Wednesday, 11 March 2015
JE WAJUWA KUWA RANGI YA MKOJO WAKO INA MAANA GANI KWA AFYA YAKO?
1. Mweupe kabisa (Usio na Rangi):
Unakunywa maji mengi kupita kiasi. Ikiwezekana unashauriwa upunguze kidogo
2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo: Ni kawaida, una afya na Mwili wako una maji ya kutosha.
3. Manjano iliyo pauka:
Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji ya kutosha
4. Njano iliyo kolea:
Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa maji ya kutosha.
5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama ya Asali:
Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sasa.
6. Rangi ya Kahawia:
Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktari kamali hii ikiendelea.
7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu:
Kama hujala matunda yoyote nyenye asili ya uwekundu, basi huwenda una Damu kwenye kibofu chako cha mkojo. Inaweza ikawa sio ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara ya ugojwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia ya mkojo, au matatizo kwenye kibofu. Muone daktari haraka iwezekanavyo.
Related Posts:
TAMBUWA SABABU KUMI KWA NINI NYWELE ZAKO ZINANYONYOKA KICHWANI? Kama uemgundua nywele zako zinanyonyoka, usi panic. Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ). Zifutazo ni sababu kwa nini nywele zako zinanyonyoka. 1. StressKila … Read More
TUJIEPUSHE KUNYWA MAJI BARIDI YANA MADHARA KWA AFYA YA BINADAMU MADHARA YA KUNYWA MAJI BARIDI UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu kuhitaji kunywa maji hayo… Read More
KUVIMBA KWA VIUNGO VYA MWILI WAKATI WA UJA UZITO (WATER RETENTION) Wakati wa ujauzito mwili hutengeneza asilimia 50 zaidi ya damu na maji maji ili kumtosheleza mama na mtoto. Kuvimba kwa mwili wa mama ni kitu cha kawaida kwa ajili ya kuongezeka kwa damu mwilini. Na kuongezeka kwa pr… Read More
UMUHIMU WA MADINI YA CALCIUM NA MAGNESIUM KWA AKINA MAMA WAJAWAZITO Mama mjamzito au anayenyonyesha anahitaji 1600 hadi 2000 mg za calcium kila siku. Kwa sababu wanawake wengi hawali vyakula bora huwa wanaishia kupata 600mg kwa siku ambazo hazitoshi. Calcium ni muhimu sana kwa mam… Read More
VYAKULA VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA HARAKA KWA MWANAMKE Ni kweli kwamba kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa au kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki[nyege] ya kufanya tendo la ndoa huwa ni kazi bure kwani hamu haimjii haraka au haimjii kabisa na ha… Read More
https://chat.whatsapp.com/BFd3l2y0pJa78WVeCBO8mu
ReplyDelete