Saturday 14 June 2014

NATURAL THERAPY FOR OPENING THE VEIN OF HEART TIBA MBADALA YA KUFUNGUWA MISHIPA YA MOYO







TIBA MBADALA YA KUFUNGUWA MISHIPA YA MOYO
Lemon Juice 1 Cup
Ginger Juice 1 Cup
Garlic Juice 1 Cup
Apple Vinegar 1 Cup
Mix all above and Boil on Low Heat, Approximately half hour, When it becomes 3 Cups, Take off stove and let cool.
After cooling, mix 3 Cups of natural honey and keep it in bottle.
Every morning before breakfast use one Table spoon Regulary.
Your blockage of Vein’s will open.
No need of any ANGIOPLASTY or BYPASS.
Please pass on this to your real well wishers…
kwa wasiojuwa Kimombo kiingereza soma hapa chini
Juisi ya limau kikombe 1
Tangawizi Juisi kiKombe 1
Vitunguu Saumu Juice ki Kombe 1
Siki ya Apple (Tufaha) ki Kombe 1
Changanya yote hapo juu na Chemsha kwenye joto la chini, Takriban
nusu saa, angalia mpaka ibaki vikombe 3, toa jikoni na ipoe iwe baridi.
Baada ya baridi, hiyo Dawa changanya na vikombe 3 ya Asali ya Asili na
kuitunza katika chupa.
Kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa uwe unakunywa hiyo dawa kwa
kutumia kijiko kikubwa cha kulia wali kimoja
Dawa hii kazi yake itafunguwa mishipa yako ya moyo utapona kabisa.
Hakuna haja ya kutumia Dawa ingine tena.

0 comments:

Post a Comment