Wednesday 11 October 2017

USHAURI MUHIMU UKIWA UKO PEKE YAKO NJIANI NA UMEPATWA NA SHAMBULIA LA MOYO (HEART ATTACK) CHUKUWA TAHADHARI.



USHAURI MUHIMU UKIWA UKO PEKE YAKO NJIANI NA UMEPATWA NA
SHAMBULIA LA MOYO (HEART ATTACK) CHUKUWA TAHADHARI.
1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 usiku unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.
2. Umechoka sana, una hasira na umechanganikiwa.
3. Ghafla unajisikia maumivu makali kifuani yanaelekea mkononi na hata kwenye Taya. Upo umbali wa kama km5 tu kufika Hospitali iliyo karibu na kwako.
4. Bahati mbaya hujui kama utaweza kufika kwa vunavyojisikia.
5. Ulishafundishwa kumfanyia mtu CPR, lkn aliyekufundisha hakuwaambia unaweza kujifanyia mwenyewe.
6. JINSI YA KIJUSAIDIA UNAPOPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO UKIWA PEKE YAKO.
Kwa kuwa watu wengi hupatwa na Shambulio la Moyo wakiwa peke yao bila msaada wowote, mtu ambaye mapigo yake ya Moyo hayako sawa na anaanza kuhisi kuzimia, au zimebaki sekunde 10 tu kabla hajapoteza fahamu.
7. Hata hivyo, waathirika hawa wanaweza kujisaidia kwa kujikoholesha mfululizo. Avute pumzi ndefu kila unapo jikoholesha, na kikohozi lazima kiwe cha ndani mfululizo mpaka makohozi yatoke ndani ya kifua.
Kikohozi hicho kiendelee mpaka utakapopata msaada au mpaka mapigo ya Moyo yarudi kawaida tena.
8. Pumzi ndefu hupeleka Oksijeni mapafuni na kikohozi kiubana Moyo na kufanya mzunguko wa Damu uendelee. Nguvu ya kikohozi ya kuubana Moyo pia inasaidia kurudisha ktk mapigo ya kawaida. Kwa njia hii, waathirika wa shambulio la Moyo wanaweza kufika Hospitali.
9. Sambaza ujumbe huu kwa watu wengi uwezavyo, utakuwa umewasaidia kuokoa maisha yao!!
10. Mtaalamu amesema, kila anayepata ujumbe huu na akautuma kwa walau watu 10, tunaweza kuwa walau tumeokoa maisha ya mtu mmoja.
11. Badala ya kutuma vibonzo, sambaza ujumbe huu ambao unaweza kuokoa maisha ya mtu...
12. Kama ujumbe huu utarudi kwako zaidi ya mara moja, usikasirike! Furahi kwa kutambua kumbe watu wengi wanaokujali.

2 comments:

  1. Hi, I'm Diane C. Brown.I have read many how to make money from your blogs and such articles and online posts.Unaweza kuuliza mbona akiongea na mtu anakupa nafasi fulani mbali kidogo? Hawezi kuongea na wewe uso kwa uso? Ila kunyamaza naye husogea kidogo. 1. Jitahidi kadiri uweza to kufanya mambo haya matatu: kula vizuri, kufanya mazoezi ya kutosha, na kupumzika vya kutosha. 2. Dumisha usafi. Wataalamu wa afya kusema kwamba kunawa mikono ndiyo njia bora ya kujiki…http://onedaytop.com/broccoli-secures-gut/

    ReplyDelete
    Replies
    1. I am FRED and i want quickly recommend DR NCUBE for a Job well done by
      curing me from the genital herpes disease that have be giving me sleepless night. if you want to contact him, Simply do that via email drncube03@gmail.com or 
      call/whatsapp +2348155227532
      he also have #herbs for
      #hiv/aids
      #cancerdisease 
      #fibroid 
      #diabetes

      Delete