Foods to eat to control high blood pressure1) (Garlic is natural medcine for treating high blood pressure)
KULA KITUNGUU SAUMU JAPO PUNJE MOJA KILA SIKU ASUBUHI NA USIKU.
2) (Don't add salt) USITUMIE CHUMVI NYINGI
3) (Regular physical activity, at least 30 to 60 minutes)KUFANYA MAZOEIZI YA MWILI KILA SIKU JAPO DAKIKDA 30 AU DAKIKA 60
4) (Apple cider vinger: Vinegar alkalizes the body and lowers your blood pressure)
KUTUMIA SIKI YA TUNDA LA TUFAHA KUNYWA KIJIKO KIMOJA KWENYE GLASI YA MAJI YA
UVUGUVUGU KILA SIKU JAPO MARA MOJA KWA SIKU.
5) (Avoid Coffe). KUJIEPUSHA KUTOKUNYWA KINYWAJI CHA KAHAWA.
6) (Cucumber: Eat 2 fresh cucumber every day for 2 weeks)
KULA MATANGO 2 KILA SIKU KWAMUDA WA SIKU 14
Wednesday, 4 June 2014
VYAKULA VYA KULA KILA SIKU ILI KUITHIBITI PRESHA YA KUPANDA
Related Posts:
VYAKULA VYA KULA KILA SIKU ILI KUITHIBITI PRESHA YA KUPANDA Foods to eat to control high blood pressure 1) (Garlic is natural medcine for treating high blood pressure) KULA KITUNGUU SAUMU JAPO PUNJE MOJA KILA SIKU ASUBUHI NA USIKU. 2) (Don't add salt) … Read More
TIBA YA MBA KWA KUTUMIA MBEGU ZA MPAPAI Mbegu Za Papai Tiba ya Mba Pia mapapai yaliyoiva yanatibu mapunye (ringworm), mabichi yanatibu msukumo mkuu wa damu (high blood pressure), mapapai yanatumika kama mkuyati (aphrodisiac), yanatumika kama kituliza maumivu… Read More
UGONJWA WA MAFINDOFINDO (TONSILS) Tonsil husababishwa na sababu nyingi tu . Pia husababishwa na upungufu wa white blood Cells katika mwili ambazo cells hizi ndio hupigana na vidudu vyote venye kuleta maradhi ndani ya mwili sasa vinaposhindwa kufanya kaz… Read More
MARADHI YA KIPANDAUSO (MIGRAINE) CHANZO DALILI TIBA NA JINSI YA KUJIKINGA Kuumwa na kichwa kumegawanyika sehemu kuu nyingi sana japo kuwa 1% yake ni ashirio la matatizo ya kiafya ambayo yame-advance. Kama vile concussion of brain,meningitis,encephaliti, na stroke. Kuumwa na kichwa pia in… Read More
BAMIA INAWEZA KUTIBU TATIZO LA KISUKARI Wanasayansi nchini Marekani wamegundua kuwa Bamia ina virutibisho vinavyo weza kumsaidia mtu mwenye tatizo la Sukari.… Read More
0 comments:
Post a Comment