- Kufanya ngono zinaa na wanaume tofauti tofauti
- Kuchezewa sehem za siri na mwanaume wakati mikono yake ni michafu.hapa wanawake wengi ndio hupata U.T.I mwanaume mikono michafu
anakushika sehem za siri bacteria wote wanaishia kwenye uke matokeo yake
utaugua U.T.I kilasiku.ikiwezekana mfanye anawe mikono kabla ya tendo
- Kujisafisha sehemu ambapo maji yanakurukia yale ambayo unajisafishia,huingiza bacteria na kusababisha U.T.I isioisha.
- Matumizi ya pedi zenye kemikali hapa ndipo hatari sasa,wanawake wengi,
Wamekuwa Wanaathirika kwa U.T.I kwasababu pedi nyingi Wanazo tumia zina
kemikali ambazo zinauwa bacteria wa asili ambao huzuia U.T.I matokeo
yake Wataugua hadi basi na matokeo yake ni kupata kansa ya
kizazi,kuingia hedhi bila mpangilio,naweza kukushauri tumia pedi
zisizokuwa na kemikali ambazo natumia hutaugua U.T.I kamwe ukizitaka
hizo pedi Tutaweka namba za simu mwisho piga namba hizo popote
utaletewa.
- Uchafu wa vyoo.
Kutokusafisha vyoo husababisha
ugonjwa huu kwa kasi kubwa hasa wale mnaishi vyoo vya shimo haviko
visafi kwa hiyo bacteria huingia kwa uharaka sana na kupata U.T.I na
wale wenye vyoo vya kisasa pia safishen kwa dawa
- Kutokunywa maji kwa wingi
Asilimia kubwa kwa wanawake hawana desturi ya kunywa maji mengi hapa
ndipo wanapo sababisha matatizo ya kupata U.T.I kila siku kwa sababu
hawanywi maji mengi ili wakienda kukojoa ili bacteria watoke.
- Kubana mkojo kwa muda mrefu.hili nalo ni tatizo kwani unaruhusu
bacteria kuingia kwenye kibofu.utakuta mtu anabanwa mkojo mwenge anaenda
kukojoa tegeta
U.T.I INASABABISHA SHINIKIZO LA DAMU (High Blood Pressure).
0 comments:
Post a Comment