Kama kawaida, wanawake wengi wengi hupenda kuongelea jinsi ya kujitunza
ili kupendeza. Kwa mfano; jinsi ya kutake care nywele, vipodozi vizuri
kwa ngozi, mavazi, mazoezi ya mwili ili kupunguza uzito n.k. Lakini ni
mara chache sana utakuta wanawake wakiongelea kuhusu usafi
haswaa wa
mwili. Mfano; usafi kwenye sehemu muhimu za mwili. Nikawaida kupiga
passport size ukiwa mtoto (kuoga chap chap na kutoka) lakini mtu
ukishaanza kuwa mkubwa haswa wasichana ambapo kunakuwa na mabadiliko
mengi ya mwili ni muhimu kujua jinsi ya kujisafisha mwili vizuri ili
kuzuia harufu za ajabu ajabu kutoka katika mwili.
Anyways, leo katika peruzi peruzi zangu za kutaka kujifunza kuhusu afya,
magonjwa na jinsi ya kuuweka mwili katika hali ya usafi (personal
hygiene) nilikutana na haya yafuatayo; Kusabishwa kwa MWASHO katika
sehemu za siri!
Kichwa cha habari hichi kilinikumbusha mbali sana wakati nikiwa mdogo.
Nilisomaga shule ya boarding nikiwa mdogo and since shule yangu ilikuwa
International School, tulikuwa na swimming time. Well, wakati wa kuswim
ulikuwa ukifika watoto tulikuwa tunaenda resi mno kutokana na furaha ya
kwenda swimming hivyo tulikuwa tunanyakuwa swim suti yoyote iliyokuwa
inahang mbele ya macho. Yaani kwasababu ya utoto hatukuwa na muda wa
kujiuliza kwamba "nani aliivaa hii swim suti kipindi cha mwisho
tulichoenda swimming." Hence, kama studies zinavyoonysha kwamba
kila
mwanamke hupatwa na ugonjwa wa kuwashwa sometime in their lifetime, mi
wakati wangu wa kuwashwa ulishanitokea.....ingawa nilikuwa mdogo, I
still count it. Na I am 100% sure ilitokana na kuvaliana swim suti
wakati niko boarding school LOL. Ilikuwa zamani sana though.
Anyways, hiyo ni story yangu fupi iliyonijia since nilishawahi kuexperience kuwashwaga.
Anyways, hiyo ni story yangu fupi iliyonijia since nilishawahi kuexperience kuwashwaga.
Kujisikia kuwashwa ama kuwaka moto katika sehemu nyeti za mwili (ukeni)
husababishwa na vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na; Vijidudu waishio
katika sehemu nyeti za mwanamke (Bacterial vaginosis), Magonjwa ya zinaa
(Sexual Transmitted Diseases (STD), Yeast infection (fangasi),
Menopause (wanawake ambao wanapitia kipindi cha kukata siku zao za mwezi
kwasababu ya umri mkubwa), Kemikali mbalimbali, na Lichen Sclerosis
(Kuvu uzulufu).
Sehemu nyeti (vagina) huwa na bacteria wasafi ambao huishi permenent
katika vagina kwa ajili ya sababu za kiafya. Hawa bacteria ndo
wanaosaidia vagina katika kupigana na vijidudu wabaya wanapoingilia haya
makao. Lakini sasa, kama vagina imetawaliwa na vijidudu wabaya, hii
situation ya vijidudu wabaya husababishia kuwashwa kwa vagina. Na wakati
mwingine kuwashwa huku huletea mtu kujisikia kama vile moto umewashwa
huko chini haswa wakati wa kwenda kukojoa (burning sensation) etc.
Pia magonjwa ya zinaa kama gonorea, kaswende n.k pia husababisha sehemu nyeti kuwasha.
Studies zinaonyesha kwamba, Yeast infection kama fangas, hutokea katika maisha ya kila wanawake once in a while.
Pia magonjwa ya zinaa kama gonorea, kaswende n.k pia husababisha sehemu nyeti kuwasha.
Studies zinaonyesha kwamba, Yeast infection kama fangas, hutokea katika maisha ya kila wanawake once in a while.
Mara nyingi mwanamke akiwa ana yeast infection/fungus hutoa mucus
nyeupe/njano/brown ambayo huwa nzito. Na wakati mwingine mucus hiyo
hutoa harufu na pia kumfanya mtu ajisikie ananuka.
Mwanamke anapokuwa ana go through Menopause, mara nyingi ukuta wa sehemu nyeti kuwa mwembamba na mkavu hivyo kusababisha kuwashwa. Pia, utumiaji wa kemikali mfano; creams za kupaka kwenye vagina, store douches (kuosha sehemu nyeti kwa kutumia maji yaliyochanganywa na madawa), toilet paper zilizo na perfume, mipira (condoms), sabuni, kufukiza, vidonge vya kuzuia kupata mimba (contraceptive) n.k.
Mwanamke anapokuwa ana go through Menopause, mara nyingi ukuta wa sehemu nyeti kuwa mwembamba na mkavu hivyo kusababisha kuwashwa. Pia, utumiaji wa kemikali mfano; creams za kupaka kwenye vagina, store douches (kuosha sehemu nyeti kwa kutumia maji yaliyochanganywa na madawa), toilet paper zilizo na perfume, mipira (condoms), sabuni, kufukiza, vidonge vya kuzuia kupata mimba (contraceptive) n.k.
Condition nyingine inayoletea kuwashwa sehemu nyeti ni pamoja na Lichen
Sclerosis - hii sababu hutokea kwa nadra sana ila, ikitokea mara nyingi
kusababisha sehemu za uke/nyeti kupata vidoti doti (vikubwa/vidogo)
vyeupe. Mara nyingi Lichen Sclerosis inatokea zaidi kwa wanawake walio
pita menopause na huwa madoti hayo meupe hubakia kama makovu hata baada
ya matibabu.
Hivyo matatizo ya kuwashwa sehemu nyeti ni kitu cha kawaida ILA, kama
muwasho hauponi ni vizuri ukachukua tahadhari na kumwona dactari. Lakini
mara nyingi miasho mingi ya sehemu nyeti huponyeshwa kwa kutumia
antibiotics. Na pia ni vizuri kujua ni mwasho wa aina gani unaexperience
sehemu zako za nyeti kwamaana wakati mwingine huweza kutumia vagina
creams from over the counter (kwa kununua dukani tuu) na ukapona. Kama
tatizo lako la kuwashwa sehemu nyeti ni kubwa, mara nyingi docta wako
atashauri kuchukua vipimo vya mkojo na kufanya uchunguzi zaidi.
TIPS ZIFUATAZO NI ZA JINSI YA KUSAFISHA SEHEMU NYETI ILI KUZUIA/KUEPUSHA KUWASHWA
1. Osha sehemu za nje zaidi (vulva, clitoris, vagina lips) na sio ndani ya vagina kwasababu vagina yenyewe inauwezo wa kujiosha yenyewe wenzetu wa nnje husema (its a a self cleaning oven)
TIPS ZIFUATAZO NI ZA JINSI YA KUSAFISHA SEHEMU NYETI ILI KUZUIA/KUEPUSHA KUWASHWA
1. Osha sehemu za nje zaidi (vulva, clitoris, vagina lips) na sio ndani ya vagina kwasababu vagina yenyewe inauwezo wa kujiosha yenyewe wenzetu wa nnje husema (its a a self cleaning oven)
2. Osha sehemu nyeti mara moja kwa siku. Yaani kama umeamua kuosha ndani basi isiwe kila siku bali mara moja kwa siku.
3.Ukiwa kwenye period (siku za mwezi) ndo jaribu kuosha hata mara mbili
haswa nje zaidi sio ndani labda mpaka utakapo maliza period (siku zako
za mwezi)
4. Tumia mikono kujiosha na sio vitu kama taulo, kitambaa ama sponji.
5. Unapoosha na maji, usielekezee maji kwa juu moja kwa moja kwenye
vagina bali elekezea maji kwa chini yaani yawe yanaosha kwa kwenda
chini.
6. Hakikisha taulo unalotumia kujikaushia baada ya kujisafisha ni wewe
tuu ndo mtumiaji wa taulo na sio taulo la kushea na watu wengine
7. Osha sehemu nyeti before na baada ya kufanya mapenzi
8. Ukienda choo kikubwa (kujisaidia) hakikisha unafuta kutoka kwenye vagina kwenda nyuma na sio nyuma kwenda kwenye vagina
9. Mara nyingi vaa chupi za zilizotengenezwa na pamba (cotton cloth)
10. Ukiwa mwezini, hakikisha unabadili pedi/tampon kila baada ya masaa 2 hadi 4 kwa siku
11. Ushauri mkuu unasema, kujamiiana wakati ukiwa mwezini ni nyia moja
wapo kubwa inayosababisha infections hivyo ni vizuri kusubiri mpaka
mwisho wa period.
0 comments:
Post a Comment