Mawasiliano

Kwa mawasiliano;
Maalim Saad
Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
Simu (Whatsapp)  +447459370172

65 comments:

 1. Assalam o alykum sheikh, je mnapatikana wapi. ........

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwa mawasiliano;
   Saad Ibrahim
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp)#: +90 534 450 8169

   Delete
  2. Mkuu kwa sasa unapatikana kwa namba gan whatsapp

   Delete
  3. Ndugu Maestro unaweza kunipata mimi kwa hizi njia mbili hapa chini Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp)#: +90 534 450 8169

   Delete
 2. Asante sana na wewe ndugu Daudi Kipaa ubarikiwe God Bless you amin.

  ReplyDelete
 3. Nimeipenda hii. Niko na tatzo hilo,nipe cellphone yako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu Alphaxard Semen Raymond Nambaya Simu yangu ya mkono hii hapa +90 534 450 8169 Unaweza pia kuni Add kwenye Whats App yako hiyo hiyo namba yangu tukawa tunazungumza moja kw amoja.

   Delete
 4. Replies
  1. Ndio mimi Tabibu wa Tiba Mbadala unasemaje ndugu.Dennis Mushi?

   Delete


 5. Mzizimkavu mwenyezi Mungu ukuzindishie neema na maarifa zaidi kwa huduma yako unayotoa JF.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante sana atuzidishie kwa sote Mwenyeezi mungu ndugu Daud Kipara.

   Delete
 6. Namimi Nina shida tabibu naomba msaada

  ReplyDelete
 7. Naomba unijibu kwa pm kule jf ndo itakuwa rahisi kukuelewa!

  ReplyDelete
 8. Salaam.
  Ndugu, nnasumbuliwa Na nyayo kuwaka moto, nilipaka kitunguu swaumu, maumivu yakakusanyika katikati, naomba ushauri zaidi wa jambo hili.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu Benjamin Mangula kama unaweza tupate Ku Chat kwenye What's App niadd kwa hiyo namba yangu +905344508169 au nitumie Email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com nitaweza kukujibu vizuri.

   Delete
  2. Asalaam aleykum sheikh.Nimesoma kuhusu uchawi wa GHASKHINI nimevutiwa na uliyo yaandika na pia tatizo la miguu kuwaka moto pia,yote hayo nalinganisha na mambo yaliyo/yanayo nipata... naomba tuwasiliane kwa e-mail yangu:
   allyomary573@gmail.com
   ahsante

   Delete
 9. Ninasumbuliwa na FIZI kutoa damu hazina maumivu wala meno hayaumi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu Mcherewanini una matatizo ya ukosefu wa Vitamin c mwilinimwako kanunuwe Vidonge vya kuongeza vitamin c mwilini na upendelee kula machungwa kwa wingi tatizo lako litaisha

   Delete
 10. Naomba namba zako nikutafute @mzizi mkavu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwa mawasiliano;
   Maalim Saad
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

   Delete
 11. Unaweza toa huduma mpaka Mikoani? Kama Arusha.. @mzizi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu Peter Mbwambo ninatoa huduma kila sehemu nchini Tanzania unaweza kunitafuta Kwa mawasiliano;
   Maalim Saad
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

   Delete
  2. Naomba msahada wako mzizi kavu nashida ila sielewi

   Delete
 12. Msaada nasumbuliwa bawasir leo ni siku ya nne naweza pata tiba kwako na nibei gani

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwa mawasiliano;
   Maalim Saad
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

   Delete
 13. Naomba unisaidie mm sijapat brid huu unaingia mwez wa pil then natokwa na huo uchafu hil ni mweup masaa mengin ni wanjano na tu


  mbo linaum san kotekote naomb msaad wako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tafuna ufuta kiasi cha kijiko kimoja kila siku mara tatu. Fanya hivyo hadi upate hedhi. Ni bora zaidi kula ufuta kabla ya zile siku ambazo hedhi hutoka na uendelee wakati inapotoka hedhi. Dawa hii ni hatari kwa mwanamke mja mzito, hivyo atahadhari nayo,na tangu hapoyeye haimuhusu.

   Delete
 14. Naomba unisaidie mm sijapat brid huu unaingia mwez wa pil then natokwa na huo uchafu hil ni mweup masaa mengin ni wanjano na tu


  mbo linaum san kotekote naomb msaad wako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tafuta msonobari,uwatu na Ubani mweuepe twanga hizo dawa kisha uchemshe nusu unywe na nusu uweke pamba kisha uweke sehemu yako ya siri,yatatoka maji mnengi usiogope hiyo nimwanzo wa kutumia dawa. tumia hiyo dawa kwa muda wa siku 7 kutwa mara 3 asubuhi mcha an usiku. Wakati unapochemshahiyo dawa tia majiglasi 3 ichemke kwa muda wa dakika 10 kisha ndio utumie hiyo dawa kwa siku 1 utakuw auanongeza maji. Nakesho yake fanay kama ulivyo jana yake Dawa kanunuwe kwenye maduka ya dawaza kisuna uliza utapata.

   Delete
 15. Kwel hili tatizo ni kubwa sana kwa kizazi hiki

  ReplyDelete
 16. Nina upara jamani niana miaka ishirini nakwetu wote awana bipara ninini

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tuwasiliane ndugu Jackson Kimboti Kwa mawasiliano;
   Maalim Saad
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

   Delete
 17. Phone pls, Namba yangu ni 0712898080,, Nnashida naomba msaada

  ReplyDelete
  Replies
  1. Haya mimi nina ku add kwenye What's App ili tupate ku chat unasemaje?

   Delete
 18. Mzizi mkavu nimekupm nimekuwhatsapp pia nna UTI imetibiwa sasa ni Mara ya tatu inansumbua inarudi nikimaliza dozi napumzika inarudi

  ReplyDelete
 19. Mzizi mkavu nimekupm nimekuwhatsapp pia nna UTI imetibiwa sasa ni Mara ya tatu inansumbua inarudi nikimaliza dozi napumzika inarudi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hakuna wasiwasi tutazungumza kule What's App

   Delete
 20. mkuu habari yako aisee naomba ushauri wako na matibabu pia nasumbuliwa na fungus sehemu za siri kwa muda mrefu kila dawa ninayopatiwa hosptal inagonga mwamba nisaidie ndugu nahisi changanikiwa

  ReplyDelete
 21. Mzizimkavu nafuatilia sana mada zako na zinanisaidia sana,tuna group letu la whatsap ambalo limetokana na wana jf,naomba tukuadd kule ili uwe unatusaidia baadhi ya maswali,
  Email yangu dannybanata@gmail.com.

  ReplyDelete
 22. Mzizimkavu nafuatilia sana mada zako na zinanisaidia sana,tuna group letu la whatsap ambalo limetokana na wana jf,naomba tukuadd kule ili uwe unatusaidia baadhi ya maswali,
  Email yangu dannybanata@gmail.com.

  ReplyDelete
 23. Mzizimkavu Mungu akubariki sana kwa huduma unayotupa

  ReplyDelete
 24. Habari yako Dr. mimi ninaswali nimeanza kutumia hiyo tiba ya habbatsouda ila natumia na asali na leo ni siku ya 7 kama siko sei ila nimeanza kutapika vitu vichungu kila ninapo itumia je unaweza nishauri hapo?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umetumia hiyo Habbat Soda na Asali kwa ajili ya kujitibia maradhi gani Bibie Martha Geofrey?

   Delete
 25. Mti mkavu habar yako naomba unisaid ie dawa ya kutia fibroid Bila ya operetion

  ReplyDelete
  Replies
  1. Bi Fatima Ukitaka dawa ya kukutibu Maradhimyako ya Fibroid pasipo na kufanya Oparesheni dawa ninayo unawezakuwasiliana an mimi kwa njia mbili hizi hapa Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp)#: +90 534 450 8169

   Delete
 26. Mti mkavu shkamoo naomba kujua jinsi ya kutibu jipu kiasili

  ReplyDelete
 27. Mti mkavu shkamoo naomba kujua jinsi ya kutibu jipu kiasili

  ReplyDelete
 28. mti mkavu vipi sis tusiotumia email wala whatsap unatusaidiaje?

  ReplyDelete
 29. mti mkavu vipi sis tusiotumia email wala whatsap unatusaidiaje?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu

   Delete
 30. Habar kaka.Naomba unpe ufafanuzi kuhus tiba ya kisukar..niliona page ako moja kuhsu Habat soda na shubr n.k.je nawrza fuata malekzo yale kwamgonjwa sukar ya kpanda.asnnt.

  ReplyDelete
 31. Habari yako Dr..
  Nasumbuliwa na vipele kisogoni,nini tiba yake?

  ReplyDelete
 32. Mimi ninasumbuliwa sana na Tatizo la kuishiwa nguvu za kiume, goli 1 linafungwa dakika ya kwanza,dudu halisimami tena

  ReplyDelete