Sunday, 17 August 2014

NYAMA NDANI YA PUA (NASAL POLYPS)

Nyama ndani ya pua/ Nasal polyps

Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe zinazojitokeza toka katika kiwamboute ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji wa mucosa uliozidi kawaida ambao mara nyongi huambatana na Allergic Rhinitisna pia huwa haviumi na ni huru katika mwenendo ndani.( Freely movable)

Maelezo juu ya Nyama za pua (Nasal polyps)
Nyama za pua (Nasal polyps) mara nyingi zinawekwa katika makundi  mawili ambayo kitaalamu yanajulikana kamaantrochoanal polyps na ethmoidal polyps. Antrochoanal polyps huchipua ama kuota toka katika vijitundu viitwavyomaxillary sinuses na hizi huwa ni mara chache kuwapata watu.  Ethmoidal polyps hizi hichipua ama huota toka katika vijitundu viitwavyo ethmoidal sinusesAntrochoanal polyps mara nyingi huadhili tundu moja ya tu pua  wakati ethmoidal polyps huwa ni nyingi na huathili tundu zote za pua.

Dalili za mtu mwenye nyama za pua
Mara nyingi mtu mwenye nyama aina hii huhisi pua kuziba, sinusitiskupoteza hali ya kunusa harufu ain yoyote, kupata maumivu ya kichwa. Pamoja na kuziondoa kwa njia ya upasuaji nyama hizi huwa zinatabia ya kujirudia kuota tena, karibu asilimia 70% ya upasuaji hujirudia. Upasuaji unahitaji umakini mkubwa ili kuepusha uharibifu wa maeneo mengine  ndani ya pua na jicho (orbit matter).
Kuna aina kuu 2 za nasal polyps.
  • 1. Antrochoanal
    • a. Moja (Single), Huathili tundu moja (Unilateral)
    • b. Can originate from maxillary sinus
    • c. Hasa huwapata watoto (Usually found in children).
  • 2. Ethmoidal
    • a. huathili tundu zote mbili (Bilateral)
    • b. Mara nyingi huawapata watu wazima (Usually found in adults).

Visababishi
Namna  nyama za pua zinavyojitokeza bado haifahamiki, ila inafikirika kuwa nyingi husababishwa na Allergy na kwa uchache cyst fibrosis.
Aina ya magonjwa yanayo ambatana na utekeaji wa nyama za pua.
  1. Chronic rhinosinusitis
  2. Asthma
  3. Aspirin intolerance
  4. Cystic fibrosis
  5. Kartagener's syndrome
  6. Young's syndrome
  7. Churg-strauss syndrome
  8. Nasal mastocytosis
Exposure to some forms of chromium can cause nasal polyps and associated diseases.
Matibabu.
Nasal polyps mara nyingi hutibiwa kwa njia ya upasuaji, aina ya steroids za kupaka nk.

Related Posts:

  • MARADHI YATOKANAYO NA MAAMBUKIZO YA HEWA NA KINGA YAKE Maradhi yatokanayo na maambukizo ya hewa na kinga yake. FUNGU hili la magonjwa linajumuisha magonjwa yote yatokanayo na utumiaji wa hewa toka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Msingi wake mkubwa ni hewa yenye vijidudu vya maamb… Read More
  • NATURAL HOME REMEDIES FOR NOSE BLEEDING Nose Bleeding: • The bleeding is caused when the delicate blood vessels  inside the nose rupture • It's a very common condition amongst children Symptoms to look for: • Blood drips from the no… Read More
  • MAFUA NI NINI?, CHANZO, DALILI NA MATIBABU YAKE Mafua yanaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, katika shughuli mbalimbali za uzalishaji au kuhudhuria shuleni na kwenda kutafuta msaada wa kitabibu hospitalini. … Read More
  • 8 Natural Solutions For Sinus Infection Sinus infections are very common and while they do not sound like much they can cause a number of very uncomfortable symptoms. This infection is characterized by the sinuses swelling and being inflamed. Millions of Americ… Read More
  • NYAMA NDANI YA PUA (NASAL POLYPS) Nyama ndani ya pua/ Nasal polyps Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe zinazojitokeza toka katika kiwamboute ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji wa mucosa uliozidi kawaida ambao… Read More

0 comments:

Post a Comment