Wednesday, 30 April 2014

FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KULA CHOKOLATE KWA WANAWAKE


HIZI  NDIO  FAIDA  ZA  KULA  CHOCOLATE  KWA  WANAWAKE.
1.     KUIMARISHA  AFYA  YA  MOYO :   
 Kula  chokleti  kunaweza  kupunguza   hatari  ya  kupatwa na  tatizo  la  kushindwa  kwa  moyo, hasa  hasa  kama  wewe  ni  mwanamke   mwenye  umri  mkubwa.
2.   Chokleti nyeusi  ina  viondoa  sumu 
 viitwavyo                               Flavanoids    ambavyo   husaidia  katika kupunguza  shinikizo  la  damu  na  kolestrol. Vile  vile  vina  imarisha  mtririko  wa  damu  katika  ubongo  na  kwenye  moyo  na  hivyo   kupunguza  hatari  ya  kupatwa  na  tatizo  la  kuganda  kwa  damu.
3.   KUONGEZA  HAMU  YA  TENDO  LA  NDOA :  Ulaji  wa  chokleti  unasadia  kuongeza  hamu  na  ashkhi  ya  tendo  la  ndoa  kwa  wanawake.  Tafiti  mbalimbali  zinaonyesha  kuwa, wanawake  wanao  tumia  chokleti  kila  siku, wanafurahia  tendo  la  ndoa  kuliko  wasio  tumia  chokleti.
4.    KULINDA  NGOZI :   
 Chokleti nyeusi  ni  nzuri  kwa  afya  ya  ngozi.  Viondoa  sumu  viitwayo  Flavanoids  ambavyo  hupatikana  kwenye  chokleti  nyeusi  husaidia  kuilinda  ngozi  dhidi  ya  madhara  ya ngozi  yasababishwayo  na   mwanga  wa  jua.

Related Posts:

  • FAIDA NA MATUMIZI YA MAFUTA YA MISKI FAIDA NA MATUMIZI YA MISK: Hali yake ina ujoto na uyabisi katika daraja la pili. Ina ladha na harufu tofauti na mafuta mengine mazuri. Inatokana na mnyama anaeitwa kwa kiarabu AL GHAZALI. Namna ya kutofautisha Mi… Read More
  • FAIDA YA MATUMIZI YA KABICHI KIAFYA Kabichi ni zao linalolimwa mahala pengi sana hapa duniani. Mboga hii imekuwa ikiwekwa katika hadhi ya chini katika mboga, na hata watu huitumia pale tu wanapoona hakuna jinsi ya kupata mboga ya aina nyingine. Na hivyo … Read More
  • MAHITAJI NA KAZI YA SUKARI MWILINI Sukari ni moja katika familia ya Carbohydrates. Carbohydrates ndio chanzo kikuu cha nguvu katika miili yetu. Hata hivyo, sio kwamba carbohydrates zote zinaweza kunyonywa au kutumiwa na miili yetu kama ilivyo. Kabla … Read More
  • FAIDA YA VYAKULA VYA ASILI YA NYAMA (PROTINI) VYAKULA VYA ASILI YA NYAMA (PROTINI):Asili ya vyakula hivi hutokea kwa wanyama na mimea. Vyakula kama mayai, maziwa, maini, mafigo, nyama, jibini, samaki, kunde na aina zake, ufuta karanga, korosho, mchicha, mbegu za … Read More
  • FAIDA NA MADHARA YA KULA PILIPILI MANGA. Pilipili manga ni mbegu ndogondogo zenye umbo la mviringo zenye rangi nyeusi.mbegu hizi hutoa ladha ya muwasho mfano kama pilipili na kutumika sana majumbani hasa upande wa jikoni, wapo wanaotumia kiungo hiki kik… Read More

0 comments:

Post a Comment