Thursday 15 May 2014

DAWA YA KUTIBU MUWASHO WA MWILINI



Dawa ingine ya Muwasho 
siyo lazima uwe wa mwili tu, bali kuna sehemu mbalimbali za mwili ambazo

zimejificha na fangasi uenda kujihifadhi katika sehemu hizo nazo unaweza kutumia maji ya aloe vera kwa

kutibu . Kwa jinsi gani unaweza kujizuia au kujitibu na muwasho kwa kutumia aloe vera. Jinsi ya kuandaa maji

ya Aloe vera kwa ajili ya kutoa muwasho na bateria.
Chukuwa vikwanya vitano vya alovera kisha safisha kwa

maji safi, kata vipande hivyo kwenye sufuria ya kilo moja. Jaza maji kisha uweke jikono kwa ajili ya

kuchemka. Epua na uyaweke pembeni kwa ajili ya kpoa aukuwa na hali ya uvuguvugu. Toa majani ya

aloe vera katika sufuria na kisha weka katika ndoo tayari kwa kuonga.



Angalizo


Baada ya kuoga unatakiwa kukaa na maji hayo mpaka yatakapo kauka mwilini pia ni dawa ya harara na kufanya ngozi kuwa nyororo. Angalia Picha chini ya Aloe Vera.

0 comments:

Post a Comment