokuwa katika hali hiyo.
10. NI BAADA YA MUDA GANI TOKA KUJIFUNGUA MWANAMKE ANAWEZA
KUENDELEA KUFANYA MAPENZI?
Iwe kwa njia ya upasuaji au kwa njia ya kawaida, inaeleweka wazi
kuwa baada ya kujifungua, mwanamke anakuwa na hali fulani ya mwili kuchoka,
hali ambayo ni ya kawaida.
Ingawa wapo ambao wanaweza kujihisi wanamudu kushiriki tendo la ndoa kabla, lakini wataalamu wanashauri kuwa wakati mzuri wa kurejea kufanyana na mwenzio baada ya kujifungua, inakuwa ni baada ya kupita wiki sita.
0 comments:
Post a Comment