Sunday, 8 June 2014

TIBA YA MARADHI YA SARATANI YA NGOZI..




SARATANI YA NGOZI..
Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea.Chagua iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine
TIBA 1:
Tengeneza juisi ya kitunguu maji.Changanya na maziwa ya unga na kibiriti upele as-far robo ya kijiko cha chai(1.25ml).Changanya pamoja mpaka iwe malham (mur-ham).
TIBA:2
Pakaa sehemu yenye matatizo kutwa mara moja (1×1).Baada ya kuoga jioni pakaa na mafuta ya zaituni.

0 comments:

Post a Comment