Wednesday, 18 December 2024

MARADHI YA MIGUU KUWAKA MOTO CHANZO CHAKE NA MATIBABU YAKE (NEUROPATHY)


 

Nini maana ya miguu kuwaka moto?​
Miguu kuwaka moto ni tatizo kubwa sana kwa sasa. Maumivu haya yanaweza kuwa ya mda mfupi au yakakaa mda mrefu bila kuisha. Miguu yako itahisi hali ya kuungua na kufa ganzi. Maumivu huwa makali sana hasa nyakati za usiku.
Matibabu ya changamoto ya miguu kuwaka moto yanategemea na chazo cha tatizo lako. Endelea kusoma zaidi makala hii ili ujue chanzo cha tatizo lako na tiba sahihi inayokufaa.
Sababu 10 zinazokufanya upate tatizo la miguu kuwaka moto​

1.Miguu kuwaka moto kwasababu ya kisukari-Diabetic Neuropathy​
Kisukari kinapokusumbua kwa mda mrefu kinapelekea mishipa midogo ya fahamu kuathirika. Mishipa inapoathirika inakwamisha pia usafirishaji wa taarifa ndani ya mwili.
Taarifa zisiposafirishwa vyema inapelekea changamoto kwenye kuhisi matukio ya ndani na nje ya mwili. Pia kisukari kinaharibu mishipa ya damu ambayo inabeba hewa safi ya oksijeni ndani ya mwili.
Mishipa ya fahamu inaweza kuathiriwa maeneo mbalimbali ya mwili. Na athari hii inaongeza endapo una
  • uzito mkubwa na kitambi
  • presha ya kupanda imeongezeka
  • unavuta sigara
  • kunywa pombe
Aina za ganzi ya kisukari​
Athari za mishipa ya fahamu kitaalamu tunaita neuropathy, lakini kuna aina za neuropathy. Aina kubwa ambayo inawatokea zaidi wagonjwa kisukari ni peripherial neuropathy.
Peripherial maana yake ni maeneo ya pembezoni, hivo ni athari ya mishipa ya fahamu iliyo kwenye viungo vya pembezoni mwa mwili. kama vidole vya miguuni na mikononi.
Dalili zingine za hii peripherial neuropathy ni pamoja na
  • kuhisi mguu na mikono kufa gani
  • kuhisi kama umevaa kitu cha kubana mfano wa sox
  • maumivu makali ya haraka na kupotea
  • kutokwa jasho jingi kupita kiasi na
  • miguu na mikono kukosa nguvu
Ni muhimu sana kumwona daktari endapo umegundua una dalili za ganzi ya kisukari. Kwenye kutibu tatizo lako utatakiwa kurekebisha kwanza kisukari ili mishipa isiendelee kuathirika zaidi.
2.Matumizi ya pombe​
Watu wanaokunywa sana pombe wapo kwenye hatari ya kuathirika mishipa ya fahamu, na hii kitaalamu inaitwa alcoholic neuropathy. Aina hii ya ganzi inaweza kusababisha maumivu kwenye unyayo na miguu kukosa nguvu.
Tiba kwa ganzi ya aina hii kuacha kwanza pombe na kubadili lishe yako kwa kula mlo kamili. Endapo utaacha pombe itapunguza athari zaidi na pia kuondoa zile dalili mbaya.
3.Upungufu wa lishe.​
Upungufu wa Vitamin B kwenye lishe yako kunaweza kupelekea upate tatizo la miguu kuwaka moto.
Kupungukiwa damu pia inatokana na upungufu wa vitamin B.
Dalili zingine za kwamba una upungufu wa damu na kupelekea ganzi ni pamoja na kukosa nguvu, uchovu, kushindwa kupumua vizuri na kizunguzungu
4.tatizo kwenye tezi ya shingo-thyroid​
Kuna changamoto mbili za tezi ya shingoni. Ni aidha tezi inafanya kazi chini ya kiwango- hypothyrpoidsm au inafanya kazi kupita kiasi-hypethyrodism. Tezi inapofanya kazi chini ya kiwango, yaweza kupelekea mishipa ya fahamu kuathirika na hivi kukufanya miguu yako iwake moto.
5.Magonjwa ya kuambukiza​
Mishipa ya fahamu inaweza kuathiriwa kutokana na magonjwa mbalimbali ya kuambukiwa, na hivo kukufanya upate ganzi kwenye miguu. Magonjwa haya ni pampja na
  • ukimwi
  • kaswende
  • mkanda wa jeshi
Kama unahisi una magonjwa haya ya kuambukiza, ongea na daktari ili aweze kukupima.
6.Fungus ya Miguu-athletes foot​
Hii ni aina ya fungus ya miguu inayoambukizwa kwa kasi sana, na inaathiri unyayo, mikono na kucha pia. Ugonjwa huu pia huitwa tinea pedis.
Dalili kubwa ya fungus kwenye miguu mi kuwasha kwenye unyayo na dali zingine ni pamoja na
  • malengelenge kwenye unyayo
  • ngozi kunyonyoka katikati ya vidole na kwenye unyayo
  • ngozi kuwa kavu pembeni ya mguu na kwenye unyayo
  • kucha kugeuka rangi kuwa yeusi na nene sana kuliko mwanzo
7.Magonjwa ya figo​
Kazi ya figo ni kuchuja mkojo na kutoa taka kupitia njia ya mkjo na jasho. Kama figo hazifanyi kazi vizuri, inapelekea sumu kujikusanya kwenye mfumo wako. Sumu zinapojikusanya zaweza kupelekea ganzi kwenye na miguu kuwaka moto.
Karibu asilimia kumi ya watu wenye magonjwa ya figo wanapata hili tatizo la kuvimba miguu kunakoambatana na kuwaka moto.
Wagonjwa wa figo waliopo kwenye huduma ya kusafisha damu yani dialysis, wanapta hii changamoto ya miguu kuwaka moto. Hii ni kwasababu wanakuwa na upungufu mkubwa wa virutubishi mwilini. Tiba ya kusafisha damu-dialysis inaondoa vitami B1 kwenye damu.
Kufeli kwa figo oia kunasababisha dalili hizi
  • kuvimba miguu
  • muwasho
  • kichwa kuuma
  • maumivu
  • joint kuwa ngumu na kujaa maji
  • kuhisi ganzi na viungo kukosa nguvu
8.Peripherial artery disease​
Artery ni mishipa inayosafirisha damu yenye hewa safi ya oksijeni mwilini. Kwahivo kama damu isipofika eneo fulani la mwili, inapelekea ganzi na hali ganzi na kuwaka moto maeneo ya miguu na vidole vya mikono.
9.Matibabu ya Chemotherapy​
Tiba hii inahusisha matumizi ya dawa zenye nguvu sana ili kuharbu seli za saratani. Chemotherapy ina madhara kiasi kwenye mwili, ikiwamo kuleta matokeo mabaya kama
  • ganzi na kuchoma kwenye miguu na mikono
  • uchovu mwingi na kukosa hamu ya kula
  • misuli kulegea na
  • maumivu
10.Kukaa kwenye mazingira yenye sumu​
Unapofanya kazi maeneo yenye kemikali nyingi, mfano viwandani au kwenye mionzi yaweza kukupelekea uathirike mishipa ya faham na hivo kupelekea miguu kuwaka moto. Pia dawa baadhi mfano za ukimwi na kifafa zaweza kupelekea athari kwenye mishipaya fahamu.
Tiba ya nyumbani itakayokupa nafuu kwa miguu kuwaka moto​
  1. Chovya miguu yako kwenye maji baridi au kwenye barafu kwa dakika chache kisha utoe
  2. Chovya miguu yako kwenye maji yenye chunvi au apple cider vinegar. Kama una kisukari muulize kwanza daktari wako kama njia hii ni sahihi
  3. Tumia chai ya manjano. Manjano ya kiambata cha curcumin ambacho kinapunguza maumivu kwenye neva
  4. Fanya masaji kwenye mguu ili kurahishisha usafirishaji wa damu.

Thursday, 12 December 2024

FAIDA ZA MMEA WA MSEGESEGE KUMTIBU MTU ALIYEROGWA UCHAWI USIOTIBIKA KIRAHISI

 


1. Kama unahitaji kumtibia mtu aliyerogwa uchawi

usiotibika kirahisi au amezunguka sana kutafuta 

matibabu mbalimbali basi utakwenda katika mti huu kwa kufuata adabu za kuchukua mti kitiba kisha 

utachukua majani yake kisha 

utakwenda 

kuyapondaponda majani hayo kisha utachanganya 

katika maji yako ya kuoga na majani mengine utatia 

katika maji ambayo utakuwa unakunywa kiasi cha 

kikombe kimoja asubuhi na jioni,pia utakuwa 

unakoga maji hayo asubuhi na jioni kwa muda wa 

siku saba hadi 14.Kama kupata majani mabichi ya mti 

huo itakuwa ni vigumu basi utachuma majani mengi

kisha utayaanika alafu uyasage upate unga 

wake,kisha unga huo utakuwa unachanganya katika 

maji yako ya kuoga na unga mwingine utakuwa 

unaweka katika maji ya vugu vugu au katika uji wako 

kisha unakunywa.Hakika utakwenda kupona maradhi 

hayo.



KUFUKUZA NA KUONDOA MAJINI WA KICHAWI KATIKA MWILI


2. Kama unahitaji kufukuza majini wachafu katika 

mwili utachemsha majani ya mti huu kisha utatumia 

kumpigia nyungu mgonjwa anayesumbuliwa na 

majini wachafu katika mwili wake,tumia dawa hii 

asubuhi na jioni kwa muda wa siku saba 

mfululizo.Inshaalla majini hao wataondoka haraka 

sana.



KUTIBU TATIZO LA KIFUA AU UGONJWA WA PUMU


3. Kama unahitaji kujitibu au kumtibu mtu

anayesumbuliwa na tatizo la kifua au pumu 

utakwenda katika mti huu kisha utachimba mizizi 

zake kisha utakwenda kuitwanga mizizi hiyo upate 

unga wake.Unga huo utatumia kiasi cha kijiko kimoja 

cha chai kuchanganya katika juisi ya asali(zile za 

kienyeji na sio za viwandani) au ataweka katika 

kikombe cha uji kisha utatumia kunywa kikombe 

kimoja asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7-21.


DAWA YA KUONGEZA NYEGE KWA WANAWAKE

 

Iwapo kama unachangamoto ya kutopata hamu ya 

tendo la ndoa, hali hii husababishwa na matatizo 

ya homoni imbalance (homoni zinazosisimua 

kupata hamu ya tendo la ndoa .kama unahitaji 

kuondokana na changamoto hiyo basi tengeneza 

dawa ifuatayo;

MAHITAJI

1. unga wa kungu manga vijiko vya chakula 

viwili

2. unga wa tangawizi vijiko vya chakula viwili

3. unga wa ubuyu vijiko vya chakula viwili

4. unga wa pilipili mtama vijiko vya chakula viwili

5. unga wa mdalasini vijiko vya chakula viwili

6. Asali mbichi lita moja

MAANDALIZI

Utachanganya unga huo pamoja katika Asali na 

ukoroge vizuri hadi upate ujiuji mzito kabisa.

MATUMIZI

Mgonjwa atachukua vijiko vikubwa vya chakula 

viwili vya dawa hiyo na aweke kwenye maji ya 

vugu vugu kiasi cha glasi moja, kisha ukoroge 

vizuri na unywe.Utakunywa kutwa mara mbili 

glasi moja hadi dawa itakapokwisha.

JINSI YA KUTUMIA BAMIA KUONGEZA UTE UKENI

 


Bamia (okra) inajulikana kwa kiasi kikubwa cha nyuzinyuzi za majimaji, na hivyo inaweza kusaidia kuboresha ute wa uke.

Ifuatayo ni namna ya kutumia bamia kuongeza ute ukeni:

1. Osha Na Kata Bamia.
Anza kwa kununua bamia nzuri na safi. Osha bamia kwa maji baridi na kisha kata sehemu zote zisizohitajika, kama vile mashina na miisho.

Unaweza kukata bamia kwa vipande au kuiacha yote kulingana na jinsi unavyopenda.

2) Chemsha Bamia.
Weka bamia katika sufuria ya maji yanayochemka na chemsha kwa muda wa dakika 5-7 au hadi iwe laini lakini isiyoiva sana.

Usipike bamia kwa muda mrefu sana kwani inaweza kuwa laini sana na kupoteza manufaa yake ya nyuzinyuzi.

3) Kula Bamia.
Baada ya kuandaa na kuchemsha bamia sasa unaweza kula bamia iliyopikwa.

Bamia pia inaweza kuchanganywa na mboga nyingine.

4) Kujaribu Juisi Ya Bamia.
Unaweza pia kutengeneza juisi ya bamia kwa kusaga bamia iliyokatwa vizuri na maji, na kisha kunywa juisi hiyo. 

Juisi ya bamia inaweza kuwa njia rahisi ya kuchukua faida ya nyuzinyuzi za majimaji katika bamia.

HITIMISHO:

Ni muhimu kumbuka kwamba kula bamia mara kwa mara inaweza kusaidia kusawazisha uzalishaji wa ute ukeni, lakini hakuna chakula au nyongeza ya chakula inayoweza kutoa matokeo ya haraka.

Ili kuongeza ute ukeni na kuboresha afya ya uke kwa ujumla, ni muhimu kudumisha lishe bora na afya, kunywa maji ya kutosha, na kuepuka mambo yanayoweza kusababisha ukavu wa uke kama vile msongo wa mawazo, dawa zinazosababisha ukavu, na bidhaa za kuosha uke zenye kemikali nyingi.




Saturday, 15 April 2023

FAIDA YA KULA MAGANDA YA NDIZI MBIVU KIAFYA.

 




Watu Hula Maganda ya Ndizi. 

Wewe Unazijua Faida Zake?

How healthy are bananas? Bananas are rich in Vitamin B6 and a good source of fiber, vitamin c, magnesium and potassium. 

Bila shaka hujawahi kuona mtu akila maganda ya ndizi kutokana na ukweli kwamba kinacholiwa ni kilicho ndani na kutupa ganda. 

Hata hivyo katika nchi za Asia, kama vile India, watu wamekuwa wakila ndizi na maganda yake kwa miaka mingi sasa.

Tofauti na ndizi yenyewe, ganda lake huwa gumu kidogo na lina uchungu ambao si rahisi mtu kupenda kula na ndiyo sababu watu wengi hawawezi kula maganda ya ndizi. 

Lakini pamoja na uchungu wake, kuna virutubisho muhimu sana ndani yake ambavyo tutakupa siri na sababu kwa nini uwe unakula na maganda ya ndizi pia.

Utafiti uliofanyika umebaini kuwa, Maganda ya ndizi mbivu yana kiwango kingi zaidi cha Vitamin B6 na B12 pamoja na madini ya Manganizi (Magnesium) na Potasia (Potassium) kuliko ndizi yenyewe. 

Hivyo unapokula ndizi na kutupa maganda yake unakuwa umetupa virutubisho vingi zaidi kuliko ulivyokula.

Aidha, utafiti unaonesha ndizi ina asilimia 8 ya kiwango cha madini ya Manganizi kinachohitajika kila siku na mwili, madini haya ni muhimu kwa kurekebisha kiwango cha sukari mwilini na shinikizo la damu.

Kiwango cha madini ya potasia kilichomo kwenye ndizi ni asilimia 12 ya mahitaji ya kila siku ya mwili ambayo ni muhimu katika ukuaji wa seli za mwili.

Asilimia 17 ya mahitaji ya mwili ya kila siku kwa upande wa kamba lishe (fiber) utaipata kwa kula ndizi. 

Kirutubisho hiki ni muhimu katika usagaji wa chakula na kupunguza hatari ya mtu kupatwa na kisukari.

Kwa upande wa vitamin B6 na B12, ndizi inatoa kiasi cha asilimia 20 ya mahitaji ya kila siku ya mwili wa binadamu.

 Vitamini hizi ni muhimu katika zoezi la kugeuza chakula tunachokula kuwa nishati inayohitajika mwilini.

Ili kupata faida za kutosha za ndizi mbivu, inashauriwa kula ndizi iliyoiva kama tulivyoona wiki iliyopita na pia ule na maganda yake ambayo huwa laini kutafuna na matamu kadri ndizi inavyoiva zaidi. 

Kama hutaweza kula ganda zima, basi angalau hakikisha unalamba nyama na nyuzi nyuzi zote zinazobaki kwenye ganda baada ya kumenya, kwani hivyo ni virutubisho muhimu sana katika mwili wako

Saturday, 19 November 2022

DALILI 5 ZINA ASHIRIA WEWE NI MTU MSIKIVU SANA

 



Dalili 5 Zina ashiria Wewe ni Mtu Msikivu Sana


1. Unakuwa rahisi kuzidiwa.

Watangulizi wanashiriki ubora huu nawe. Umati mkubwa wa watu, haswa wachafu, huwa wanakuchosha haraka sana. Ni rahisi kwako kuzidiwa.


2. Unafurahia kuwa peke yako.

Wakati huo pekee mara nyingi hutumiwa kuchaji wengine, sio tu kuwaepuka watu. Kwa sababu wewe ni HSP haimaanishi kuwa hupendi kuwa karibu na watu. Ni muhimu kutambua wakati unahitaji muda peke yako na kujifurahisha mwenyewe.


3. Watu wanafikiri wewe ni dhaifu.

Tunaishi katika utamaduni wa macho, haijalishi mtu yeyote anajaribu kukuambia nini. Ni ngumu kuelezea upande wako nyeti, haswa ikiwa wewe ni mwanaume. Sensitivity, kama matokeo, inaonyesha nguvu, sio udhaifu. Unapaswa kuwa jasiri kusimama na kujieleza hivyo. Sio udhaifu.


4. Wewe ni bodi ya sauti ya kila mtu.

Kila mtu anaonekana kuja kwako na matatizo yake kwa sababu wewe ni msikilizaji wa ajabu. Hii inachukua ushuru kwa mtu yeyote, haswa HSP. Kumbuka kuchukua muda wa kuchaji tena na, mbaya zaidi inakuja kuwa mbaya zaidi, sema hapana wakati mwingine!


5. Jeuri inakukera.

Huwezi kuvumilia, iwe ni katika maisha halisi au katika aina fulani ya vyombo vya habari, kama vile filamu au michezo ya video. Kuona vurugu kunakusumbua kwa msingi wako ikiwa wewe ni HSP. Ambayo ina maana unapoizingatia. Sisi si wajeuri kwa asili. Watu wanarudi kutoka vitani na PTSD kwa sababu sio kawaida kuishi kwa njia hiyo.

Wednesday, 22 December 2021

MAZIWA NA UNGA WA KARAFUU NI TIBA YA MARADHI MENGI

 

MAZIWA NA UNGA WA KARAFUU NI TIBA YA MARADHI MENGI.
Kijiko kidogo cha Unga wa karafuu ya kusaga changanya na glasi moja ya maziwa Kunywa kwa siku 1X3 kabla ya kula kitu tumboni inatibu Maradhi haya hapo chini👇
1- Ugumba.
2- Udhaifu wa kijinsia.
3- Udhaifu wa moyo, tumbo, ini, wengu na figo.
4- Mishipa ya moyo na viungo.
5- Maumivu ya viungo.
6- Pumu, kohozi, kikohozi na pua iliyojaa.
7- Kwikwi
8- Usagaji chakula duni tumboni
9- Matatizo ya Kumbukumbu mbaya na kutokuelewana.
10- Gesi kwenye tumbo na utumbo.
11- Udhaifu wa misuli ya kibofu, kukojoa bila hiari na kushindwa kujizuia mkojo.
12- Udhaifu na maumivu ya fizi na meno.
13- Udhaifu wa jumla na uchovu.
14- Hedhi mara mbili kwa mwezi
15- Udhaifu wa kuona na macho.
16- Chunusi, magonjwa ya ngozi na kuumwa na wadudu.
17 - Inadhibiti sukari ya damu na kudumisha viwango vyake.
18- Baridi na Maradhi ya kifua..
19- Maumivu ya koo na Mafindofindo.
20 - husaidia kuzuia saratani.
21 - Wasiwasi, unyogovu na hali ya kisaikolojia.
22- Bawasiri na uvimbe kwenye Tundu ya Haja kubwa.
23 - vidonda vya tumbo na maambukizi.
24- Upungufu wa Kinga mwilini na kinga kwa ujumla