Wednesday 30 April 2014

MAMBO 10 YANAYOHARIBU FIGO LAKO JIEPUSHE NAYO UTAKUWA UPO SALAMA.



i.             Kutokojoa  mapema mkojo uki kushika
ii.           Kuto kunywa  maji ya kutosha
iii.          Kula chumvi  nyingi  sana kwenye chakula.
iv.          Kutokujitibu  magonjwa ya kawaida  kama  vile  mafua   kwa haraka na vizuri
v.            Kula  nyama sana
vi.          Kutokula  chakula cha kutosha
vii.        Kutumia  Vidonge vya kukata maumivu  kwa wingi
viii.       Kutokula  kwa wingi vyakula vya virutubisho
ix.         Kunywa pombe kupita kiasi
x.           Kutopumzika   kiasi   cha kutosha.

0 comments:

Post a Comment