Thursday, 19 June 2014

NIMEGUNDUWA FAIDA MPYA YA MATUMIZI YA ASALI KWA BINADAMU


Asali kama tujuavyo ni dawa nzuri kwa binadamu haswa utakapo tumia ukiwa mzima au mgonjwa itakusaidia kukutibu na haina madhara kwa binadamu.

Nimegunduwa ugunduzi wangu juu ya faida ya asali kwa binadamu nimeona bora na mimi niwape wenzangu faida katika uchunguzi wangu.
Nimegunduwa ikiwa utatumia asali kuinywa asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu kijiko kimoja na wakati wa usiku wa kwenda kulala ukila hiyo Asali tena kijiko kimoja kwa muda wa siku 40 itakusaidia kukutibu na kusafisha ini na figo uchafu ulikuwepo ndani yake.
Kwa hiyo ninawapeni ushauri wangu muwe munatumia asali ya nyuki kila siku kwa huo muda mutafaidika na huo uchunguzi wangu asanteni.
Masharti ya Asali ni hivi iwe asali ya nyuki wakubwa tena iwe asali mbichi haijaipikwa wala kuchanganywa na kitu chochote kile. Fanyeni kazi utafiti wangu 
Muje munipe Feedback asanteni sana.


Related Posts:

  • MAPAPAI NI DAWA YA KANSA,SHINIKIZO LA DAMU NA MAGONYWA YA MOYO MAPAPAI NI DAWA YA KANSA,SHINIKIZO LA DAMU NA MAGONYWA YA MOYO Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kwa kula papai au kunywa juisi yake Papai lina fibrin ambayo hupunguza kuganda kwa damu Fibrin inaweza kuzu… Read More
  • DAWA YA MARADHI YA AMOEBA WATU wengi wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa Amoeba lakini hupuuzia pale dalili zinapoanza, ni ugonjwa mbaya ambao ukikaa sanatumboni husababisha madhara makubwa , kama kuhara damu kupindukia, kutapika, kusik… Read More
  • FAIDA YA KITUNGUUMAJI KAMA DAWA YA KUTIBU MAGONJWA MENGI. KITUNGUU MAJI HUTIBU MAGONJWA YAFUATAYO UvimbeKikohoziVidonda vya tumboMifupaNgoziKooFigoTumbomkojo MATAYARISHO Menya vitunguu maji 3 vikubwa, visage au vitwange ili upate maji yake, changanya na maji kidogo yaliyo… Read More
  • DAWA YA MARALIA SUGU KWA WALE WENYE MALARIA SUGU NINATOA DAWA YANGU HII HAPA Chukua majani manne ya Mpapai mabichi yaliyo komaa yenye shina na kikonyo( ambayo yamekomaa) , chukua na vitunguu Swaumu punje zaidi za ishirini na moja lakini … Read More
  • TIBA MBADALA YA MARADHI YA KWIKWI HICCUPS TREATMENT MARADHI YA KWIKWI (Hiccups) Kwikwi hutokana na kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu. Hii husababisha milango… Read More

0 comments:

Post a Comment